Jamii Voice profile picture

Jamii Voice (@jamiivoice_)

Followers
1.9M followers
Following
0 following
Likes
13.3M
Videos
2K
Avg length
3:03

Voice of Jamii +255654718481

Playlists Liked videos

Latest videos by Jamii Voice

  • MANJALE LUXURY YATAMBULISHA MABASI MAPYA YA KISASA Kampuni ya usafirishaji ya MANJALE LUXURY… – video , 7.5K views, duration 0:05

    121 likes 1 comment 3 shares 2 saves

    MANJALE LUXURY YATAMBULISHA MABASI MAPYA YA KISASA Kampuni ya usafirishaji ya MANJALE LUXURY, kupitia Jambo Zito, imetambulisha mabasi mapya ya kisasa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuanza kutoa huduma za usafiri kwa wananchi hivi karibuni. Utambulisho wa mabasi hayo unaashiria hatua mpya katika…

  • HABARI: Utaratibu wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wa kutoza jumla ya Shilingi 200,000 kwa ajili… – video , 14.8K views, duration 0:10

    182 likes 14 comments 24 shares 9 saves

    HABARI: Utaratibu wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wa kutoza jumla ya Shilingi 200,000 kwa ajili ya kibali cha kufanya sherehe umekuwa gumzo, kufuatia tangazo linalowataka wakazi wa Kata za Mnadani, Miyuji, Msalato na Makutupora kulipia gharama hizo. Kwa mujibu wa tangazo hilo, malipo hayo…

  • HABARI: Mwendelezo wa simulizi mbalimbali katika kuangazia wimbi la watoto waishio na kufanya kazi… – video , 951 views, duration 2:58

    21 likes 0 comments 0 shares 1 save

    HABARI: Mwendelezo wa simulizi mbalimbali katika kuangazia wimbi la watoto waishio na kufanya kazi mitaani, katika mtaa wa Kariakoo jijini Dar es salaam, tunakutana na kisa cha kijana anayeishi mazingira hayo, anaeleza sababu za kukimbia nyumbani kwao Arusha pamoja na changamoto wanazokumbana…

  • HABARI: Serikali imeweka mikakati ya kuwawezesha watu waliokuwa waraibu wa dawa za kulevya… – video , 3.2K views, duration 2:56

    27 likes 1 comment 0 shares 1 save

    HABARI: Serikali imeweka mikakati ya kuwawezesha watu waliokuwa waraibu wa dawa za kulevya kujitegemea kiuchumi baada ya kukamilisha matibabu, kwa kuwapatia elimu, mafunzo ya ujuzi na fursa mbalimbali za kujiajiri ili waweze kurejea katika jamii na kushiriki shughuli za uzalishaji mali…

  • Wakili maarufu Peter Madereka amesema maridhiano nchini yanapaswa kuhusisha jamii nzima, kwa kuwa… – video , 1.9K views, duration 2:30

    51 likes 2 comments 0 shares 1 save

    Wakili maarufu Peter Madereka amesema maridhiano nchini yanapaswa kuhusisha jamii nzima, kwa kuwa changamoto za kijamii na kiuchumi haziwahusu vyama vya upinzani na wanaharakati pekee. Madereka amesema masuala ya ajira kwa vijana, mikopo ya elimu ya juu na upatikanaji wa bima ya afya kwa wote…

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 12, 2026 , 28.8K views, duration 4:28

    980 likes 41 comments 49 shares 100 saves

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 12, 2026 , 26.1K views, duration 8:25

    1.1K likes 53 comments 37 shares 113 saves

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 12, 2026 , 4.4K views, duration 4:41

    85 likes 2 comments 0 shares 5 saves

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 12, 2026 , 21.4K views, duration 3:35

    636 likes 17 comments 35 shares 71 saves

  • HABARI: Watoto tunaowaona mitaani kila siku. Wengine wakiomba, wengine wakifanya kazi ndogondogo… – video , 1.9K views, duration 1:58

    36 likes 0 comments 0 shares 3 saves

    HABARI: Watoto tunaowaona mitaani kila siku. Wengine wakiomba, wengine wakifanya kazi ndogondogo, na wengine wakitafuta mahali pa kulala. Lakini je, tunajua nini kinawapeleka watoto hao mitaani? Ni umaskini, migogoro ya kifamilia, ukatili, kukosa malezi au sababu nyingine zinazofichika nyuma ya…

