bidda.tz (@clarckson03)
- Followers
- 21.9K followers
- Following
- 1.4K following
- Likes
- 324K
- Videos
- 280
- Avg length
- 0:59
JITU LA MTUMBA Musician & Digital Marketing Strategist DOWNLOAD REMIX ZOTE HAPA!! 👇🏾
Latest videos by bidda.tz
-
– video Pinned
Watu sahihi wanasimama na kazi nzuri. 🚀🙌🏾🔥🇹🇿🫶🏾 Kila mlango unaofunguka na nafasi mnayonipa inanipa nguvu ya kuchimba zaidi creativity kwenye ubunifu wangu. Twende tukaonyeshe ulimwengu kuwa tunaweza. 🇹🇿🔥🫶🏾🙌🏾🚀🙏🏾 yahayo yanafurahisha 🙌🏾🔥 #fypシ゚viral #zanzibar #tanzaniantiktok🇹🇿 #bukujero #biddatz
-
– video Pinned
Taifa likimpa sikio kidogo tu huyu muhuni hamna wa kumshusha 🇹🇿🙌🏾, mbosso kakubaliana na sisi 😎🇹🇿🚀 bado suala la collabo sasa tumpambanie mwanetu 😌 #fypシ #creatorsearchinsights #tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibar #zanzibar
-
– photo post
Pinned
Photo post
Kwa wadau wote waliokuwa wananiulizia hii REMIX ya BUKU JERO — pumzikeni sasa! Hatimaye ile Buku Jero Remix uliyokuwa unaisubiri kwa hamu sasa imeachiliwa. Ngoma yetu pendwa imeachiliwa rasmi Kupitia Website yetu ambayo link ipo kwenye bio yetu tayari!! Zifuatazo ni hatua rahisi za kuipakua…
-
– video
895 likes 53 comments 1 share 51 saves
Sauti nzuri ina nguvu kuliko maneno elfu moja! 🔊🔥 Bidda ATENGWE 🔥🔥🙌🏾🙌🏾 Tukimchekea ataleta challenge ya tangazo huyu 😂🙌🏾 Katika social media na matangazo ya kisasa, audio ndiyo inayomfanya mtazamaji asimame kuscroll na kuanza kusikiliza. Na inapokuja kwenye kuburudisha na kukata kiu ya kweli…
-
– video
3.3K likes 63 comments 15 shares 137 saves
Ukisikia , Ng’ombe kapewa mzigo wa majani aulinde ndo hii 🫶🏾🔥🚀 Kiukweli, Hii inatia moyo na nguvu sana 🥹😍 na isitoshe ni baraka kutoka kwa legend na moja ya waasisi wa Bongo flavour @joslin_tz 🇹🇿 hii ni ishara kuwa muziki wetu wa Gen Z unaelekea pazuri, nakumbuka kipindi bro ana hit , wengi wetu…
-
– video
4.9K likes 221 comments 50 shares 330 saves
Cheni bandia nanunua kwa pesa batili 😎🤣🙌🏾🚀🔥🫶🏾🇹🇿 Hili jamaa sijui linawazaga nini aisee 🙌🏾😂 #zanzibartiktok #zanzibar🇹🇿 #fypシ゚viral #foryou #kariakoo
-
– video
3.8K likes 198 comments 26 shares 222 saves
Huyu jamaa kwenye uandishi kibongo bongo kashavuka🙌🏾🔥🚀🚀🇹🇿 Leo sileti wazungu , nakuletea warumi 🙌🏾 #fypシ #tanzaniantiktok🇹🇿 #creatorsearchinsights #zanzibar🇹🇿 #kariakoo
-
– video
308 likes 6 comments 5 shares 18 saves
Hii #mamayanguremix ilianza ku hit zanzibar kabla ya bongo 🙌🏾🇹🇿🎶🚀😂 Muulizeni @CONTAWAA_ZANZIBAR #fypシ #tanzaniantiktok🇹🇿 #creatorsearchinsights #zanzibar🇹🇿
-
– video
3.7K likes 140 comments 46 shares 222 saves
Natafuta demu nifanye tangazo la condone nimpe dili😎 Jamaa kaamua kudhihirisha kuwa sikio hatujampa kwa bahati mbaya , ni anastahili! 🙌🏾🔥🚀🫶🏾 Kama hujafika kariakoo huwezi kuielewa hii track🙌🏾
-
– video
970 likes 122 comments 30 shares 87 saves
Hii sound ya huyu jamaa italeta shida sana mbeleni 🇹🇿🙌🏾🚀🔥🫶🏾 Ety, Natafuta demu tufanye tangazo la condom , nimpe dili! 😎🤣🔥🫶🏾🚀🙌🏾🔥🇹🇿 #kariakoo Comment zikifika 500 naipandisha full (official audio)🚀 #fypシ #tanzaniantiktok🇹🇿 #creatorsearchinsights #zanzibar🇹🇿
-
– video
456 likes 14 comments 0 shares 14 saves
