BONGA+ TV (@bongaplustv)
- Followers
- 334K followers
- Following
- 4 following
- Likes
- 2.9M
- Videos
- 2.4K
- Avg length
- 2:51
Latest videos by BONGA+ TV
-
– video
6 likes
Tanzania ni nyumba yetu sote tunapoharibu miundombinu yake, tunaharibu sehemu ya maisha yetu wenyewe, tuilinde nchi yetu, tuthamini tulichonacho, kwa sababu uchungu wa kuijenga upya huubeba mwananchi yuleyule tunayemwita Mtanzania mwenzetu. #Kataamaandamano #Kataavurugu #JengaTanzaniayetu…
-
– video
6 likes
Wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa utekelezaji wa uhamisho wa makao makuu ya nchi kwenda Dodoma, wakieleza kuwa hatua hiyo imefungua fursa za maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Wakizungumza katika nyakati tofauti…
-
– video
9 likes
Vijana wa kikundi cha Toyo Brotherhood, Kata ya Kurasini, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, wamekabidhiwa tena maguta yao yaliyokuwa yamekamatwa na mamlaka husika, bila kutozwa faini yoyote, baada ya agizo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Faris Buruhani. Agizo…
-
– video
2 likes
Kuelekea Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 70 ya Usajili na Usimamizi wa Jumuiya za Kiraia nchini, unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho Tarehe 28 hadi 30, Oktoba 2026, katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Rev. Dr. Vernon Fernandes ambaye ni Mwenyekiti wa Kitaifa wa Baraza la Makanisa ya…
-
– video
5 likes
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limewekeza katika ununuzi wa kifaa cha kisasa cha mafunzo ya udereva wa treni, Motion Platform Simulator chenye uwezo wa nyuzi sita za uhuru wa mwendo (6 Degrees of Freedom), kwa lengo la kuimarisha umahiri wa madereva na usalama wa usafiri wa reli nchini…
-
– video
7 likes
Kila mwananchi ana wajibu wa kulinda amani kwa kuepuka vitendo vya uchochezi, chuki na migawanyiko katika jamii.
-
– video
6 likes
Ikiwa imesalia siku moja kuelekea Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 70 ya Usajili na Usimamizi wa Jumuiya za Kiraia nchini, unaotarajiwa kufanyika kuanzia 28 hadi 30, Oktoba 2026, katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam,Mufti wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zuber Bin Ali, amesisitiza…
-
– video
7 likes
Kuelekea Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 70 ya Usajili na Usimamizi wa Jumuiya za Kiraia nchini, unaotarajiwa kufanyika kuanzia 28 hadi 30, Oktoba 2026, katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Mtumishi wa Mungu wa Madhabahu ya Arise and Shine, Mtume Boniface Mwamposa amesisitiza umuhimu…
-
– video
7 likes
Msaidizi wa Tundu Lissu, Freddy, ametoa rai kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutokuwa na hofu ya kuzungumza na kuchukua hatua kuhusu hali ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa ni muhimu kuweka mikakati ya kutafuta suluhu ya changamoto zinazokikabili chama hicho. Freddy…
-
– video
2 likes
Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesemakua Shirika la Reli Tanzania (TRC) linastahili pongezi kwa kazi kubwa ya kiusimamizi na kitaalamu kuhakikisha kipande cha nne cha SGR (Tabora-Isaka),Ujenzi wake unaendelea vizuri. Aidha Prof. Mbarawa, amempa onyo mkandarasi kampuni ya Yapi…
-
– video
67 likes
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Faris Buruhani, amewataka vijana na wanachama wa CCM kuendelea kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan na kujibu hoja za wapinzani, akisema ni muhimu kupinga kile alichokiita propaganda, uzushi na uchonganishi dhidi ya serikali na…
-
– video
29 likes
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Faris Buruhani, amewataka viongozi wa jumuiya hiyo katika ngazi zote kusimamia maslahi ya vijana, wakiwemo wanafunzi wa vyuo vikuu na vijana wanaofanya kazi katika sekta mbalimbali nchini. Akizungumza Jumapili, Oktoba 25, 2026…
-
– video
12 likes
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Patrobas Katambi, amewakaribisha Watanzania, hususan viongozi wa jumuiya za kiraia, kuhudhuria mkutano utakaofanyika Mlimani City, Dar es Salaam, kuanzia Oktoba 28 hadi 30, 2026. Amesema mkutano huo utajadili changamoto…
-
– video
9 likes
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema mradi wa reli ya kisasa (SGR) katika kipande cha sita (Lot 6) kutoka Tabora hadi Kigoma unatarajiwa kubadilisha maisha ya Watanzania na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii, kwa kurahisisha usafiri na usafirishaji wa watu na bidhaa. Amesema…
