Ibn suleiman (@ibn.suleiman21)
- Followers
- 246 followers
- Following
- 3 following
- Likes
- 386
- Videos
- 16
lengo nzuri limekaa kwenye mpango mbovu....
Latest videos by Ibn suleiman
-
– photo post
Photo post
Wanasema "Mapenzi Hisia " Lakini mimi nafikiri mapenzi ni Uamuzi. # Ni Uamuzi wa kubaki hata pale Hisia zinapopungua au kubadilika,ni uamuzi wa kubaki na kupambania kile mlicho kianza pamoja hata kama umbali au mazingira yanajaribu kuwatenganisha . Ninacho Amini Hakuna Pendo jepesi ,kile penzi…
-
– photo post
Photo post
"Tunatoka kwenye familia masikini zenye makazi yaliyochoka ,Huku vifuan mwetu tumebeba majonzi na huzuni ila bado tunapambana. Tunaendelea kupambana sio kwa lengo la kujionesha kwa watu bali nia yetu ni kutaka japo kubadili ile hali iliyopo katika Familia zetu ,msitukatishe tamaa... Hakuna kitu…
-
– video
35 likes 3 comments 2 shares 2 saves
Ndoa yenye furaha siyo ile isiyo na matatizo,bali ni ile inayokataa kuyafanya matatizo yawe makubwa kuliko upendo......
-
– photo post
Photo post
Labda siyo leo Wala Kesho ila ipo siku tutapata zaidi ya vile tulivo vipoteza ....💔🖤🤍🩶#creatorsearchinsights
-
– photo post
Photo post
"Unaweza kuwa na mipango mingi sana ya maisha ila Yote ikaja kuharibiwa na kitu kimoja tu...Nacho ni mahusiano mabovu. Kuwa makini sana unapotaka kuchagua mtu wa kuwa nae kwenye Haya maisha.. Hakuna kitu kinapoteza Direction ya maisha kama kuwa na mahusiano mabovu. Wengi tumependa na kuzama…
-
– photo post
Photo post
Nilishawahi kupoteza Vitu Ambavo Niliamini Bila Kuwa Navyo Sinto Weza kuishi Vizuri ... Nilishawahi kupoteza WATU Ambao Niliamini Bila Kuwa Nao Sintofika Ninapokwenda .... Nilishawahi kupoteza Nafasi Ambayo Niliamini Nikizikosa sinto Timiza malengo yangu... Sasa Naelewa sio kila…
-
– photo post
Photo post
"Kimbiza kila kitu ila sio MAPENZI na KIFO . Hivi vitakukuta mwenyewe wakati wake ukifika... Nani yupo free tupendane...😋😜
-
– photo post
Photo post
Kwenye Mahusiano chochote kinaweza kutokea ,Watu hubadilika,Hisia pia hubadilika ,Ahadi hubadilika hata mipango ya kesho haina uhakika. Maumivu ya mapenzi ni zaidi ya kupakwa pilipili kwenye kidonda kibichi .Mapenzi yanaumiza ,Mapenzi yanatesa . Mapenzi ni zaidi ya mwiba mkali unaochoma mwili na…
-
– photo post
Photo post
Ikitokea umefika kabla yetu usitie miba kwenye njia zetu. Wengine hatuna sapoti wala wakutushika mkono .Tumebaki na Allah na dua za wale wanaotutegemea pekee.
-
– video
17 likes 1 comment 0 shares 1 save
"fanya chaguo sahihi ,kwa sababu pesa huja na kuondoka 'Uzuri hufifia .Kunachobaki ni asili ya mtu na msaada wa kweli🩶🖤❤️🩹
Showing 10 of 16 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
Ibn suleiman TikTok stats
Ibn suleiman (@ibn.suleiman21) has 246 TikTok followers as of .
- Followers
- 246
- Likes
- 386
- Videos
- 16
- Likes per video
- 24
- Median per post
- 284 views
- Average views per follower
- 1.29
- Most viewed recent posts
- “Ndoa yenye furaha siyo ile isiyo na matatizo,bali ni ile…” · 573 views · 35 likes · 3 comments ·
- “Wanasema "Mapenzi Hisia " Lakini mimi nafikiri mapenzi ni…” · 388 views ·
- “"Tunatoka kwenye familia masikini zenye makazi yaliyochoka…” · 351 views ·
- Last post
- (93 days before this check)
- Posting rate
- about 1.2 posts a month
- Post types
- 2 videos, 8 photo posts
- Hashtags used most
- #fikra (2)
About Ibn suleiman
Account created