@fredmsungu
- Followers
- 41K followers
- Following
- 60 following
- Likes
- 322K
- Videos
- 299
- Avg length
- 2:04
Husband | Father | Pastor | Author Digital platforms link 👇🏼
Latest videos by @fredmsungu
-
– video
606 likes 11 comments 28 shares 34 saves
SIRI YA UTOSHELEVU - PART 1 Moja ya kosa kubwa tunalifanya wanadamu ni kutafuta utoshelevu wa nafsi ( kuziba ombwe ) kwenye vitu ambavyo havina uwezo wa kutupa utoahelevu zaidi ya Mungu Ninaamini katika Ndoa / mafanikio / fedha nk.. lakini kosa kubwa ntu atafanya ni kuvitaguta hivi ili vizibe…
-
– video
505 likes 13 comments 10 shares 23 saves
Moja ya jambo ambalo linatufanya kutoacha kumshukuru Mungu hata kwa mambo madogo ni kwa sababu tunaitambua neema ya Mungu nyuma ya kila tukio jema kwetu. Ni kweli Mungu hutazama moyo, lakini pia hata huo moyo unatengenezwa na Mungu ! Hii ndiyo sababu kwanini mtu hatakiwi kuachwa kuwa na shukrani
-
– video
222 likes 10 comments 7 shares 11 saves
📌Hekima na maamuzi ya Mungu juu ya majira ya mtu. Kitu kikubwa ana kitakacho mfanya huyu mtu awe mtu wa kulaumu hata mahali anaposaidiwa (indirect) ni kutokujua namna ya utendaji wa Mungu ulivyo. Kuna nyakati mtu una lazimika kuikubali na kuiamini hekima ya Mungu Mungu akupe neema kujua siri…
-
– video
266 likes 15 comments 2 shares 8 saves
( Three Years Anniversary Recap ) @destinycitychurch_ Dear Lord 😭 Baba Thank you! 1 Fal 5:4 “Ila leo BWANA, Mungu wangu, amenipa amani kila upande; hakuna adui, wala tukio baya.” Isa 54:2-3 “Panua mahali pa hema yako, na wayatandaze mapazia ya maskani yako; usiwakataze; ongeza…
-
– video
1.1K likes 18 comments 32 shares 67 saves
⏯️WOKOVU Moja ya swali la muhimu sana kulijibu ni kuhusu WOKOVU Kuna watu wengi wanadhani wokovu ni by default.. yaani kwa sababu mtu ni mtu wa watu sio mlevi / mzinzi au jambo lolote unaloweza kulitaja, anadhani hapo yeye haitaji wokovu. Kwamba haufanyi hayo yote haimaanishi umeokoka. Lazima…
-
– video
1.2K likes 43 comments 22 shares 37 saves
📌USIOGOPE
-
– video
569 likes 12 comments 13 shares 33 saves
Kuna siri kubwa sana kwenye MAONO na jisia ya mtu. Siku tutakapofunuliwa jambo hili tutaacha kutaka kuwa tofauti na vile Mungu alituumba 📌 Mwa 1:27 “Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.” Uwe mwanamke au mwanaume elewa ufunuo…
-
– video
917 likes 15 comments 43 shares 72 saves
THE MAN BEHIND THE CROWN 👑 UANAUME wa mwanaume unaanza kuonakana na kuiathiri jamii / taifa na dunia siku ambapo amejua kuhusu MAONO aliyobeba. Na kwa tafsiri nyepesi, MAONO ni sababu ya uwepo wa kitu. So, siku mtu anapojua nilichomfanya aje duniani ndiyo tayari amejua maono. Na unapoanza…
-
– video
2.8K likes 70 comments 76 shares 121 saves
“Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo.” Flp 4:8 UME•BARI•KIWA!
-
– video
394 likes 7 comments 2 shares 9 saves
Utacheka tena hatimaye!
