Bonde Icon Brand ✪ (@bondeicon_brand)
- Followers
- 197K followers
- Following
- 11 following
- Likes
- 2.6M
- Videos
- 709
- Avg length
- 1:15
......The President of Bonde World Wide..... Author ✍️ | Journalist 🎙️ | Photographer 📸 | VFX ⚙️ For Business: +255 6666 236 626 ☎️ | +255 698 567 490 Online
Latest videos by Bonde Icon Brand
-
– video Pinned
Diamond Platnumz alifunguka katika moja ya mahojiano yake na Lil Ommy kuwa kuna siku mtoto wake wa kiume NILLAN kuwa anandoto za kuja kuwa Gamer mkubwa ila Diamond alimkalipia vibaya mnoo.. #diamondplatnumz #nillan #bondeiconbrand
-
– video Pinned
Kitu kimoja nilichogundua kwa Ibraah anaheahima kubwa sana kwa Diamond Platnumz na anamuheshimu sana, Hichi kitu ndio hataki kukubali Baba ake sasa.. #ibraah #diamondplatnumz
-
– video Pinned
ILA TANGA KUNA VITUKO SANA DAAAH #trendingvideo #viral #shorts
-
– video
111 likes 1 comment 0 shares 8 saves
Msanii wa Bongo Fleva na East Africa ZUCHU wakati wa Studio Session ya nyimbo ya MVUA YA BARAKA, Zuchu alielezea kuhusu ujio wa jina lake jipya BONGE LA ZUCHU amefunguka na kuelezea maana ya jina hilo la Bonge la zuchu. Ikumbukwe tu jina la Bonge la Zuchu limeibuka hivi karibuni baada ya kutoka…
-
– video
48 likes 2 comments 0 shares 9 saves
Mhe. Tundu Lissu ameongea kwa uchungu sana aisee 🙌.. Mungu muweke Mh. Tundu Lissu #trendingvideo
-
– video
47 likes 1 comment 0 shares 3 saves
Ila huu mtandao wa TikTok huu 😂😂😂😂 #trending
-
– video
33 likes 2 comments 0 shares 4 saves
Usiombe yakukute kabisa yani usiombe.. #trending
-
– video
ila jamani hii Nchi 😂😂😂 #1millionstories
-
– video
460 likes 9 comments 17 shares 30 saves
Maneno yenye kutia hamasa ya Sheikh Walid ni haya angalia mpaka mwisho... #trending
-
– video
676 likes 39 comments 6 shares 66 saves
Baada ya hakimu kutoa Hukumu ya kifo kwa mtoto mama alishuka chini na kumuomba Hakimu kabla ya Mwanae kunyongwa amkumbatie japo kwa mara ya mwisho tu, Jambo lililoibua hisia kwa hakimu na kumsamehe mtoto huyo kutoka kwenye hukumu ya kifo hiyo.. Mama yako ndio Pepo yako mama anaweza akakuepusha…
-
– video
156 likes 3 comments 5 shares 6 saves
Unavyoambiwa Hapo jana Diamond Platnumz balaa alilolifanya sio dogo....🙌🙌 Manapoanbiwa kuwa Simba ni the Biggest Artist muwe mnaelewa basi.... #diamondplatnumz #trendingvideo
-
– video
117 likes 0 comments 0 shares 8 saves
Siku ya jana kulifanyika bonge moja la Concert ambalo limeandaliwa na maproducer wakali wa bongo S2KIZZY pamoja na ABBAH PROCESS, sasa on the stage alipoperfome bidada ABIGAIL CHAMS msanii kutokea Bongo bongo alifanya balaa sio la kitoto unavyoambiwa.. ✍️ Salem_Omar Mcheki @chapnet_ kwa internet…
-
– video
1.8K likes 24 comments 26 shares 179 saves
Nyimbo ya Mvua ya Baraka iliyofanywa na Mama na Baba Sandra yani (Diamond Platnumz pamoja na Zuchu) Tayari imeshatoka Official Audio ila balaa la humo ndani wote wamechapana kinoma... 🙌 #zuchu #diamondplatnumz #trendingvideo
-
– video
475 likes 5 comments 7 shares 29 saves
Kuwa Muislamu Raha sana asikwambie mtu nyie weeee ❤️❤️❤️🙌🙌 #trendingvideo #bondeiconbrand
-
– video
1.3K likes 53 comments 25 shares 82 saves
Imam Salim Bahanan, Ni moja ya maimam maarufu sana Nchini Indonesia... Hii ilikuwa ni Swala ya Alfajir huwa ina Qunut Dua'a Sikiliza kwa makini... #trending #salimbahanan
-
– video
2.1K likes 39 comments 21 shares 111 saves
The Power of Quran verses... #trending
-
– video
1.6K likes 10 comments 11 shares 77 saves
MISHARY AL AFASY NDIO MSOMAJI... #trendingreels
-
– video
3.1K likes 73 comments 42 shares 132 saves
Kisomo cha unyenyekevu 🍂🍁 #trendingvideo
-
– video
2.7K likes 46 comments 25 shares 117 saves
Na pindi mtakapo isikia Adhana kwaajili ya Swala basi mfanye upesi kuindea Dhikir ya Allah .... Tuswali sana na tumuombe Allah atupe Mwisho mwema hakika Dunia ni mpito tyu na sote tutarejelea kwa Allah... Ni ukumbusho tu.. #trendingvideo
