hunie-isher🩵🧕 (@hunieisher)
- Followers
- 6.5K followers
- Following
- 18 following
- Likes
- 48.2K
- Videos
- 62
- Avg length
- 0:31
BAYTUL-KHAYR MUSLIM LADIES🔥🧕 Values, Education, sisterhood😌♥️ # Allah😥❤️🩹
Latest videos by hunie-isher🩵🧕
-
– video Pinned
#BAYTUL-KHAYR MUSLM GIRLS Tulikuwepo katika kujifunza Namna ya kumuosha na kumuandaa maiti wa kiislamu 🥹 Alhamdulillah hakika tumejifunza mengi Leo # Allah Atujaalie Mwisho mwema🥹❤️# Husnil-hatimaa 🤲 @Hasinah dutch🧕🦋 @ukhty sumayyah @Mwana Omar @UKHTY HAMIDA @Fefe🦋
-
– video
74 likes 9 comments 2 shares 5 saves
🌸 Tunajifunza nini kutoka kwa Maryam (AS)?❤️ 1. Kulinda heshima na usafi wa moyo Maryam (AS) alikuwa mwanamke mwenye kujitunza na kujitolea kwa ibada ya Allah. 2. Kumtegemea Allah wakati wa majaribu Maryam alipitia jaribu kubwa la kupata mtoto bila kuolewa, kwa amri na uwezo wa Allah. Hata katika…
-
– video
26 likes 4 comments 2 shares 1 save
-
– video
165 likes 11 comments 23 shares 14 saves
🥹❤️ 🌿 1. Kila nafsi itaonja mauti Allah سبحانه وتعالى amesema: “Kila nafsi itaonja mauti.” (Qur'an 3:185) Hakuna tajiri, maskini, mwenye nguvu wala dhaifu anayeweza kukikimbia kifo. Kila mmoja ana siku yake ambayo Allah ameipanga. 🕊️ 2. Kifo si mwisho wa maisha Katika Uislamu, kifo si mwisho, bali…
-
– video
30 likes 24 comments 5 shares 2 saves
FAMILIA YANGU YA PEPONI🥺🥺❤️🔥. @BAYTUL KHAYR MUSLIM GIRLS @UKHTY HAMIDA Tukutane kwenye project Inshaallah Soon Allah atuwezeshe hadi tuweze 🥹🥹❤️🫂🔥✅. @uhhsinu collection 🇹🇿 @Mwana omar @Hasinah dutch🧕🦋 @Fefe🦋
-
– video
73 likes 4 comments 0 shares 3 saves
NDOA KATIKA ZAMA ZA MITANDAO YA KIJAMII " Fursa ya Mitandao 1.kujuana ,kufahamiana 2.kujua tabia mapema( namna anavyojiposti katika Mitandao ya kijamii, ( kijana na mabinti) . ( Hatua ya kwanza ya kumjua kijana au binti) Kupitia namna anavyojiposti katika Mitandao ya kijamii. 3.fursa ya Elimu ya…
-
– video
43 likes 10 comments 0 shares 2 saves
ALHAMDULILLAH FOR EVERYTHING YARABBY 🫠❤️💜 #allahplanisbetter #inshallahviral #soon #subra #alhamdulillah #fypfyypシ #viralvideo #creatorsearchinsights #fypfyypシ
-
– video
31 likes 13 comments 7 shares 1 save
ALHAMDULILLH🥹❤️🩹 Namuomba Allah Atujaalie khieri siku zote ,atulinde na Shari zote na kila Baya ,Atujaalie tuwe wanawake wenye Heshma,na haya ,Atulinde na kutustiri siku zote🫂🥹 Allah Atujaalie tuje kuwa wake wema na Mama Bora Duniani Hadi Akhera inshaallah 🤲🤭 @Hasinah dutch🧕🦋 @ukhty sumayyah…
-
– video
24 likes 2 comments 0 shares 4 saves
Najua wew UNANIPENDA MOLA WANGU 😢❤️ Na ndo maana kila kitu kwangu kimekuwa kirahisi Alhamdulillh Kwa kila kitu , Na mwenyezimungu akimpenda mja wake jumla mitihani💔 #fypfyypシ #alhamdulillah #subra #inshallahviral #soon #allahplanisbetter
-
– video
888 likes 24 comments 30 shares 54 saves
Mtumeee kwangu ni Rahaaaa😭😭❤️🔥Bila Yeye sijiweziii😢Uko wapi sikuoniii ,kukuonaaa Natamani (S.A.W)😫😫🤍 #fypfyypシ #viralvideo #trending #mtumemuhammad #shekhe_walid_al_had🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #ahlulzamaan
-
– video
1.5K likes 24 comments 36 shares 78 saves
(S.A.W) Mtume wetu Rasoul😢❤️🩹. kama si wew ni nani mwingne ? 🥹 Mtumeee kwangu ni Rahaa bila yeye sijiwezi😢😥 proudly to be A Muslim Girl Alhamdulillh #viralvideo #fypfyypシ #Muslims #alhamdulillah
-
– video
36 likes 0 comments 0 shares 3 saves