-
– video
1.3K likes 23 comments 39 shares 69 saves
MAWAZO • MANENO • MAOMBI Mtego mkubwa sheteni anaofanya kuwazuia watu kupokea uwezesho wa ki- Mungu , anawazuia wasiombe. Na ikitokea wameomba , anaweka mtego ili waseme kinyume na maombi. Yaani mtu anaomba ushindi ila anazungumza kushindwa bila kujua hayo pia ni maombi. Kwa ufunuo wa neno la…
-
– video
676 likes 27 comments 10 shares 20 saves
📌 Zawadi ya Mungu kwa mtu ni watu, Lakini kunatakiwa umakini wa kujua si kila mtu ni zawadi. Kwa sababu adui naye akitaka kumuharibu mtu anatuma watu pia. Hii ndiyo maana ni muhimu sana kumsikiliza Roho Mtakatifu kuhusu nani umpe access ya kwenye maisha yako. Ninakuombea wiki hii Mungu…
-
– video
420 likes 15 comments 7 shares 11 saves
SUNDAY PRAISE REPORT! 🔥 What a day / What a Service/ What a church @destinycitychurch_ SIRI YA KIROHO YA MLANGO / MALENGO Ukweli ni kwamba hakuna kitu cha kiroho kinachomuathiri mwanadamu bila kupata access kutoka kwake ( Kufunguliwa mlango ) Ukiijua kweli hii, itakupa kusimama kwenye nafasi…
-
– video
2K likes 23 comments 3 shares 33 saves
Joy is our Language and the joy of THE LORD is our strength! Ladies & Gentlemen we are @Destinycitychurch_ Kama Uko Dodoma tukutane ibadani kesho saa 3:30 Asubuhi
-
– video
450 likes 13 comments 4 shares 7 saves
This is how we ended our POWER & DOMINION prayers @destinycitychurch_ - DODOMA🔥 And tomorrow, we gather for our BIG THANKSGIVING & HOLY COMMUNION SERVICE ⏰ Starting at 9:30 AM Don’t come late—you’ve got to be there on time! Come with a heart full of thanksgiving as we celebrate what the Lord has…
-
– video
1.7K likes 22 comments 44 shares 91 saves
📌Wafilipi 2:13 BHND “kwani Mungu ndiye afanyaye kazi daima ndani yenu, na kuwapeni uwezo wa kutaka na kutekeleza mambo yanayopatana na mpango wake mwenyewe.” Moja kati ya kitu kunachompa Mungu wepesi wa utendaji kwenye maisha ya mtu.. NI WAZO LA MTU JUU YA MUNGU. Namna unawaza juu ya…
-
– video
299 likes 13 comments 2 shares 10 saves
Siku ya 2 kwenye maombi ya NGUVU na UTAWALA Bwana aliachilia tamko juu ya neema ya kuanzisha mambo. Kwa jina la Yesu katika mwezi October, neema ya Mungu ikupe kuanzisha vitu vitakavyokuwa. Leo saa 11 jioni ni siku ya mwisho. USIKOSE! @destinycitychurch_ UME•BARI•KIWA #TutakuwaWengi #Doxa
-
– video
143 likes 8 comments 2 shares 2 saves
Hello October! We are coming in the name of Jesus. Siku ya kwanza maombi ya NGUVU na UTAWALA ilikuwa ni siku ya nguvu ajabu. Leo ni siku ya pili usikose Day 2 Saa 11 jioni @destinycitychurch_ - Dodoma Ninakutamkia mwezi huu utakuwa bora kwako kwa jina la Yesu #LangoWazi #TutakuwaWengi #Doxa
-
– video
586 likes 8 comments 0 shares 14 saves
Jesus thank you for today. Yesu ahsante kwa siku ya leo. @destinycitychurch_ - Dodoma YESU HONGERA 🔥
-
– video
164 likes 3 comments 0 shares 4 saves
Yooh! How do you miss church tomorrow🤷🏽♂️ Uko Dodoma ? kanisani kwetu @destinycitychurch_ -Dodoma Saa 3 na nusu asubuhi “ AJABU SUNDAY SERVICE “ #ComeSweetHolySpirit #Doxa
-
– video
1.7K likes 41 comments 16 shares 94 saves
So help me GOD 🤚🏽 #KwaMunguWangu_TaifaLangu_NakizaziChangu
-
– video
227 likes 6 comments 3 shares 15 saves
📌Tupo kwenye majira ya mtembeo mkuu.