-
– video
57K likes 797 comments 1.4K shares 3.2K saves
Hakika Quran ni Da'awa 🙌🙌 #trending
-
– video
114 likes 6 comments 1 share 7 saves
Miongoni mwa hit song zilizowahikutokea katika mipaka ya Bongo ni hili dubwana lililowakutanisha wakali wa mziki wa Hiphop kutokea Tanzania hapa tunamzungumzia @fidq_words pamoja na @youngkillermsodokii katika wimbo wa B13 ambao umefanywa na BONGO RECORD STUDIO.. Unakumbuka wapi ukisikia hii…
-
– video
254 likes 8 comments 0 shares 14 saves
Hizo zote ni nyimbo za msanii Indila, lakini moja ya wimbo pekee uliompa umaarufu mkubwa duniani, ni "Dernière danse", ambao ulitoka rasmi mwishoni mwa mwaka 2013. Ukawa utambulisho mkubwa wa albamu yake ya kwanza iliyoitwa Mini World, iliyotoka mnamo Februari 2014 na kupata mafanikio makubwa…
-
– video
893 likes 20 comments 16 shares 98 saves
Mfahamu Imamu wa Kudumu wa Masjid Al Haram (Makha) Sheikh Yasser Al Dossar.. Alieanza kuswalisha akiwa Umri wa Miaka 15 tu.. #trending #yasseraldosari
-
– video
293 likes 3 comments 4 shares 19 saves
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Charles Makongoro Nyerere, Amewasihi vijana kichangamkia Fursa za kiuchumi,Biashara kuelekea wiki ya Vijana Kitaifa... #trending #bondeiconbrand
-
– video
168 likes 0 comments 1 share 7 saves
Mzee wa Masengere leo ndio namuona anarudi aisee toka nianze kumjua... #trending
-
– video
115 likes 3 comments 0 shares 12 saves
Kisa Swahaba wa Mtume Muhammad Ali (S.A.W) ambae alitengwa na Watu kwa siku 50 bila ya kuongeleshwa... Sikiliza Hadi Mwisho... Itaendelea ... #trending
-
– video
3.3K likes 58 comments 32 shares 415 saves
Mfahamu Imamu Mkuu wa Masjid Al Haram (Makkah) Pamoja na Masjid Al Nabawi SHEIKH ABDUL-RAHMAN AL- SUDAIS Itaendelea...... #trending
-
– video
264 likes 16 comments 3 shares 18 saves
Moja ya ujio wa New Track song yake mpya ambayo itaitwa MVUA.. Mwisho wa hii Clip kuna Sauti ya Diamond Platnumz sasa sijui Simba nae yumo humu au laah!! #trending
-
– video
10K likes 189 comments 77 shares 784 saves
Aisee hii imekaa kimikakati sana Harmonize na Mbosso wameachia Remix ya Ngoma ya kamata II.. Ikumbukwe kuwa Ibraah ametoka kuachia Album yake juzi tyu... #trending
-
– video
52K likes 1.3K comments 1.2K shares 3.9K saves
Mama alijikuta anatoa machozi baada ya Maandalizi makubwa yaliyofanywa na mtoto wake katika Kumbukizi ya Siku yake ya kuzaliwa... Tuwaombee wazazi wetu mwisho mwema INSHALLAH 🙏 tusiache kuwaombea hakika, #trending
Showing 30 of 709 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
Bonde Icon Brand TikTok stats
Bonde Icon Brand (@bondeicon_brand) has 197,151 TikTok followers as of . That is about 197K followers.
- Followers
- 197,151
- Likes
- 2,584,250
- Videos
- 709
- Likes per video
- 3.6K
- Average video length
- 1:15
- Median per post
- 6.3K views · 468 likes · 10 comments · 7 shares · 30 saves
- Average engagement per view - follower
- 15.3% - 0.03
- Average views per follower
- 0.18
- Most viewed recent posts
- “Mama alijikuta anatoa machozi baada ya Maandalizi makubwa…” · 435K views · 52K likes · 1.3K comments ·
- “Hakika Quran ni Da'awa 🙌” · 210K views · 57.3K likes · 797 comments ·
- “Aisee hii imekaa kimikakati sana Harmonize na Mbosso…” · 137K views · 10.3K likes · 189 comments ·
- Pinned posts
- 3, with 1.6M, 1.3M and 133K views
- Last post
- (less than a day before this check)
- Posting rate
- about 10.6 posts a week
- TikTok content labels
- Entertainment Culture (3 of 3 posts), Entertainment (3 of 3 posts)
- Hashtags used most
- #trendingvideo (8), #diamondplatnumz (4), #bondeiconbrand (3)
Bonde Icon Brand follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About Bonde Icon Brand
Account created