aviationtanzania profile picture

@aviationtanzania

Followers
42.9K followers
Following
9 following
Likes
395K
Videos
1.7K
Avg length
1:37

✈Aviation Info ✈️Aviation Consultancy ✈Aviation Training & Skills Development

Playlists Liked videos

Latest videos by @aviationtanzania

  • Marubani wawili waliokuwa ndani ya ndege ndogo aina ya Cessna 172D Skyhawk wamelazimika kutua kwa… – video , 14.2K views, duration 0:08

    242 likes 5 comments 9 shares 15 saves

    Marubani wawili waliokuwa ndani ya ndege ndogo aina ya Cessna 172D Skyhawk wamelazimika kutua kwa dharura katika barabara ya Bayshore Road, eneo la North Fort Myers, Florida, nchini Marekani, baada ya ndege hiyo kupata hitilafu ya kiufundi. Wakati wa kutua, ndege hiyo iligonga kwa nyuma gari aina…

  • Wataalamu wa sekta ya usafiri wa anga kutoka nchi mbalimbali za Afrika wametoa heshima zao kwa… – photo post Photo post , 4.5K views

    Wataalamu wa sekta ya usafiri wa anga kutoka nchi mbalimbali za Afrika wametoa heshima zao kwa Peter Erasto Chinyama, aliyefariki ghafla Ijumaa, Novemba 6, 2026, wakati wa kikao cha Africa–Indian Ocean Aviation System Planning and Implementation Group (AASPG) kilichofanyika mjini Livingstone…

  • Shirika la Ndege la Air Tanzania limetangaza mabadiliko ya ratiba katika baadhi ya safari zake… – photo post Photo post , 1.4K views

    Shirika la Ndege la Air Tanzania limetangaza mabadiliko ya ratiba katika baadhi ya safari zake kufuatia hatua ya kuondoa mapema injini katika moja ya ndege zake aina ya Airbus A220. Kwa mujibu wa taarifa ya shirika hilo, mabadiliko hayo yanaweza kusababisha baadhi ya safari zilizopangwa kufanyika…

  • Huko nchini Marekani, katika hali isiyo ya kawaida mnyama jamii ya mamba (alligator) ameonekana… – video , 7.7K views, duration 0:27

    109 likes 2 comments 4 shares 7 saves

    Huko nchini Marekani, katika hali isiyo ya kawaida mnyama jamii ya mamba (alligator) ameonekana akivuka kwenye njia ya kuruka na kutua ndege (Runway) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Orlando. Kutokana na tukio hilo, shughuli za uwanja huo zilisimamishwa kwa muda mfupi huku wafanyakazi wa…

  • Africa World Airlines is inviting qualified candidates to apply for Captain and First Officer… – photo post Photo post , 1.1K views

    Africa World Airlines is inviting qualified candidates to apply for Captain and First Officer positions to operate its Embraer E145 aircraft. Interested candidates should submit their applications through the airline’s official website: http://www.flyafricaworld.com⁠ #jobopportunity #aviationjobs…

  • Shirika la ndege la Precision Air limetangaza nafasi ishirini za ajira kwa marubani, zikiwemo… – photo post Photo post , 4.3K views

    Shirika la ndege la Precision Air limetangaza nafasi ishirini za ajira kwa marubani, zikiwemo nafasi kumi za marubani viongozi (Captains) na nafasi kumi za marubani wasaidizi (Co-pilots), wenye uwezo wa kurusha ndege aina ya ATR 72-500 na ATR 42-500. Waombaji wenye vigezo kamili wanatakiwa kutuma…

  • Ndege inapokamilisha matengenezo, hatua inayofuata ni kuthibitisha kuwa iko tayari kurejea katika… – video , 12.8K views, duration 1:03

    208 likes 4 comments 5 shares 16 saves

    Ndege inapokamilisha matengenezo, hatua inayofuata ni kuthibitisha kuwa iko tayari kurejea katika huduma. Hili ni moja kati ya majaribio muhimu kwenye ndege linalofahamika Kama Aircraft Engine Ground Run (EGR), ambapo injini huwashwa ndege ikiwa ardhini ili kukagua utendaji kazi wake kabla ya…

  • is inviting qualified candidates to apply for a pilot position on its Cessna 208 (C208) aircraft… – photo post Photo post , 1.1K views

    @airkenya_official is inviting qualified candidates to apply for a pilot position on its Cessna 208 (C208) aircraft. Applicants must hold a Bachelor’s Degree from a recognised university, a valid Kenyan Commercial Pilot Licence (CPL), a current C208 type rating, a valid Multi-Engine Instrument…

  • Namibia’s Ministry of Health and Social Services officially introduced the country’s first… – photo post Photo post , 1.3K views