-
– video
1K likes 23 comments 12 shares 59 saves
📌WITO KWA KANISA LA MUNGU KUINGIA SOKONI Moja kati ya jambo lililodumu kwa muda ni watoto wa Mungu kuamini wameitwa kuwa na ushawishi ndani ya kuta nne za kanisa. Lakini ukweli ni kwamba, tumeitwa kwa ajili ya kuibeba nuru na kuipeleka kwenye mataifa. NURU HII HAITAKIWI KUFICHWA, INATAKIWA…
-
– video
293 likes 13 comments 1 share 12 saves
Huwa kuna siku na siku fulani, Leo kanisani kwetu @destinycitychurch_ ilikuwa ni siku fulani. Holy Ghost Sunday Celebration UFUNUO WA ROHO MTAKATIFU NA AGENDA YA MUNGU YA KUINUA MLIMA WA NYUMA YAKE JUU YA VILIMA. 📌Katika majira haya Uamsho mkubwa utatokea na kuwatuma watu wa mlima wa Bwana…
-
– video
882 likes 25 comments 17 shares 24 saves
PUSH FRIDAY LEO @destinycitychurch_ - DODOMA 5PM 📌UNDERSTANDING GOD’S WISDOM IN SYSTEMS ( Kuielewa hekima ya Mungu ndani ya taratibu na mifumo )
-
– video
491 likes 12 comments 4 shares 20 saves
Mwa 22:5 Ibrahimu akawaambia vijana wake, Kaeni ninyi hapa pamoja na punda, na mimi na kijana tutakwenda kule, tukaabudu, na kuwarudia tena.” Genesis 22:5 “He said to his servants, “Stay here with the donkey while I and the boy go over there. We will worship and then we will…
-
– video
1.3K likes 29 comments 24 shares 61 saves
Kama kuna jambo moja nina uhakika nalo na linanipa ujasiri wa kuiona kesho bora (better future) kuliko leo, ni kwa sababu ninajua huwezi kumtenganisha MUNGU na NENO lake na NGU YAKE. Hii inanipa ujasiri mkubwa kukwambia bila kusita kama una neno, haijalishi mazingira yamekusaliti kiasi gani, HIYO…
-
– video
1.9K likes 42 comments 82 shares 131 saves
1 Kor 1:25 “Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.” Andiko hili lina maana pana sana, lakini katika yote linatupa sababu nyingine nzuri kwanini tumwamini Mungu hata wakati hatuelewi. Kuna mambo Mungu huwa anafanya kwa…
-
– video
1.4K likes 33 comments 22 shares 54 saves
📌 Kuna nyakati kwenye maisha ni kama Mungu amaenyamaza, lakini ukweli Mungu huwa haongei ongei huwa anaongea. Ukipita kwenye mazingira ya namna hii kitu cha kufanya rejea kwenye neno lile Mungu aliwahi kusema nawewe, shikilia hilo na amini katika hilo. Lile neno moja linatosha kukupa ushindi all…
-
– video
610 likes 11 comments 13 shares 36 saves
MAFUTA YA ULINZI Daudi alipopata habari ya kifo cha sauli Biblia inasema Daudi anamuombilezea Sauli na Yonathan. Katika maneno mengi aliyosema, kuna neno moja kubwa lenye ufunuo anasema” Namna alivyoanguka ni kama mtu ambaye hakupakwa mafuta”. Tafsiri hii ya KJV anaeleza vizuri zaidi. “For there…
Showing 30 of 299 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
@fredmsungu TikTok stats
@fredmsungu has 41,025 TikTok followers as of . That is about 41K followers.
- Followers
- 41,025
- Likes
- 322,461
- Videos
- 299
- Likes per video
- 1.1K
- Average video length
- 2:04
- Median per post
- 3.6K views · 608 likes · 15 comments · 11 shares · 29 saves
- Average engagement per view - follower
- 17.8% - 0.02
- Average views per follower
- 0.12
- Most viewed recent posts
- ““Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo…” · 15.9K views · 2.8K likes · 70 comments ·
- “Joy is our Language and the joy of THE LORD is our…” · 14.1K views · 2K likes · 23 comments ·
- “So help me GOD 🤚🏽” · 10.7K views · 1.7K likes · 41 comments ·
- Last post
- (3 days before this check)
- Posting rate
- about 3.4 posts a week
- Hashtags used most
- #TutakuwaWengi (5), #Doxa (4)
@fredmsungu follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About @fredmsungu
Account created