COCO FM (@cocofm)
- Followers
- 759K followers
- Following
- 28 following
- Likes
- 5.9M
- Videos
- 15.2K
- Avg length
- 2:39
A media company specializing in digital content creation.
Latest videos by COCO FM
-
– video Pinned
@marshbaby aomba mechi na @zullysolomon😅 #UNYAGONI #COCOFM #ladhayapwani
-
– video Pinned
If you listen to Reggae music, listen with your MIND not EARS - @natty.oj1 #reggaeexplosion #COCOFM #ladhayapwani
-
– video Pinned
"Mwanamke akikucheat usimsamehe hata kidogo...atakusumbua" @marshbaby #ladhayapwani #UNYAGONI #COCOFM Digital Producer: @shiangalamike
-
– video
35 likes 0 comments 0 shares 3 saves
Binadamu tunapenda sana kupeana ushauri ilhali sote ndo mara ya kwanza kuishi. Tupunguzeni ushauri @mainmanrio & @sumsuma003 #CocoDrive #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
41 likes 1 comment 0 shares 2 saves
Hivi ni kwanini unafikiri kuna watu ambao hawafurahikii maendeleo ya wenzao? #JahaziLaTaarab #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
19 likes 0 comments 0 shares 2 saves
SERIKALI YAHIMIZWA KUWEKA MIKAKATI YA KUZUIA MAFURIKO WAKATI WA ELNINO Wakaazi wanaoishi katika mitaa ya mabanda na maeneo yalio katika hatari ya kukumbwa na mafuriko sasa yanashinikiza kuimarishwa kwa mikakati bora ya kuzuia mafuriko iwapo mvua ya Elnino itanyesha. Wakaazi hawa wanasisitiza…
-
– video
32 likes 0 comments 1 share 2 saves
wazazi tunapopeleka watoto kwa familia zetu tuhakikishe tunawapeleka na angalau shopping hususan kipindi hichi cha likizo ndefu #jahazilataarab #cocofm #ladhayapwani
-
– video
22 likes 0 comments 0 shares 2 saves
Simba jike akiamka, wadhalimu hawana amani. Kulinda mabinti zetu ndio wajibu, na mikono hii haitasita kutenda haki. #janjaruka254 #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
257 likes 2 comments 2 shares 17 saves
Warembo wa kenya si mnapeleka syllabus mbio sana,,ety kazi ingine ya centrizen ni gani....?🤣🤣🤣 #janjaruka254 #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
12 likes 0 comments 0 shares 0 saves
UHURU WA VYOMBO VYA HABARI AFRIKA WAKUMBWA NA VITISHO Wataalamu wa mahusiano ya umma barani Afrika wameonya dhidi ya kuongezeka kwa ukandamizaji wa uhuru wa vyombo vya habari na matumizi ya teknolojia ya akili unde (AI) kusambaza taarifa potofu. Wanasema mienendo hiyo inatishia kurejesha nyuma…
-
– video
193 likes 25 comments 19 shares 6 saves
Upinzani unatapatapa kupima vigezo vya maendeleo ya Rais William Ruto, asema Naibu Msemaji wa Serikalali, Mwanaisha Chidzuga. #cocofm #ladhayapwani
-
– video
17 likes 0 comments 0 shares 0 saves
Bayern vs Ajax Nairobi: ⚽ Wakati wapenzi wa soka wakisubiri kwa hamu kuwaona mastaa wa Ulaya live jijini Nairobi, wanaharakati wameweka ngumu na kupeleka kesi mahakamani kupinga gharama za mechi hiyo. Je, wewe uko upande gani? Unataka mechi ichezwe au isitishwe? #janjaruka254 #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
29 likes 1 comment 3 shares 0 saves
SHA inafanya kazi, Serikali za Kaunti ndio zimelegea ~ Mwanaisha Chidzuga, naibu msemaji wa serikali ya Kenya @zullysolomon @bintiumazii #COCOASUBUHI #COCOFM #ladhayapwani Digital Producer: @rehemasafari1
-
– video
27 likes 1 comment 1 share 1 save
Hati miliki zote zinazotolewa na serikali ni halali,na watu hawapaswi kutilia shaka hati hizo ~ Mwanaisha Chidzuga, Naibu msemaji wa serikali ya Kenya @zullysolomon @bintiumazii #COCOASUBUHI #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
125 likes 4 comments 10 shares 7 saves
Viwanda vinafungiliwa kaunti zote pwani kutoa ajira ~ Mwanaisha Chidzuga, Naibu msemaji wa serikali ya Kenya @zullysolomon @bintiumazii #COCOASUBUHI #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
22 likes 1 comment 1 share 0 saves
Jumla ya wa pwani 106 wameteuliwa na Rais Ruto kutumikia serikali hii katika ngazi za juu mbalimbali ~ Mwanaisha Chidzuga, Naibu msemaji wa serikali ya Kenya @zullysolomon @bintiumazii #COCOASUBUHI #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
