BABDEO (@babdeo)
- Followers
- 85.1K followers
- Following
- 6.2K following
- Likes
- 867K
- Videos
- 547
- Avg length
- 1:26
Official Photographer of Grand Mufti Tanzania Sheikh Abubakar Zuber Bin Ally
Latest videos by BABDEO
-
– video
174 likes 4 comments 1 share 9 saves
Surah Faatwir Aya 32 "Kisha tukawarithisha Kitabu wale tuliowachagua miongoni mwa waja wetu. Basi miongoni mwao yupo aliyeidhulumu nafsi yake, na miongoni mwao yupo wa wastani, na miongoni mwao yupo mwenye kutangulia katika mambo ya kheri kwa idhini ya Allah. Hiyo ndiyo fadhila kubwa." Mifano…
-
– photo post
Photo post
Alhamdulillah! ❤️ Tunayo furaha kubwa kutangaza kuwa BABDEO MILADU ONLINE TV imefanikiwa kushika nafasi ya KWANZA TANZANIA kwa wastani wa watazamaji (Average Views) katika mwezi wa Oktoba 2026. Hii ni hatua kubwa na mafanikio ambayo yasingewezekana bila sapoti yenu. Tunatoa shukrani za dhati kwa…
-
– video
1.5K likes 68 comments 27 shares 97 saves
Mtakieni Rehema na Salamu na amani. Allahumma Salli Wasallim alayhi صَلَّى اللّٰهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ
-
– photo post
Photo post
Ukifa nani atafuta Picha/Video zako?
-
– video
586 likes 13 comments 7 shares 27 saves
❤️🎶 Shukran sana ndugu yangu Adil Cherfi 🇲🇦 kwa zawadi hii nzuri ya ala ya muziki! (Nay) Shukrani za pekee kwa rafiki yangu Yassine El Chehabe kwa kunifikishia zawadi hii. Mwenyezi Mungu awabariki sana. ❤️🤲 🇹🇿 Tanzania 🤝 Morocco 🇲🇦 #Gratitude #Friendship #Music 🎶 @yassine el chehab
-
– video
745 likes 13 comments 6 shares 43 saves
@yassine el chehab Tukiwa Coco Beach tunabarizi upepo wa Bahari na raha za Maqaamat
-
– video
3.1K likes 113 comments 51 shares 172 saves
Hii si ni leo tarehe 18-10-2026 ukumbi ww Starlight Posta Dar Es salaam. kama hujanunua tiketi fanya hima ununue raha hizi utazikosa
-
– video
557 likes 15 comments 6 shares 27 saves
JUMAPILI HII 18/10/2026 Kwa mara ya kwanza kwenye Historia ya Nchi hii tukufu ya Tanzania kuwakutanisha mabingwa wa kaswida kutoka nchi Tatu tofauti Tanzania 🇹🇿 Morocco 🇲🇦 Ufaransa 🇫🇷 Hafla hii itafanyika Kwenye ukumbi wa Starlight Hall mnazi mmoja kuanzia saa 1:00 jioni Kama bado haujalipia…
-
– video
323 likes 9 comments 7 shares 7 saves
Khitaamuhu Misk imeishia hivi. Tukutane Mwakani Inshallah
-
– video
202 likes 2 comments 0 shares 5 saves
Kaswida نهج البردة Umm Kulthum
-
– video
653 likes 16 comments 17 shares 29 saves
JUMAPILI HII 18/10/2026 Kwa mara ya kwanza kwenye Historia ya Nchi hii tukufu ya Tanzania kuwakutanisha mabingwa wa kaswida kutoka nchi Tatu tofauti Tanzania 🇹🇿 Morocco 🇲🇦 Ufaransa 🇫🇷 Hafla hii itafanyika Kwenye ukumbi wa Starlight Hall mnazi mmoja kuanzia saa 1:00 jioni Kama bado haujalipia…
-
– video
98 likes 3 comments 0 shares 1 save
Ahsanteni wote muliohudhuria, tukutane KHITAAMUHU MISK 2027 INSHALLAH
-
– video
745 likes 12 comments 2 shares 24 saves
Highlith Maulid ya Khitaamuhu Misk. Maandalizi ya uwanja wa Maulid hivi ndivyo ilivyokua. Iliyofanyika tarehe 12/10/2026 Jumatatu, Magomeni Mapipa Dar Es salaam #highlightmaulid #miladutvhighlight #babdeomiladu #miladuupdates
-
– video
110 likes 4 comments 0 shares 4 saves
Karibuni sana
-
– video
339 likes 21 comments 27 shares 14 saves
Karibuni nyote katika Maulid nyumbani kwangu Magomeni Mapipa mtaa wa Mwinyimkuu tarehe 12/10/2026 Karibu na Msikiti wa Mwinyimkuu
-
– video
1K likes 62 comments 34 shares 64 saves
“Hayampati Muislamu uchovu, ugonjwa, huzuni, masikitiko, maudhi au dhiki yoyote, hata kuchomwa na mwiba, isipokuwa Mwenyezi Mungu humfutia kwa sababu hiyo baadhi ya madhambi yake.”
