Bina Tv (@binaupdates)
- Followers
- 383K followers
- Following
- 62 following
- Likes
- 8M
- Videos
- 4.6K
- Avg length
- 1:27
Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa,
Latest videos by Bina Tv
-
– video
1 like 0 comments 0 shares 0 saves
ikifika kwenye swala la kutoa burudani @officialchidi_beenz na @official_qchief huwa hawana show ndogo kabisa yani
-
– video
15 likes 0 comments 0 shares 1 save
hili hapa balaa la @officialchidi_beenz akiwapa burudani wana mbeya kwenye jukwaa la 30 ya bongo fleva
-
– video
17 likes 0 comments 0 shares 2 saves
hii style ya uchezaji ya dansa wa h baba kwenye jukwaa la miaka 30 ya bongo fleva tuipe jina gani
-
– video
99 likes 1 comment 0 shares 11 saves
Mauno ya h baba kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo flava mbeya unampa asilimia ngapi kwa show hii
-
– video
31 likes 0 comments 1 share 1 save
Juma nature akizungumza na watu wake wa mbeya kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo muda huu
-
40 likes 0 comments 0 shares 1 save
-
– video
174 likes 2 comments 3 shares 7 saves
Juma nature kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo flava mbeya
-
– video
54 likes 1 comment 0 shares 1 save
Unakumbuka wapi ukisikia huu wimbo wa Quick rocka kwenye 30 ya bongo flava mbeya tukutane kwenye comment hapo chini
-
– video
28 likes 1 comment 0 shares 0 saves
Kbala ya Quick rocka hajawa msanii wa bongo movie alikiwa msanii wa bongo flava na alifanya Vizuri sana leo amerudi nyumbani kukiamusha kwenye jukwaa la 30 ya bongo flava Full video tembelea Channel yetu ya bina tv
-
– video
215 likes 3 comments 1 share 8 saves
Mwenye bongo flava yake jukwaani sasa kutumbuiza kwa faida ya Gen z huyu anaitwa Dully Sykes Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
222 likes 0 comments 1 share 14 saves
Ay anauliza nani ana namba yake kuna ten limezagazaga jamani kwenye usiku wa miaka 30 ya bongo flava mbeya Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
33 likes 1 comment 0 shares 3 saves
Mwanafa na 2face waitikisa mbeya kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo flava niambie umegundua kitu gani? Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
46 likes 0 comments 0 shares 2 saves
Hawa hapa African queen wakienjoy Muziki mzuri kutoka kwa 2face hapa mbeya kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo flava Niambie kati ya kajala na aunty Ezekiel nani kubaruza Zaidi? Full video tembelea Channel yetu ya bina tv
-
– video
31 likes 1 comment 0 shares 2 saves
tatu kwenye jukwaa moja mwanafa Madee na 2face kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo flava mbeya Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
14 likes 1 comment 0 shares 1 save
Mwanafa anakukumbusha kuna vitu vingi sana vya kumuomba mungu kabla ujamuomba utajiri kwenye jukwaa la 30 ya bongo flava mbeya Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
424 likes 2 comments 1 share 20 saves
Tazama #2face alivyompandisha jukwaani @madeeali kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo flava mbeya Full video tembelea Channel yetu ya bina tv
-
– video
124 likes 0 comments 2 shares 1 save
Shangwe na nderemo zimetawala mkoani Mbeya baada ya msanii mkongwe wa muziki kutoka Nigeria, 2Face Baba, kufanya show ya nguvu kwenye tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava.
-
– video
26 likes 1 comment 0 shares 0 saves
Uzuri wanyakyusa elimu ipo kwahyo wanampata Vizuri sana 2face kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo flava Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
29 likes 1 comment 0 shares 0 saves
2face kweli ameamua kufanya kufuru vibe kama lote kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo flava hapa mbeya unampa asilimia ngapi kwa show hii Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
25 likes 0 comments 0 shares 0 saves
2face ameanza kwa namna hii kuhakikisha wananchi wa mbeya wanapata burudani wanayostahili 🙌 kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo flava Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
452 likes 4 comments 0 shares 28 saves
Kundi la A List, linaloundwa na Jackline Wolper, Kajala na Aunt Ezekiel, limemkaribisha jukwaani Msanii Mkongwe wa muziki kutoka Nigeria, 2Face Idibia, katika Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva Jijini Mbeya. 2Face, anayefahamika pia kama 2Baba, ameungana na Wasanii wengine kutoa burudani kwa…
-
– video
16 likes 1 comment 0 shares 2 saves
Jay moe anakwambia kama kuna demu umezimikia ni sawa ila mfate kimya kimya kwenye 30 ya bongo flava Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
44 likes 1 comment 0 shares 5 saves
Baada ya A list kupanda jukwaani shabiki ashindwa kujizua apanda jukwaani na kumkumbatia mrembo kajala kwenye 30 ya bongo flava mbeya Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
20 likes 0 comments 0 shares 0 saves
Inspector haroun afanya show ya kibabe kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo flava mbeya Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
22 likes 0 comments 0 shares 0 saves
Tazama show ya mulla obo kwenye jukwaa la 30 ya bongo flava mbeya ni noma sana unampa asilimia ngapi kwa show hii Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
57 likes 0 comments 0 shares 0 saves
Mabaga fresh wapita na Tunataabika kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo flava mbeya ni noma sana Full video tembelea Channel yetu ya bina tv .................................................................................
-
– video
15 likes 0 comments 0 shares 1 save
Sogg doggy msanii pekee anayetumia mic mbili akiwa anafanya show yake kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo flava lakini madance kama wote niambie kwa show hii unampa asilimia ngapi Full video tembelea Channel yetu bina tv YouTube
-
– video
11 likes 0 comments 0 shares 0 saves
Unaambiwa kipindi hichoo kuna mtu alikuwepo Mbeya alikiwa anachunja ng'ombe mmoja peke yake Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
152 likes 2 comments 2 shares 4 saves
Nyabinghi agawa maparachichi mihogo na ndizi kwa Mashabiki zake hapa kwemye Miaka 30 ya bongo flava Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
-
– video
28 likes 0 comments 1 share 0 saves
Show ya wagosi wa kaya kwenye tamasha kubwa la 30 ya bongo flava mbeya kwa show hii unawapa asilimia ngapi? Full video tembelea Channel yetu ya bina tv YouTube
Showing 30 of 4,578 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
Bina Tv TikTok stats
Bina Tv (@binaupdates) has 382,542 TikTok followers as of . That is about 383K followers.
- Followers
- 382,542
- Likes
- 7,999,355
- Videos
- 4,578
- Likes per video
- 1.7K
- Average video length
- 1:27
- Median per post
- 698 views · 31 likes · 1 comment · 0 shares · 1 save
- Average engagement per view - follower
- 4.4% - under 0.01
- Average views per follower
- 0.01
- Most viewed recent posts
- “Kundi la A List, linaloundwa na Jackline Wolper, Kajala na…” · 10.6K views · 452 likes · 4 comments ·
- “Tazama 2face alivyompandisha jukwaani madeeali kwenye…” · 7.9K views · 424 likes · 2 comments ·
- “Ay anauliza nani ana namba yake kuna ten limezagazaga…” · 7.6K views · 222 likes · 0 comments ·
- Last post
- (less than a day before this check)
- TikTok content labels
- Music (20 of 20 posts), Entertainment Culture (20 of 20 posts)
Bina Tv follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About Bina Tv
Account created