    Namibia’s Ministry of Health and Social Services officially introduced the country’s first government-owned air ambulance on 4 November 2026, marking a significant development in the country’s emergency medical transport services. The aircraft is expected to improve the transportation of…

  • Kiwanja cha Ndege cha Songwe, kilichopo mkoani Mbeya, kimepata mwonekano mpya baada ya kufanyiwa… – photo post Photo post , 7.2K views

    Kiwanja cha Ndege cha Songwe, kilichopo mkoani Mbeya, kimepata mwonekano mpya baada ya kufanyiwa maboresho ya miundombinu, yakilenga kuimarisha huduma za usafiri wa anga. Barabara ya kuruka na kutua ndege (runway) katika kiwanja hicho, ina urefu wa mita 3,330 na upana wa mita 45, na inauwezo wa…

  • Mtu mmoja amefariki na wengine wawili kujeruhiwa baada ya helikopta mbili kugongana wakati… – video , 1.5K views, duration 1:04

    24 likes 1 comment 1 share 2 saves

    Mtu mmoja amefariki na wengine wawili kujeruhiwa baada ya helikopta mbili kugongana wakati zikijiandaa kutua katika eneo la Pheriche, karibu na Mlima Everest nchini Nepal. Taarifa za awali zinaeleza kuwa mapanga yanayozunguka juu ya helikopta hizo (rotor blades) yaligongana wakati zikikaribia eneo…

  • Kiwanja cha Ndege cha Arusha kimeanza kutoa huduma za safari za ndege nyakati za usiku baada ya… – video , 5.6K views, duration 0:24

    213 likes 4 comments 24 shares 5 saves

    Kiwanja cha Ndege cha Arusha kimeanza kutoa huduma za safari za ndege nyakati za usiku baada ya Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, kuzindua rasmi shughuli hizo kufuatia kukamilika kwa usimikaji wa mfumo wa taa za kuongozea ndege (Airfield Ground Lighting – AGL). Kuanzishwa kwa huduma hizo…

  • Nchini India, abiria waliokuwa wakisafiri na shirika la ndege la SpiceJet, safari namba SG-553… – video , 9.5K views, duration 0:42

    162 likes 3 comments 6 shares 7 saves

    Nchini India, abiria waliokuwa wakisafiri na shirika la ndege la SpiceJet, safari namba SG-553 wameonekana wakikaa na wengine kulala katika eneo la maegesho ya ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati Shivaji Maharaj jijini Mumbai baada ya safari kuahirishwa. Taarifa za awali…

  • Siku ya Leo, Novemba mosi 2026, shirika la ndege la Air Cairo kutoka nchini Misri limeanza safari… – video , 1.5K views, duration 2:08

    47 likes 1 comment 2 shares 2 saves

    Siku ya Leo, Novemba mosi 2026, shirika la ndege la Air Cairo kutoka nchini Misri limeanza safari za moja kwa moja kati ya Hurghada, nchini Misri, na Zanzibar, baada ya ndege yake ya kwanza kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (AAKIA). Ndege hiyo aina ya Airbus A320…

  • Lufthansa has ended commercial passenger operations of its Airbus A340-600 aircraft after nearly… – video , 3.6K views, duration 0:27

    131 likes 1 comment 2 shares 3 saves

    Lufthansa has ended commercial passenger operations of its Airbus A340-600 aircraft after nearly 23 years, with the remaining aircraft being withdrawn from service and sent to storage in Teruel, Spain. The latest aircraft, registered D-AIHW, arrived at Teruel Airport on 30 October 2026, following…

  • Jeshi la Wanamaji nchini India limefanikiwa kufanya jaribio la kwanza la kutua kwa ndege ya kivita… – video , 15.7K views, duration 0:05

    240 likes 0 comments 1 share 2 saves

    Jeshi la Wanamaji nchini India limefanikiwa kufanya jaribio la kwanza la kutua kwa ndege ya kivita aina ya Rafale Marine katika meli yake ya kivita ya INS Vikrant, ikiwa ni hatua muhimu katika maandalizi ya kuanza kutumia ndege hizo. Ndege hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Dassault Aviation ya…

  • Flightlink Senior Training Captain and Fleet Manager Idris Badi has retired after more than 20… – video , 12K views, duration 1:16

    529 likes 13 comments 24 shares 23 saves

    Flightlink Senior Training Captain and Fleet Manager Idris Badi has retired after more than 20 years as a pilot. His retirement flight was operated aboard an ATR 72-500 (5H-FLD), which landed in Dar es Salaam on October 28, 2026. The aircraft arrived at Julius Nyerere International Airport, where…

  • Muhifadhi wa historia katika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam, Shomari Rajabu Shomari… – video , 177K views, duration 6:56