-
– video
188 likes 2 comments 1 share 3 saves
Nawakaribisha katika Maulid ya KHITAAMUHU MISK nyumbani kwangu Magomeni Mapipa Mtaa wa Mwinyimkuu Dar Es salaam. Tarehe 12/10/2026 Jumatatu, Saa 2 usiku.
-
– video
1.3K likes 46 comments 35 shares 72 saves
“Wengine wanakutafuta ukiwa na kile wanachokihitaji; wachache wanakutafuta kwa sababu wanakuhitaji wewe.”
-
– video
1.6K likes 61 comments 24 shares 89 saves
(2026) Video ya kwanza ni Alhabib Ibrahim Bin Ally Al Habshi (Mtoto) (2022) Video ya pili ni Alhabib Ali Bin AbdulQadir Khalifa (Munsib) Al Habshi (Baba) Bahati iliyoje kuombewa dua na mabwana wakubwa hawa kutoka ukoo mmoja wa IMAM ALI ALHABSHI SEYOUN
-
– video
227 likes 11 comments 0 shares 10 saves
Kizimkazi
-
– video
13K likes 364 comments 561 shares 1.1K saves
Mtume صلى الله عليه و سلم amesema anaefanya juhudi kumtia aibu mwenzake iwe kweli iwe uongo, M/Mungu hamuondoi duniani mpaka na yeye aaibishwe
-
296 likes 5 comments 4 shares 9 saves
-
– video
639 likes 19 comments 11 shares 23 saves
Alhamdulillah Rabbil ‘Aalamiin 🤲🏽🕋❤️ Mama yangu, nimefurahi sana kukuona ukirejea salama baada ya kutekeleza Ibada ya Umra. Ni neema kubwa kutoka kwa Allah kukujaalia kufika katika Nyumba Yake Tukufu. Allah akubalie Umra yako, akusamehe madhambi yako, akubali dua zako na akupe afya, amani na…
-
– video
508 likes 39 comments 13 shares 20 saves
Mashallah sasa hapa ni mfano wa Crown au Altezza. inavutia machoni @bob shack @KHUDDAM
-
– video
1K likes 28 comments 23 shares 48 saves
Oyaa wamiliki wa hii gari wamechoka maneno sasa wanafanya vitendo, nimekuta Kariakoo inabadilishwa kila kitu 😀😀😀😀 @bob shack @KHUDDAM
-
– video
797 likes 17 comments 3 shares 26 saves
Morogoro Town
-
– video
1.4K likes 56 comments 6 shares 59 saves
Alhamdulillah. Inshallah Mwakani tutaenda pamoja🥰🥰
-
– video
664 likes 8 comments 2 shares 21 saves
Tupo Uwanjani muda huu Mnazi Mmoja Maulid Kitaifa
-
– video
1.4K likes 58 comments 12 shares 38 saves
Alhamdulillah, Umra Maqbuul Mom
-
– video
518 likes 31 comments 7 shares 18 saves
Ebana nimekutana nayo vichochoroni huku Kibaigwa😀😀@bob shack @KHUDDAM
Showing 30 of 547 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
BABDEO TikTok stats
BABDEO (@babdeo) has 85,101 TikTok followers as of . That is about 85.1K followers.
- Followers
- 85,101
- Likes
- 866,771
- Videos
- 547
- Likes per video
- 1.6K
- Average video length
- 1:26
- Median per post
- 9K views · 646 likes · 17 comments · 7 shares · 25 saves
- Average engagement per view - follower
- 9.3% - 0.02
- Average views per follower
- 0.15
- Most viewed recent posts
- “Mtume صلى الله عليه و سلم amesema anaefanya juhudi kumtia…” · 120K views · 13.4K likes · 364 comments ·
- “Oyaa wamiliki wa hii gari wamechoka maneno sasa wanafanya…” · 30.9K views · 1K likes · 28 comments ·
- “Hii si ni leo tarehe 18-10-2026 ukumbi ww Starlight Posta…” · 29.5K views · 3.1K likes · 113 comments ·
- Last post
- (less than a day before this check)
- Posting rate
- about 2.8 posts a week
- TikTok content labels
- Singing & Instruments (6 of 15 posts), Singing & Dancing (6 of 15 posts)
- Post types
- 28 videos, 2 photo posts
- Hashtags used most
- #BabdeoMiladu (2), #MiladuUpdates (2)
BABDEO follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About BABDEO
Account created