Allahu Ya'lamu🥺❤️🩹🙌. #fyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy #viralvideo #fyppppp #fakepromises #brokenheart💔 #creatorsearchinsights #subra
-
– video
40 likes 4 comments 1 share 1 save
ALHAMDULILLAH, ALHAMDULILLH, ALHAMDULILLH 🫂🤍🤍🤍. #creatorsearchinsights #fypfyypシ #viraltiktok #alhamdulillah #heavyheart😔😔 #subra @Hasinah dutch🧕🦋 😭
-
– video
51 likes 8 comments 9 shares 3 saves
Mola wetu Mlezi🥹, tupe mwisho mwema (Husnul Khatimah), tupe uwezo wa kutenda mema kabla ya mauti, tusamehe madhambi yetu, warehemu wazazi wetu na Waislamu wote waliotangulia mbele ya haki, na utujaalie tuwe miongoni mwa watu wa Peponi. Aamiin Yaa Rabbal 'Aalamiin. 🤲🕊️ @Hasinah dutch🧕🦋 @UKHTY…
-
– video
36 likes 9 comments 1 share 1 save
Assalaamu ’Alaykum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Karibu BAYTUL KHAYR MUSLIM LADIES Je, unatamani kuwa sehemu ya wanawake wanaojenga imani, elimu, maadili mema na kusaidiana kwa ajili ya kupata radhi za Allah? BAYTUL KHAYR ni zaidi ya kikundi—ni familia ya wadada wa Kiislamu wanaokumbushana mema…
-
– video
30 likes 9 comments 1 share 4 saves
Yarabby Tulinde na Husda na Shari za walimwengu😢🙌💔. #fyppppp #creatorsearchinsights #fypfyypシ #viralvideo #viraltiktok
-
– video
25 likes 3 comments 0 shares 3 saves
🌿 Na hasara mbili kubwa zaidi, ambazo ndizo chanzo cha hasara nyingine zote, ni: 🫀 Kupoteza moyo. ⏳ Kupoteza wakati. Kupoteza moyo hutokana na kuipa dunia kipaumbele kuliko Akhera, na kupoteza wakati hutokana na kurefusha matumaini (kutegemea maisha marefu bila kujiandaa). Kwa hiyo, uharibifu wote…
-
– video
109 likes 8 comments 31 shares 9 saves
BISMILLAH Here we Go Us @BAYTUL KHAYR MUSLIM GIRLS Allah atuwezeshe hadi tuweze @UKHTY HAMIDA @Hasinah dutch🧕🦋 @Fefe🦋 @ukhty sumayyah @mwana omar TUNAWAKARISHA NYOTE KWA YOYOTE ATAKAYEJAALIWA KIASI CHOCHOTE KUWEZA KUCHANGIA KATIKA PROJECT HII TUTAKAYOFANYA MWISHO WA MWEZI HUU WA SABA…
-
– video
42 likes 2 comments 6 shares 3 saves
BAYTUL KHAYR FEEDING PROJECT “Pamoja Tunalisha, Pamoja Tunaleta Tabasamu.” CHANGIA MLO, OKOA TABASAMU LA MTOTO. BAYTUL KHAYR MUSLIM LADIES inakualika kushiriki katika mradi wa kupika na kugawa chakula kwa watoto wenye uhitaji. Unaweza kuchangia kwa njia mbalimbali: ✅ Fedha ✅ Mchele ✅ Maharage ✅…
-
– video
43 likes 0 comments 1 share 2 saves
Allah says; Enyi Mlioamini: Kuweni na Subra na shindaneni katika Subra na simameni Imara🥺❤️ ALHAMDULILLAH FOR EVERYTHING#viral_video #viraltiktok #Muslims #viral_video #
-
– video
113 likes 8 comments 8 shares 6 saves
BAYTUL KHAYR MUSLIM LADIES Kikundi kilichosajiliwa rasmi chini ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Chini ya ulezi wa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Ali bin mbwana. Alhamdulillāh, tunamshukuru Allah (Subhānahu wa Ta’ālā) kwa kutujaalia kufanikisha usajili rasmi wa…
-
– video
109 likes 12 comments 3 shares 8 saves
ALHAMDULILLAH❤️ @BAYTUL KHAYR MUSLIM GIRLS @Nasra mouh BANATUL-MUSLIMS 🔥❤️Allah Atujaalie Mapenzi na kushikamana katika kheiri Fil-duniya wal-Akhera Nawapenda😊🫂@UKHTY HAMIDA @Aisha Sururu Foundation
-
155 likes 12 comments 1 share 17 saves
😥❤️@UKHTY HAMIDA
-
– video
67 likes 11 comments 3 shares 7 saves
ALHAMDULILLAH ALWAYS SUBRA🤍🫂🥹 @Hasinah dutch🧕🦋
-
– video
44 likes 4 comments 0 shares 4 saves
ALHAMDULILLAH FOR EVERYTHING #Yarabby Accept My secret Dua and prayers🥺❤️🩹 Give Me what I wait for Long time😫 Rabby inni-limaanzalta ilayh Min khayr Fakeer😭🤲...
