Hon. Ibrahim Athman Matumbo profile picture

Hon. Ibrahim Athman Matumbo (@honibrahimmatumbo)

Followers
7.8K followers
Following
701 following
Likes
67.1K
Videos
430
Avg length
2:02

Mca Watamu Ward🌐💥💥Majority leader Kilifi county,

Playlists Liked videos

Latest videos by Hon. Ibrahim Athman Matumbo

  • Asubuhi ya leo afisini mwangu, nimefanya kikao na viongozi wa watu wanaoishi na ulemavu wa… – video , 436 views, duration 5:47

    28 likes 1 comment 0 shares 0 saves

    Asubuhi ya leo afisini mwangu, nimefanya kikao na viongozi wa watu wanaoishi na ulemavu wa kutoweza kuongea(mabubu). Kupitia viongozi hawa, wamenielezea changamoto zao ambazo wamekuwa wakipitia na kutathmini ni vipi tunaweza kusaidiana kutatua changamoto hizi. Kwa muda mrefu sana, jamii hii ya…

  • On this blessed Friday, let us open our hearts and hands to support the needy and vulnerable among… – photo post Photo post , 721 views

    On this blessed Friday, let us open our hearts and hands to support the needy and vulnerable among us. Giving is not just an act of charity, but a reflection of faith, mercy, and solidarity. May Allah accept our deeds and bless our families with peace and abundance. — Hon. Ibrahim Abdi Athman…

  • "Leo nimefurahishwa sana na hatua ya wawaniaji wa kiti cha Women Rep, Kaunti ya Kilifi, kujitokeza… – photo post Photo post , 1.6K views

    "Leo nimefurahishwa sana na hatua ya wawaniaji wa kiti cha Women Rep, Kaunti ya Kilifi, kujitokeza kwa wingi katika mkutano wa Gavana Mashinani. Jukwaa hili linamsaidia Gavana, akiwa pamoja na serikali yake yote, kupokea malalamishi, kongole, na maoni moja kwa moja kutoka kwa wananchi wenyewe kwa…

  • Mustakabali wa Watamu unategemea ushirikiano unaofungua milango, kuwawezesha vijana wetu, na… – video , 5.1K views, duration 0:56

    344 likes 12 comments 2 shares 20 saves

    Mustakabali wa Watamu unategemea ushirikiano unaofungua milango, kuwawezesha vijana wetu, na kubuni fursa kwa ajili ya watu wetu. Leo asubuhi, niliungana na Mhe. Gavana Gideon Mung’aro alipomkaribisha Mhe. Vincenzo Del Monaco, Balozi wa Italia nchini Kenya, katika Ukumbi wa Bunge la Kaunti mjini…

  • Leo nimejumuika na waumini wa Kanisa la ACK Gede kufuatia mwaliko wa mchango wa kina mama wa… – video , 2.6K views, duration 0:53

    160 likes 9 comments 4 shares 9 saves

    Leo nimejumuika na waumini wa Kanisa la ACK Gede kufuatia mwaliko wa mchango wa kina mama wa kanisa hilo, ambapo niliwakabidhi mchango wangu wa shilingi 200,000 taslimu za Kenya. Nimefarijika sana kupata nafasi ya kukutana na waumini pamoja na wamama hawa. Kama kiongozi, siku zote nitakuwa mstari…

  • AHADI NI DENI: ZIARA YA KUSISIMUA YA WATOTO WETU WA SHULE YA MIDZINI KIDS YA BAMBA WARD, JIJINI… – video , 4.1K views, duration 0:35

    185 likes 8 comments 2 shares 11 saves

    AHADI NI DENI: ZIARA YA KUSISIMUA YA WATOTO WETU WA SHULE YA MIDZINI KIDS YA BAMBA WARD, JIJINI MOMBASA! 🚌✨ Nilipokuwa Bamba Ward, niliahidi watoto wa shule ya Midzini Kids kule Bamba Ward kwamba nitawapeleka ziara (trip) jijini Mombasa ili wakaenjoy baada ya kutufurahisha sana katika matumbuizo…

  • Tumejenga barabara za Cabro karibia kila kona ya mji wetu wa Watamu ili kuboresha sekta ya utalii… – video , 7.6K views, duration 4:29

    621 likes 32 comments 23 shares 36 saves

    Tumejenga barabara za Cabro karibia kila kona ya mji wetu wa Watamu ili kuboresha sekta ya utalii. Hata hivyo, uwezekaji huu unafaa pia kunufaisha watu wetu na sitakubali kuona maovu yanaendelea katika sekta hiyo. Moja kati ya idara ambazo zinachangia matatizo tunayoshuhudia katika sekta ya…

  • Leo nimekutana na jamii ya Wabajuni na wabara wa kazi wa Watamu, ambao walijiandikisha kupiga kura… – photo post Photo post , 4.7K views

    Leo nimekutana na jamii ya Wabajuni na wabara wa kazi wa Watamu, ambao walijiandikisha kupiga kura katika visiwa vya , Lamu, wakiwa na idadi ya zaidi ya kura 1,680.waliokuja na waliopo majumbani, Tumekuwa na kikao kirefu chenye matokeo mazuri, ambapo tumepata nafasi ya kujadiliana kuhusu…