73 likes 2 comments 0 shares 4 saves
Mheshimiwa Mwanaisha Chidzuga - Naibu Msemaji wa Serikali amewasili na tayari yupo hewani. Ungependa azungumzie nini? #COCOFM #ladhayaPwani
-
– video
49 likes 0 comments 3 shares 2 saves
Unyanyasaji wa kijinsia bado ni kikwazo kwa wanawake katika uongozi na siasa! ~ @zullysolomon @bintiumazii #COCOASUBUHI #COCOFM #ladhayapwani Digital Producer: @rehemasafari1
-
– video
227 likes 3 comments 17 shares 44 saves
Unajua G-spot ya Mwanamume? Wanawake mjiongeze; hii hapa siri ya kuifikia... Nahodha || @marshbaby Producer || @mjombarashid #UNYAGONI #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
27 likes 0 comments 0 shares 1 save
Kama binadamu unastahili kujua na kuelewa muelekeo wa maisha yako hapa duniani. @mzeewakiti #mvrhumbarevolution #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
18 likes 0 comments 0 shares 2 saves
Unafahamu maana ya Ngungi ni nini katika wimbo wa Franco Luambo na Tabu Ley...? @mzeewakiti #mvrhumbarevolution #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
15 likes 0 comments 0 shares 2 saves
Hivi, ushawahi jiuliza umechangia kwa kiwango gani katika jamii yako...? @mzeewakiti #mvrhumbarevolution #cocofm #ladhayapwani
-
– video
19 likes 0 comments 0 shares 0 saves
Jinsi viongozi wa Afrika walivyopangishwa foleni kupewa ice cream. @mainmanrio & @sumsuma003 #CocoDrive #COCOFm #ladhayapwani
-
– video
10 likes 0 comments 0 shares 1 save
Mionzi Ya Coco Fm na Mwahoka Mtsumi. #mionziyacocofm #cocofm #ladhayapwani
-
– video
81 likes 0 comments 1 share 7 saves
Wanaume wa Kilifi wakimbilia soft life kwa wamama. @mainmanrio & @sumsuma003 #CocoDrive #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
22 likes 0 comments 0 shares 1 save
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Maitha Mung’aro leo amezindua rasmi awamu ya tatu ya kaunti mashinani akisikiliza maoni ya wananchi na pia kupokea mapendekezo kuhusu miradi ya maendeleo. Kikao cha kwanza cha awamu hii kimaandaliwa eneo la Marafa kaunti ndogo ya Magarini ambapo wananchi walitaka…
-
– video
20 likes 0 comments 2 shares 1 save
Vijana wa Kilifi tafuteni hela acheni kuombaomba. Main Man Rio & DJ Capuchino Kenya #CocoDrive #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
103 likes 2 comments 0 shares 14 saves
MAREKANI YAPIGA KURA: Wamarekani wanajiandaa kupiga kura katika uchaguzi wa katikati ya muhula unaoweza kubadilisha uwiano wa nguvu katika Bunge la Marekani. #mionziyacoco #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
651 likes 5 comments 1 share 15 saves
Mtesa anga yuko live, Main Man Rio is back on your airwaves. @mainmanrio & @sumsuma003 #CocoDrive #COCOFM #ladhayapwani
-
– video
56 likes 1 comment 0 shares 5 saves
Watu wanajua mipaka ya mashamba lakini wanapenda maneno. #jahazilataarab #cocofm #ladhayapwani🥥
Showing 30 of 15,171 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
COCO FM TikTok stats
COCO FM (@cocofm) has 759,015 TikTok followers as of . That is about 759K followers.
- Followers
- 759,015
- Likes
- 5,949,828
- Videos
- 15,171
- Likes per video
- 392
- Average video length
- 2:39
- Median per post
- 682 views · 29 likes · 0 comments · 0 shares · 2 saves
- Average engagement per view - follower
- 5.2% - under 0.01
- Average views per follower
- under 0.01
- Most viewed recent posts
- “Mtesa anga yuko live, Main Man Rio is back on your…” · 8.6K views · 651 likes · 5 comments ·
- “Warembo wa kenya si mnapeleka syllabus mbio sana,,ety kazi…” · 8.1K views · 257 likes · 2 comments ·
- “Upinzani unatapatapa kupima vigezo vya maendeleo ya Rais…” · 4.9K views · 193 likes · 25 comments ·
- Pinned posts
- 3, with 2.8M, 162K and 62.9K views
- Last post
- (less than a day before this check)
- TikTok content labels
- Social News (3 of 3 posts), Society (3 of 3 posts)
- Hashtags used most
- #COCOFM (30), #ladhayapwani (30), #CocoDrive (5), #COCOASUBUHI (5), #UNYAGONI (3)
COCO FM follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About COCO FM
Account created