ITVTANZANIA (@itvtanzania)
- Followers
- 180K followers
- Following
- 15 following
- Likes
- 699K
- Videos
- 510
- Avg length
- 1:35
ITV-Independent Television Ltd, Mikocheni Light Industrial Area P.O.Box 4374
Latest videos by ITVTANZANIA
-
– video
98 likes 5 comments 2 shares 1 save
LISSU AFIKISHWA MAHAKAMANI CHINI YA ULINZI MKALI #HABARI: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, kwa ajili ya kusikilizwa kwa shauri la kikatiba linalohusu haki za mawakili, ikiwemo ya kuwa…
-
77 likes 2 comments 0 shares 3 saves
-
– video
40 likes 0 comments 0 shares 2 saves
#TANGAZO: @Mgaya_Trading_Arena imeendelea kuwaletea Watanzania teknolojia za kisasa za sauti baada ya kutangaza kuwasili kwa AMS Dolby Atmos Soundbars, zinazopatikana katika matoleo ya 2.1 Channel, 5.1 Channel na 5.1.2 Channel Home Theater Systems. Soundbar hizi zinakuja na teknolojia za kisasa za…
-
– video
47 likes 1 comment 0 shares 2 saves
MUSEVENI AAPISHWA KUWA RAIS MUHULA WA SABA
-
– video
90 likes 0 comments 3 shares 4 saves
UNAWEZA KUCHAGUA RAFIKI JIRANI ANATOKA KWA MUNGU
-
54 likes 0 comments 0 shares 2 saves
-
– video
66 likes 0 comments 0 shares 2 saves
MISS WORLD TANZANIA ASHINDWA KUJIZUIA MACHOZI #missworld
-
– video
100 likes 1 comment 2 shares 6 saves
WIZARA INA BODI 50, SIJAWAHI KUONA #itv #itvnews #itvtanzania
-
– video
52 likes 1 comment 0 shares 4 saves
MUSUKUMA ANATAKA KITENGO AKAWAREKEBISHE #itvtanzania #itvnews #itv
-
129 likes 2 comments 7 shares 16 saves
-
– video
90 likes 5 comments 0 shares 8 saves
MBEYA WANAMUOMBEA SANA RAIS SAMIA - SUMA FYANDOMO
-
– video
24 likes 2 comments 0 shares 1 save
HAPA MONDI ATOE KOLABO TU JAMAA ANA KITU #itv #itvnews #itvtanzania
-
– video
35 likes 3 comments 0 shares 4 saves
NITAWAINGIZA KWENYE KIBASI KUBANA MAFUTA-RAIS SAMIA
-
– video
116 likes 2 comments 11 shares 14 saves
Jeshi la Polisi nchini, linamshikilia Said Hussein Said, Mkazi wa Mwanza, baada ya kuzua taharuki kwenye daladala jijini humo kwa kumsingizia abiria mwenzake kuwa, amemgusa begani na matokeo yake nyeti zake zimetoweka jambo ambalo liliwalazimu Askari Polisi waliokuwa katika eneo hilo kumwokoa…
-
– video
25 likes 1 comment 1 share 2 saves
#HABARI: Afisa mmoja wa Usafirishaji (bodaboda) katika Wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya, ameangua kilio cha uchungu akidai "kuibiwa" sehemu zake za siri na mwanamke aliyekuwa mteja wake baada ya mwanamke huyo kumshika bega. Tukio hilo limezua taharuki kubwa ambapo kijana huyo alionekana akisihi…
-
– video
346 likes 10 comments 11 shares 21 saves
Huzuni na majonzi familia ikiaga mwili wa Marehemu Mhe.William Lukuvi, maziko yamefanyika leo Machi 31, 2026 Kijijini kwake Idodi Jimbo la Isimani, Iringa #lukuvi🕊️🕊️
-
– video
52 likes 2 comments 0 shares 3 saves
Sifurahii msiba, watu wananisema ni kawaida - Msechu #lukuvi #tiktoktanzania🇹🇿 #ITVUpdates #ITVTanzania
-
– video
19 likes 1 comment 0 shares 2 saves
Mwili wa Mhe.William Lukuvi ulivyofikishwa Bungeni kwa ajili ya kuagwa, Dodoma #ITVTanzania #ITVUpdates #tiktoktanzania🇹🇿 #lukuvi 🕊️🕊️
-
28 likes 3 comments 0 shares 1 save
-
– video
26 likes 0 comments 1 share 2 saves
Lori la mizigo limeteketea kwa moto katika eneo la Lugono, kando ya barabara kuu ya Iringa–Morogoro, usiku wa kuamkia leo huku mtu mmoja aliyekuwa ndani ya gari hilo akihofiwa kupoteza maisha. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, moto ulianza ghafla na kusababisha taharuki miongoni mwa watumiaji…
-
– video
76 likes 2 comments 5 shares 3 saves
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza walioiba fedha za mbolea na kisha kuzirudisha katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda waondolewe ofisini.