  • Jioni ya leo imekuwa ya furaha na faraja kwangu baada ya kutembelea barabara ya… – video , 7.9K views, duration 0:22

    615 likes 29 comments 3 shares 27 saves

    Jioni ya leo imekuwa ya furaha na faraja kwangu baada ya kutembelea barabara ya Kizingo–Mbarakacha, Chembe, ambayo ittwekewa lami. 🇰🇪🤝 Kwangu mimi, hakuna furaha kubwa kama kuona maendeleo yakigusa maisha ya wananchi, hasa watu wangu wa Watamu Ward. Maendeleo ya kweli ni yale yanayoonekana kwa…

  • Baada ya kuwawezesha kwa ufadhili wa laki 250,000ksh pesa taslimu uliotoka kwa Rais wetu Mhe Dkt… – photo post Photo post , 1.9K views

    ​Baada ya kuwawezesha kwa ufadhili wa laki 250,000ksh pesa taslimu uliotoka kwa Rais wetu Mhe Dkt. William Samoei Ruto , vijana hawa wameonyesha uwajibikaji na maono makubwa kwa kutumia pesa hizo vizuri kwa ajili ya maendeleo ya klabu yao: ​👕 Wamenunua jezi mpya za timu kubwa pamoja na timu yao ya…

  • Kwa huu upendo mlionionyesha akina mama wangu wa Ganda, nasema Asanteni sana❤️. Huku nitarudi tena… – video , 4K views, duration 3:54

    208 likes 14 comments 4 shares 9 saves

    Kwa huu upendo mlionionyesha akina mama wangu wa Ganda, nasema Asanteni sana❤️. Huku nitarudi tena 💯. Kumuinua Mama ni kuinua jamii nzima na namuomba mwenyezi Mungu azidi kunipa maarifa ya kuendelea kuwasaidia akina mama wetu, vijana na hata wazee wa Kilifi! #watamutiktokers #malinditiktokers…

  • Baada ya kuwawezesha akina mama wa Ganda, nitarudi tena Watamu kuwawezesha wafanyibiashara wadogo… – video , 7.5K views, duration 2:57

    441 likes 60 comments 17 shares 26 saves

    Baada ya kuwawezesha akina mama wa Ganda, nitarudi tena Watamu kuwawezesha wafanyibiashara wadogo wadogo na ile jamii ya mji wa kumi inayoishi katika mji wetu wa Watamu. Baadaye, nitakuwa na muendelezo wa mpango huu kule Malindi Town, nifike Ganze, Halafu pia ninawalenga wazee wa vijiji wote wa…

  • Happy Mashujaa Day! Asanteni sana Bamba kwa upendo wenu, nitarudi tena Ganze hivi karibuni! – video , 14.2K views, duration 2:04

    993 likes 34 comments 43 shares 71 saves

    Happy Mashujaa Day! Asanteni sana Bamba kwa upendo wenu, nitarudi tena Ganze hivi karibuni! #watamutiktokers #kilifitiktokers #malinditiktokers #mashujaaday

  • Nimefurahishwa mno na makaribisho niliyopokea Bamba wakati tunapoadhimisha sherehe ya Mashujaa… – video , 5.7K views, duration 1:25

    367 likes 21 comments 5 shares 20 saves

    Nimefurahishwa mno na makaribisho niliyopokea Bamba wakati tunapoadhimisha sherehe ya Mashujaa hapa katika shule ya msingi ya Bamba. Watoto hawa wamenigusa sana kwa kunipa mapokezi yenye upendo mkubwa. Asanteni sana na Happy Mashujaa Day! #mashujaaday #watamutiktokers #malinditiktokers…

  • Asanteni sana akina mama zangu kwa kurudi tena ofisini kwangu na kutoa shukrani. Zawadi zenu za… – video , 1.3K views, duration 1:48

    67 likes 4 comments 2 shares 0 saves

    Asanteni sana akina mama zangu kwa kurudi tena ofisini kwangu na kutoa shukrani. Zawadi zenu za hawa kuku nimezipokea kwa moyo mkunjufu na vitendo kama hivi ndio vinanitia moyo na kuniongezea nguvu zaidi ya kuendelea kuwatumikia wakazi wa Watamu. #watamutiktokers #malinditiktokers #kilifitiktokers…

  • Asanteni sana kwa upendo wenu wachuzi wote wa pombe ya mnazi wa Watamu, nawaahidi sitawaacha nyuma… – video , 8K views, duration 2:29

    341 likes 24 comments 18 shares 17 saves

    Asanteni sana kwa upendo wenu wachuzi wote wa pombe ya mnazi wa Watamu, nawaahidi sitawaacha nyuma kwenye hii safari❤️💯. Pwani ni mnazi na mnazi ndiyo kitambulisho chetu🌴 🥥 ! #kilifitiktokers #malinditiktokers #watamutiktokers #WatamuWadi #kenya

