Gera Watch🙏🏽✌🏽 (@gerawatch)
- Followers
- 808 followers
- Following
- 6 following
- Likes
- 9.2K
- Videos
- 324
- Avg length
- 0:57
Mtoto Wa Mama Muuza Matembele🙏🏽✌🏽
Latest videos by Gera Watch🙏🏽✌🏽
-
– photo post
Photo post
Mpe hela mwanamke ambaye anakupenda. Ila usimpe hela mwanamke ili akupende♻️
-
– photo post
Photo post
أن تجد من تحب شيء جميل، أن تجد من يحبك حدث عظيم Kumpata mtu unayempenda ni jambo zuri, lakini kumpata mtu anayekupenda wewe ni jambo kubwa sana. (Kwa sababu sio kila unayempenda atakupenda pia)🌪️
-
Photo post
💡
-
– photo post
Photo post
Maisha yanatufunza jambo moja kubwa hakuna kitu cha kudumu,furaha hupita huzuni hupita,watu huja na kuondoka,na hata nyakati tunazotamani zisiishe hufika mwisho,usishikilie sana kinachopita wala usikate tamaa kwa kinachokuumiza maana yote yatapita🪼
-
– photo post
Photo post
Punguza tamaa uli usije kuona kila mwenye hela ni mtu wa muhimu kwenye maisha yako🪼
-
– photo post
Photo post
ﻭﻷﻧـﻨـﺎ ﻧﺘﺤﻤـﻞ كثيراً، ﻳﻌﺘـﻘـﺪﻭﻥ ﺃﻧـﻨﺎ ﻻ ﻧﺸـﻌــﺮ Kwa kuwa sisi tunavumilia sana, basi wanaamini kwamba hatuhisi maumivu🪼
-
Photo post
🙏🏽✌🏽
-
– photo post
Photo post
Maisha tuliyoyapitia pamoja na umri wetu kuwa mdogo yametufanya tuwe waoga lakini sio wadhaifu, Yamefanya tujitenge na watu lakini sio kwamba tunajisikia. Yametufanya kukiwa na zaidi ya watu wawili tuwe mabubu lakini sio kwamba hatujui kuongea. Tukiwa kwenye watu hutumia zaidi masikio, na sio…
-
39 likes 0 comments 0 shares 0 saves
😊
-
– photo post
Photo post
Haijalishi mtoni ni mbali kiasi gani, tutaleta tu maji nyumbani.. Haijalishi njaa inaumaje, jiko la familia lipata uhai wake tena.. Haijalishi kwa sasa tunachekwa na nani, tutapendeza na tutoke kama wengine.. Haijalishi chuki imekuwa kubwa kwanini, bado hatutoacha kusambaza upendo.. Haijalishi…
-
60 likes 0 comments 0 shares 3 saves
💡
-
31 likes 1 comment 0 shares 0 saves
💡
-
– video
33 likes 0 comments 0 shares 1 save
Your heart broke in pieces, it will heal in pieces too✌🏽
-
59 likes 0 comments 1 share 2 saves
🥹💔
-
39 likes 0 comments 0 shares 1 save
💡
-
29 likes 0 comments 1 share 0 saves
✌🏽
-
52 likes 0 comments 0 shares 1 save
🚀
-
31 likes 0 comments 0 shares 1 save
🌊
-
41 likes 2 comments 0 shares 0 saves
🔐
Showing 19 of 324 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
Gera Watch🙏🏽✌🏽 TikTok stats
Gera Watch🙏🏽✌🏽 (@gerawatch) has 808 TikTok followers as of .
- Followers
- 808
- Likes
- 9,189
- Videos
- 324
- Likes per video
- 28
- Average video length
- 0:57
- Median per post
- 653 views · 39 likes · 0 comments · 0 shares · 1 save
- Average engagement per view - follower
- 6.1% - 0.05
- Average views per follower
- 0.82
- Most viewed recent posts
- A video from · 841 views · 60 likes · 0 comments
- A video from · 837 views · 52 likes · 0 comments
- “Your heart broke in pieces, it will heal in pieces too✌🏽” · 795 views · 33 likes · 0 comments ·
- Last post
- (4 days before this check)
- Posting rate
- about 3.5 posts a month
- TikTok content labels
- Random Shoot (5 of 5 posts), Others (5 of 5 posts)
- Post types
- 10 videos, 9 photo posts
About Gera Watch🙏🏽✌🏽
Account created