-
– video
36 likes 0 comments 0 shares 0 saves
Moto ambao chanzo chake hakijabainika mara moja, umeteketeza zaidi ya vibanda 20 vya wafanyabiashara katika eneo la Garden lililopo Posta, ndani ya Manispaa ya Iringa
-
– video
52 likes 0 comments 2 shares 0 saves
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amesema mwaka jana kuna timu ilifanya vitendo vya shiriki ya kuchimba katika nyasi asilia za Uwanja wa Mkapa na kuweka dawa ambayo imesababisha madhara ya fangasi na kuleta hasara kubwa kwa taifa. Makonda amezungumza hayo mbele ya Kamati…
-
– video
45 likes 1 comment 2 shares 5 saves
Watu wawili wakazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, wanasadikika kufariki dunia baada ya kutokea kwa ajali ya Mtumbwi ndani ya mto Luiche ulioko, Kata ya Kagera, Manispaa ya Kigoma Ujiji huku wengine wanne akiwemo dereva wa Mtumbwi huo wakifanikiwa kujiokoa katika ajali iliyosababishwa na kasi ya maji…
-
– video
22K likes 821 comments 655 shares 939 saves
RAIS SAMIA: MTOTO NI HAZINA HATUJUI KESHO YAKE #HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemkaribisha mtoto aliyemuasili, ambaye alipewa jina la Grace Samia Suluhu katika familia yake na kuahidi kumpatia malezi, ulinzi na huduma zote muhimu ili akue…
-
– video
68 likes 1 comment 1 share 1 save
MHE. MWINJUMA AMKABIDHI MZEE ZORRO MSAADA WA MILIONI 10
-
– video
2K likes 59 comments 164 shares 101 saves
JKT Tanzania Vs Yanga "Hatujazoea mbio kama Sungura"-Bwire
-
– video
33 likes 0 comments 2 shares 2 saves
TUITE KUJIAMINI? AMA KUHATARISHA MAISHA? WANAPENYA UZIO WAKIVUKA BARABARA #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #genz #ITVTanzania #magufuli
-
– video
69 likes 2 comments 4 shares 5 saves
SHUHUDIA UWEZO WA RAIS SAMIA KUTUMIA SILAHA #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿
-
– video
85 likes 2 comments 1 share 6 saves
Sikiliza visa vya Mochwari #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #ITVTanzania #genz
Showing 30 of 510 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
ITVTANZANIA TikTok stats
ITVTANZANIA (@itvtanzania) has 180,306 TikTok followers as of . That is about 180K followers.
- Followers
- 180,306
- Likes
- 698,728
- Videos
- 510
- Likes per video
- 1.4K
- Average video length
- 1:35
- Median per post
- 2.4K views · 60 likes · 2 comments · 1 share · 3 saves
- Average engagement per view - follower
- 3.2% - 0.01
- Average views per follower
- 0.16
- Most viewed recent posts
- “RAIS SAMIA: MTOTO NI HAZINA HATUJUI KESHO YAKE HABARI…” · 680K views · 21.8K likes · 821 comments ·
- “JKT Tanzania Vs Yanga "Hatujazoea mbio kama Sungura"-Bwire” · 79.1K views · 2K likes · 59 comments ·
- “Huzuni na majonzi familia ikiaga mwili wa Marehemu…” · 37K views · 346 likes · 10 comments ·
- Last post
- (110 days before this check)
- Posting rate
- about 3.4 posts a month
- TikTok content labels
- Social News (13 of 17 posts), Society (13 of 17 posts)
- Hashtags used most
- #ITVTanzania (11), #ITVUpdates (6), #itv (4), #MCHEZOSUPA (4), #ITVDigital (4)
ITVTANZANIA follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About ITVTANZANIA
Account created