  • KAZI INAENDELEA: UZINDUZI WA BARABARA YA KIJIWETANGA – JACARANDA Leo nimepata fursa ya kujumuika… – video , 4.6K views, duration 0:15

    260 likes 9 comments 7 shares 9 saves

    KAZI INAENDELEA: UZINDUZI WA BARABARA YA KIJIWETANGA – JACARANDA Leo nimepata fursa ya kujumuika na Mstahiki Gavana wa Kaunti yetu ya Kilifi, pamoja na uongozi na wananchi wa wadi jirani ya Ganda, katika uzinduzi rasmi wa ujenzi wa barabara ya lami ya Kijiwetanga – Jacaranda. Mradi huu wa…

  • Official handing over of kijiwetanga road. – video , 36.1K views, duration 0:08

    2.1K likes 78 comments 21 shares 99 saves

    Official handing over of kijiwetanga road. #watamu #malinditiktokers #kilifitiktokers #mombasatiktokers #kenya

  • Kwenye hotuba yangu wakati wa ziara ya Rais Dkt William Ruto mjini Watamu, mbali na kushkuru… – video , 14.2K views, duration 3:00

    1K likes 54 comments 61 shares 70 saves

    Kwenye hotuba yangu wakati wa ziara ya Rais Dkt William Ruto mjini Watamu, mbali na kushkuru miradi mingi ya maendeleo anayotuletea kama kaunti ya Kilifi, pia nimemuomba Rais akomeshe maafisa wa Polisi wanaovunjia nyumba watu wetu kwenye ardhi wanazoishi. #watamu #watamutiktokers #malinditiktokers…

  • #tiktoklive #livehighlights video by @honibrahimmatumbo · Sep 27, 2026 , 1.4K views, duration 1:00

    63 likes 2 comments 0 shares 6 saves

  • MTENANGE NDIO UMEANZA BLACK MAMBA FC VS RED REVENGERS FC MSHINDI WA KWANZO 500,000KSH MSHINDI WA… – video , 2.3K views, duration 1:45

    158 likes 5 comments 1 share 3 saves

    MTENANGE NDIO UMEANZA BLACK MAMBA FC VS RED REVENGERS FC MSHINDI WA KWANZO 500,000KSH MSHINDI WA PILI 300,000KSH

  • Nataka kuweka wazi jambo moja muhimu kwa wanasiasa wenzangu na wananchi kwa ujumla: Madai… – video , 4.6K views, duration 3:46

    238 likes 15 comments 1 share 9 saves

    Nataka kuweka wazi jambo moja muhimu kwa wanasiasa wenzangu na wananchi kwa ujumla: Madai yanayoenezwa kwamba kulikuwa na vita au uhasama kati ya Wagiriama na Wabajuni kufuatia maandamano yaliyopita ni uongo mtupu. Hakuna vita vya kikabila vilivyotokea, na propaganda hizo ni njama chafu za…

  • Ninatoa kwa ajili ya Mungu,na Huyu mama nimempa kwa sababu ya Mungu na ndio maana kila nikimuomba… – video , 10.2K views, duration 0:58

    677 likes 43 comments 7 shares 34 saves

    Ninatoa kwa ajili ya Mungu,na Huyu mama nimempa kwa sababu ya Mungu na ndio maana kila nikimuomba ananijibu. Unapomwekea Mungu mbele, milango ya baraka haifungwi! 🙏✨ #watamutik#malinditiktokers #kilifi #watamu

Showing 23 of 430 videos

Load more videos

Explore & export videos

Hon. Ibrahim Athman Matumbo TikTok stats

Hon. Ibrahim Athman Matumbo (@honibrahimmatumbo) has 7,806 TikTok followers as of . That is about 7.8K followers.

Followers
7,806
Likes
67,147
Videos
430
Likes per video
156
Average video length
2:02
Median per post
4.6K views · 341 likes · 15 comments · 4 shares · 17 saves
Average engagement per view - follower
6.7% - 0.06
Average views per follower
0.84
Most viewed recent posts
  1. “Official handing over of kijiwetanga road.” · 36.1K views · 2.1K likes · 78 comments ·
  2. “Happy Mashujaa Day! Asanteni sana Bamba kwa upendo wenu…” · 14.2K views · 993 likes · 34 comments ·
  3. “Kwenye hotuba yangu wakati wa ziara ya Rais Dkt William…” · 14.2K views · 1K likes · 54 comments ·
Last post
(11 days before this check)
Posting rate
about 2.9 posts a week
TikTok content labels
Lifestyle (2 of 3 posts), Travel (1 of 3 posts)
Post types
19 videos, 4 photo posts
Hashtags used most
#malinditiktokers (19), #kilifitiktokers (18), #watamutiktokers (17), #kenyantiktok (5), #ruto (4)

How these numbers are counted

Hon. Ibrahim Athman Matumbo follower history

FollowersLikes7.76K66.8K7.78K67K7.8K67.2K7.82K67.4K7.84K67.6K7,806 followers on Nov 18, 20267,80667,147 likes on Nov 18, 202667,147Nov 18, 2026

Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded

About Hon. Ibrahim Athman Matumbo

Account created