-
– video
128 likes 14 comments 8 shares 9 saves
@BAYTUL KHAYR MUSLIM GIRLS ALLAH Atujaalie Mapenzi ,huruma ,mshikamano siku zote Allah Atujaalie Mioyo safi na isiwe na chuki kati yetu, Allah ajaalie masikilizano mazuri Na tudumu katika umoja wetu huu Fil-duniya wal-Akhera Nawapenda sanaaa@Hasinah dutch🧕🦋 @UKHTY HAMIDA @Fefe🦋 @ukhty sumayyah…
-
– video
296 likes 29 comments 9 shares 13 saves
BAYTUL KHAYR MUSLIM GIRLS 🔥❤️ Kwa pamoja Tunapendezesha Nyoyo Kwa Imaani na kujitoa katika kheiri mbalimbali -Tunawasaidia wenye uhitaji Maalum -Tunawasaidia Yatima na wajane -Tunachangia Damu mahospitali TUNAJENGA AKHERA YETU KABLA YA VIFO VYETU 🤍Allah atuwezeshe hadi tuweze Inshaallah@UKHTY…
-
– video
30 likes 9 comments 0 shares 3 saves
ALHAMDULILLAH ❤️😭
-
– video
32 likes 5 comments 1 share 4 saves
ALHAMDULILLAH FOR EVERYTHING 🌸ALWAYS SUBRA☺️🖤
-
– video
45 likes 11 comments 7 shares 3 saves
ALHAMDULILLAH ❤️😌 Mashindano Ya Qur'an Ya wanawake watu wazima Chini ya Usimamizi wa Aisha sururu foundation🙌🔥# QUR'AN NI UPENDO , QUR'AN ndio Muongozo wa Maisha Yetu@UKHTY HAMIDA @Hasinah dutch🧕🦋 @Fefe🦋 @Mwana Omar @ukhty sumayyah @
Showing 30 of 62 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
hunie-isher🩵🧕 TikTok stats
hunie-isher🩵🧕 (@hunieisher) has 6,537 TikTok followers as of . That is about 6.5K followers.
- Followers
- 6,537
- Likes
- 48,155
- Videos
- 62
- Likes per video
- 777
- Average video length
- 0:31
- Median per post
- 427 views · 44 likes · 9 comments · 2 shares · 4 saves
- Average engagement per view - follower
- 11.4% - 0.02
- Average views per follower
- 0.22
- Most viewed recent posts
- “(S.A.W) Mtume wetu Rasoul😢❤️🩹. kama si wew ni nani…” · 14.2K views · 1.5K likes · 24 comments ·
- “Mtumeee kwangu ni Rahaaaa😭❤️🔥Bila Yeye sijiweziiiUko wapi…” · 10.3K views · 888 likes · 24 comments ·
- “🥹❤️ 🌿 1. Kila nafsi itaonja mauti Allah سبحانه وتعالى…” · 2.5K views · 165 likes · 11 comments ·
- Pinned posts
- 1, with 425K views
- Last post
- (8 days before this check)
- Posting rate
- about 1.4 posts a week
- TikTok content labels
- Random Shoot (8 of 10 posts), Others (8 of 10 posts)
- Hashtags used most
- #fypfyypシ (11), #alhamdulillah (6), #Muslims (6), #subra (6), #allahplanisbetter (5)
hunie-isher🩵🧕 follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About hunie-isher🩵🧕
Account created