Mlevi hapotei nyumbani 😎 Huu moto wa huyu jamaa ni moto wa gesi 🙌🏾🌪️🔥 Buku Jero remix sasa inapatikana @audiomack rasmi🚀🔥🫶🏾🇹🇿 #fypシ #tanzaniantiktok🇹🇿 #creatorsearchinsights #zanzibar🇹🇿 #bukujero
-
– video
849 likes 48 comments 6 shares 42 saves
Zombie nipe lighter , niwashe Televisheni 😂.. ila huyu dogo ana kitu aisee 🤣🫶🏾🙌🏾 Muziki mzuri huwa unakonga mpaka moyo wa mtoto mdogo 😎😩🙌🏾💪🏾🔥🚀🫶🏾🇹🇿 #mamayanguremix #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ #zanzibartiktok #fypシ゚viral
-
– photo post
Photo post
Unapokuwa na vision , plan and strategy ya kipekee, gemu zima linakubali matokeo!🙏🏾🔥🚀🇹🇿🫶🏾🙌🏾💥 Wazungu husema 'Real recognize real', lakini sisi tunasema 'Support creates icons'.🫶🏾🙌🏾🔥🇹🇿🚀 Heshima na nidhamu ya hali ya juu kwa Watanzania wote, wadau wa burudani, ma-media, ma-influencers, na…
-
– video
129 likes 8 comments 1 share 6 saves
Toba 😂🙌🏾😂 ukisikia Shaghalabagala ndo hii sasa 🤣 nani aniambie hapa ni wapi , nataka niwape Zawadi zao 🙌🏾🫶🏾🚀🔥🇹🇿 #creatorsearchinsights #fypシ #fypシ゚viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibartiktok
-
– video
1.9K likes 46 comments 13 shares 92 saves
Huruma sio malezi hata BIBI alikuwa BIKIRA😎🫶🏾🇹🇿🔥🙌🏾🚀 @Kiddy hunter #mamayanguremix #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ #zanzibartiktok #fypシ゚viral
-
– video
844 likes 20 comments 10 shares 40 saves
Huruma sio malezi , hata Bibi alikuwa BIKIRA 😂🔥🇹🇿🫶🏾🚀🙌🏾 #mamayanguremix #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ #creatorsearchinsights #zanzibartiktok
-
– video
2K likes 34 comments 16 shares 143 saves
Leo vinjwanjwa hamninyweshi , nataka Tequila 😎🔥🚀🫶🏾🇹🇿 Ukiachana na sound , muhuni uandishi wake noma😌 #mamayanguremix #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ #creatorsearchinsights #zanzibartiktok
-
– video
1.2K likes 26 comments 8 shares 62 saves
Ety, I only eat Pizza katapika dagaa 😎🚀🙌🏾 Ila huyu jamaa kwa uandishi atengwe tu 🙌🏾🚀🫶🏾🇹🇿🔥 #mamayanguremix #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ #creatorsearchinsights #zanzibar🇹🇿
-
– video
2K likes 51 comments 19 shares 94 saves
Boda boda ya mkopo , break imefeli kwenye kona 😂 dah ila hii sound 🙌🏾🚀🔥🇹🇿🫶🏾 @_Big stunna #mamayanguremix #tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibartiktok #fypシ #creatorsearchinsights
-
– video
2.9K likes 44 comments 24 shares 167 saves
Yatima hatumdekezi , Kwetu nauli hasira 😎 #mamayanguremix Hii sound ya huyu muhuni itafanya kuna watu wakose mkate wao wa kila siku 😂😂🔥🚀🇹🇿🫶🏾 #tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibartiktok #fypシ #creatorsearchinsights
-
– video
20K likes 499 comments 213 shares 1.2K saves
Hii sound ya huyu muhuni italeta shida 🙌🏾🔥🚀🫶🏾🇹🇿🚀 Mkubwa kashapitisha 💪🏾 #fypシ #zanzibartiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #creatorsearchinsights #mamayangu
-
– video
2.6K likes 81 comments 2 shares 122 saves
Ijumaa hii kinawaka , mwanetu anasema msikae mbali na page yake anakujaa kuthibitisha kuwa kufanya muziki habahatishi 😎🙌🏾… pia hakikisha umesubscribe channel yake ya youtube ili akitoa ngoma nyingine uwe wa kwanza kuipata 🙏🏽🚀🔥🫶🏾🇹🇿 #fypシ #zanzibartiktok #mamayangu #tanzaniantiktok🇹🇿…
-
– video
1.1K likes 17 comments 8 shares 55 saves