-
– video
8 likes
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amelipongeza Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa ubunifu wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza mataruma ya zege nchini kwaajili ya Reli ya Zamani (MGR), akisema hatua hiyo itasaidia kupunguza gharama za ujenzi na matengenezo ya miundombinu ya reli…
-
– video
8 likes
Mchambuzi wa masuala ya uchumi na siasa, Philipo Mwakibinga, amewakosoa viongozi wa CHADEMA, akiwemo John Mnyika na John Heche, kwa kile alichodai ni kushindwa kutumia busara na hekima katika kushughulikia suala la mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Mwakibinga amesema viongozi hao wamekuwa…
-
50 likes
-
– video
7 likes
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Faris Buruhani, ametoa maelekezo ya kutaka maguta manne yanayodaiwa kukamatwa kutoka kwa vijana jijini Dar es Salaam yaachiwe ifikapo Jumatatu, Oktoba 26, 2026, akisema hatua hiyo inalenga kulinda maslahi ya vijana. Akizungumza leo…
-
– video
45 likes
MAHABA YA BODABODA KWA FARIS BURUHAN WAGOMA KUBAKI KIJIWENI ILI WAMPOKEE
-
– video
98 likes
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed, amemtetea Rais Samia Suluhu Hassan dhidi ya madai kwamba hajatekeleza miradi ya maendeleo, akitaja ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere kama mifano ya miradi…
-
– video
22 likes
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Faris Buruhani, akichangamana na mama lishe kwa kupika sambusa na kushiriki shughuli zao za kila siku wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika leo, Oktoba 25, 2026, jijini Dar es Salaam.
-
– video
8 likes
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Faris Buruhani, leo Oktoba 25, 2026, anatarajiwa kupokelewa na vijana pamoja na wanachama wa CCM jijini Dar es Salaam, baada ya kupokelewa katika mikoa ya Dodoma na Zanzibar. Msafara wa Buruhani umeanzia eneo la Mikocheni jijini Dar es…
-
– video
9 likes
Mwanamitandao na mwalimu, Clemence Mwandambo, ametoa madai dhidi ya Kanisa Katoliki akihusisha maadhimisho ya misa ya kuwaombea waliofariki Oktoba 29, 2025, na kile alichodai kuwa ni uchochezi. Katika maelezo yake, Mwandambo amelinganisha uamuzi wa Kanisa Katoliki kuandaa misa hiyo na matukio ya…
-
– video
24 likes
Dodoma. 24 Oktoba, 2026 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa leo Oktoba 24, 2026 ameshiriki kazi za ukwagaji wa zege na uwekaji wa majukwaa ya uwanja mpya wa michezo wa Dodoma unaojengwa katika eneo la Nzuguni Jijini humo…
-
– video
7 likes
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amelitaka Shirika la Reli Tanzania (TRC), Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kushirikiana kuboresha mfumo wa usafirishaji na upokeaji wa mizigo ili kupunguza msongamano katika Jiji la Dar es…
-
17 likes
-
10 likes
-
– video
14 likes
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, leo ametembelea Chuo cha National Institute of Transport (NIT), jijini Dar es Salaam, ambapo alipata fursa ya kuzungumza na kuwaasa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuzingatia nidhamu, kujituma katika masomo na…
-
– video
15 likes
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Faris Buruhani, amesema atatumia nafasi yake kuhakikisha maslahi ya vijana wa CCM na Watanzania kwa ujumla yanasimamiwa kikamilifu. Akizungumza katika hafla ya mapokezi yake iliyofanyika Viwanja vya Gymkhana, Zanzibar, Oktoba 22…
-
– video
5 likes
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Faris Burhan, amewataka viongozi wa jumuiya hiyo kuhakikisha vijana wanaona matunda ya juhudi na mchango wao katika kukijenga chama na kukiwezesha kuendelea kushika dola. Akizungumza leo, Oktoba 22, 2026, katika mapokezi yaliyofanyika…
Showing 30 of 2,428 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
BONGA+ TV TikTok stats
BONGA+ TV (@bongaplustv) has 333,749 TikTok followers as of . That is about 334K followers.
- Followers
- 333,749
- Likes
- 2,910,565
- Videos
- 2,428
- Likes per video
- 1.2K
- Average video length
- 2:51
- Median per post
- 309 views · 9 likes
- Average views per follower
- under 0.01
- Most viewed recent posts
- “MAHABA YA BODABODA KWA FARIS BURUHAN WAGOMA KUBAKI…” · 7.1K views · 45 likes ·
- A video from · 4.5K views · 50 likes
- “Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi…” · 3.7K views · 98 likes ·
- Last post
- (less than a day before this check)
About BONGA+ TV
Account created