    6K likes 202 comments 233 shares 679 saves

    Muhifadhi wa historia katika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam, Shomari Rajabu Shomari, akitoa maelezo kuhusu ndege aina ya Fokker F28-3000 (5H-CCM), iliyotumika katika safari za marais wa Tanzania na sasa inahifadhiwa katika makumbusho hayo kama sehemu ya historia ya uongozi wa taifa…

  • A moment from the late Captain Rizwan Mohamedali Remtula’s flying career with Flightlink, captured… – video , 7.5K views, duration 2:00

    212 likes 9 comments 19 shares 18 saves

    A moment from the late Captain Rizwan Mohamedali Remtula’s flying career with Flightlink, captured as he operated an aircraft over Mount Kilimanjaro. #pilot #flightlink #precisionair #aviationtanzaniaupdates #captain

  • Je, unajua Fokker 28-3000 (5H-CCM), iliyowasafirisha marais watano wa Tanzania, ilifikishwaje… – video , 15.2K views, duration 2:22

    509 likes 29 comments 14 shares 36 saves

    Je, unajua Fokker 28-3000 (5H-CCM), iliyowasafirisha marais watano wa Tanzania, ilifikishwaje Makumbusho ya Taifa? Muhifadhi wa historia katika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam, Shomari Rajabu Shomari, anaeleza. #fokkerf28 #presidentialaircraft #aviationhistory #aviationtanzaniaupdates…

  • has received a brand-new Cessna Grand Caravan, 5H-FLZ, at Arusha Airport, marking another step in… – video , 9.3K views, duration 1:40

    211 likes 7 comments 6 shares 7 saves

    @flightlinktz has received a brand-new Cessna Grand Caravan, 5H-FLZ, at Arusha Airport, marking another step in the airline’s fleet expansion. The aircraft is expected to strengthen Flightlink’s domestic operations, particularly services connecting passengers to Tanzania’s key tourism…

  • Fokker F28-3000 (5H-CCM) ni miongoni mwa ndege zilizobeba historia ya uongozi wa jamhuri ya… – video , 109K views, duration 4:09

    5.7K likes 156 comments 217 shares 597 saves

    Fokker F28-3000 (5H-CCM) ni miongoni mwa ndege zilizobeba historia ya uongozi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Fahamu uwezo na sifa za kiufundi za ndege hii ambayo imehifadhiwa katika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. #fokkerf28 #presidentialaircraft #aviationhistory…

  • Ndege ya Lufthansa aina ya Airbus A340-600, yenye namba ya usajili D-AIHW, ikifanyiwa majaribio ya… – video , 7.7K views, duration 0:58

    227 likes 2 comments 2 shares 5 saves

    Ndege ya Lufthansa aina ya Airbus A340-600, yenye namba ya usajili D-AIHW, ikifanyiwa majaribio ya mfumo wa magurudumu wakati wa matengenezo makubwa, miezi kadhaa kabla ya ndege hizo kuondolewa kwenye huduma za kusafirisha abiria. Katika jaribio hilo, mafundi hukagua utendaji wa mfumo wa…

Showing 23 of 1,694 videos

Load more videos

Explore & export videos

@aviationtanzania TikTok stats

@aviationtanzania has 42,879 TikTok followers as of . That is about 42.9K followers.

Followers
42,879
Likes
394,728
Videos
1,694
Likes per video
233
Average video length
1:37
Median per post
7.5K views · 213 likes · 4 comments · 6 shares · 7 saves
Average engagement per view - follower
3.8% - 0.02
Average views per follower
0.44
Most viewed recent posts
  1. “Muhifadhi wa historia katika Makumbusho ya Taifa jijini…” · 177K views · 6K likes · 202 comments ·
  2. “Fokker F28-3000 (5H-CCM) ni miongoni mwa ndege zilizobeba…” · 109K views · 5.7K likes · 156 comments ·
  3. “Jeshi la Wanamaji nchini India limefanikiwa kufanya…” · 15.7K views · 240 likes · 0 comments ·
Last post
(less than a day before this check)
Posting rate
about 8.6 posts a week
TikTok content labels
Auto & Vehicle (7 of 9 posts)
Post types
16 videos, 7 photo posts
Hashtags used most
#aviationtanzaniaupdates (19), #aviationnews (7), #aviationcareer (3), #fokkerf28 (3), #presidentialaircraft (3)

How these numbers are counted

@aviationtanzania follower history

FollowersLikes42.4K393K42.6K394K42.8K395K43K396K43.2K397K42,879 followers on Nov 8, 202642,879394,728 likes on Nov 8, 2026394,728Nov 8, 2026

Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded

About @aviationtanzania

Account created