Penzi zito kwani ulipimia mizani!! 😂😂😂 #fypシ #tanzaniantiktok #creatorsearchinsights #bukujero #zanzibartiktok
-
– video
2.2K likes 36 comments 14 shares 83 saves
Watu wanachompendea huyu muhuni , hafanyi kiki anafanya muziki. Na muziki mzuri siku zote unaishi 🚀🫶🏾🇹🇿🔥🙌🏾🙏🏽 International sounds tunazotaka kuzisikia👌🏾🚀🇹🇿🔥 #fypシ #tanzaniantiktok #creatorsearchinsights #tanzaniantiktok🇹🇿 #bukujero
-
– video
887 likes 10 comments 0 shares 32 saves
Hii verse huyu muhuni aliandika bhana 🙌🏾🤣🚀🫶🏾🇹🇿 naskia Mzee kirungi kaacha ndala huko 🤣😂🚀🙌🏾🇹🇿🫶🏾🔥🔥🔥 #fypシ #tanzaniantiktok #creatorsearchinsights #tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibartiktok
-
– video
4.1K likes 40 comments 16 shares 208 saves
Nikipenda naenda DEEP , Kama meli ya TITANIC🚀🙌🏾🫶🏾🇹🇿🔥 Huu uandishi sijui hata aliwaza nini huyu muhuni!! #fypシ #tanzaniantiktok #bukujero #creatorsearchinsights #zanzibartiktok
-
– video
16K likes 168 comments 103 shares 899 saves
Ety penzi zito kwani ulipimia mizani!! 😌🤣 Huu ndo wimbo pendwa wa WATANZANIA wengi kwa sasa🫶🏾🚀🙌🏾🇹🇿🚀🔥 #tanzaniantiktok #fypシ #creatorsearchinsights #tanzaniantiktok🇹🇿 #bukujero
-
– video
2.2K likes 33 comments 9 shares 82 saves
Mkubwa @TSHABALALA Umefanya pakubwa sana mkubwa 🫶🏾😭🔥🙌🏾🇹🇿🚀🙏🏽 wimbo ujengewe sanamu sasa 🔥🙌🏾 , maana wakubwa washaupitisha na huu ndo mwanzo tu 😎 #fyp> #tanzaniantiktok> #zanzibartiktok #bukujero #creatorsearchinsights
-
– video
1.9K likes 45 comments 8 shares 92 saves
Unaniletea Shetani!! #fypシ #tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibartiktok #bukujero #creatorsearchinsights
-
– video
166 likes 5 comments 5 shares 16 saves
Hii inaonyesha jinsi gani muziki mzuri unaweza kuwa na muitikio mkubwa endapo tukiupa nafasi hususani hii generation mpya 🫶🏾🇹🇿🚀🔥🙏🏾 Tuondoke🔥🔥 #tanzaniantiktok🇹🇿 #bukujero #fypシ゚viral #zanzibartiktok🇹🇿 #biddatz
Showing 30 of 280 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
bidda.tz TikTok stats
bidda.tz (@clarckson03) has 21,898 TikTok followers as of . That is about 21.9K followers.
- Followers
- 21,898
- Likes
- 323,830
- Videos
- 280
- Likes per video
- 1.2K
- Average video length
- 0:59
- Median per post
- 22.3K views · 1.9K likes · 45 comments · 12 shares · 90 saves
- Average engagement per view - follower
- 10.0% - 0.15
- Average views per follower
- 1.46
- Most viewed recent posts
- “Ety penzi zito kwani ulipimia mizani!! 😌🤣 Huu ndo wimbo…” · 211K views · 16.3K likes · 168 comments ·
- “Hii sound ya huyu muhuni italeta shida 🙌🏾🔥🚀 Mkubwa…” · 170K views · 19.6K likes · 499 comments ·
- “Nikipenda naenda DEEP , Kama meli ya TITANIC🚀🙌🏾🫶🏾 Huu…” · 48.1K views · 4.1K likes · 40 comments ·
- Pinned posts
- 3, with 381K, 309K and 50.8K views
- Last post
- (7 days before this check)
- Posting rate
- about 4.4 posts a week
- TikTok content labels
- Music (7 of 16 posts), Entertainment Culture (7 of 16 posts)
- Post types
- 28 videos, 2 photo posts
- Hashtags used most
- #tanzaniantiktok (25), #zanzibartiktok (18), #zanzibar (10), #bukujero (10), #mamayanguremix (9)
bidda.tz follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About bidda.tz
Account created