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 10, 2026 , 1.3K views, duration 0:55

    24 likes 1 comment 3 shares 2 saves

  • ♬ The Last Ferry Home · Video by @jamiivoice_ , 9.1K views, duration 7:15

    239 likes 4 comments 22 shares 31 saves

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 10, 2026 , 391 views, duration 3:46

    13 likes 0 comments 0 shares 0 saves

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 10, 2026 , 2.2K views, duration 4:46

    80 likes 0 comments 3 shares 8 saves

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 10, 2026 , 510 views, duration 1:44

    18 likes 0 comments 0 shares 1 save

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 10, 2026 , 3.6K views, duration 3:59

    182 likes 6 comments 2 shares 21 saves

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 10, 2026 , 256 views, duration 5:34

    6 likes 0 comments 0 shares 1 save

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 10, 2026 , 31.6K views, duration 4:19

    961 likes 12 comments 30 shares 79 saves

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 10, 2026 , 6.1K views, duration 2:14

    260 likes 8 comments 4 shares 22 saves

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 10, 2026 , 10.7K views, duration 1:43

    588 likes 5 comments 31 shares 57 saves

  • HABARI: Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeshiriki katika Maonesho ya Tisa ya… – video , 977 views, duration 0:25

    17 likes 1 comment 0 shares 4 saves

    HABARI: Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeshiriki katika Maonesho ya Tisa ya Kimataifa ya Uagizaji wa Bidhaa ya China (CIIE) jijini Shanghai, nchini China, kwa lengo la kutangaza Mfumo wa Stakabadhi za Ghala na kuwaunganisha wanunuzi wa kimataifa na fursa za biashara ya mazao ya…

  • HABARI: Askari wa Jeshi la Polisi Wilayani Tunduru Festo Jonathan Mathias anadaiwa kuuawa na… – video , 29.5K views, duration 0:05

    940 likes 70 comments 34 shares 85 saves

    HABARI: Askari wa Jeshi la Polisi Wilayani Tunduru Festo Jonathan Mathias anadaiwa kuuawa na wafugaji katika Kijiji cha Azimio jana tarehe 8 Novemba 2026. Mauwaji hayo yametokea baada ya wafugaji ambao mifugo yao ilikamatwa kwenye operesheni inayoendelea Wilayani Tunduru kujaribu kuirejesha kwa…

  • HABARI: Mkazi wa Shinyanga aliyejitambulisha kwa jina la Joyce, amemweleza Waziri Mkuu, Dkt… – video , 8.5K views, duration 0:53

    119 likes 4 comments 2 shares 8 saves

    HABARI: Mkazi wa Shinyanga aliyejitambulisha kwa jina la Joyce, amemweleza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kuwa alipigwa na kujeruhiwa wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, huku nguo zake zote zikichomwa moto. Akitoa malalamiko hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika Shinyanga mjini leo…

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 9, 2026 , 857 views, duration 1:22

    18 likes 0 comments 0 shares 3 saves

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 9, 2026 , 290 views, duration 3:52

    5 likes 0 comments 0 shares 1 save

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 9, 2026 , 570 views, duration 1:50

    13 likes 0 comments 0 shares 0 saves

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 9, 2026 , 2K views, duration 10:09

    37 likes 1 comment 0 shares 1 save

  • Video by @jamiivoice_ · Nov 9, 2026 , 7.2K views, duration 2:00

    143 likes 4 comments 5 shares 16 saves

  • HABARI: Mama aitwaye Dorothea, mkazi wa Kishapu Mkoani Shinyanga amemuomba Waziri Mkuu, Dkt… – video , 11.6K views, duration 1:51

    357 likes 7 comments 17 shares 15 saves

    HABARI: Mama aitwaye Dorothea, mkazi wa Kishapu Mkoani Shinyanga amemuomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kumsaidia aweze kupata haki yake kufuatia ofisi ya Ardhi wilayani humo kuuza eneo lake miaka 15 iliyopita huku akidai wamegoma kumlips fidia. Ametoa kero hiyo leo Novemba 8, 2026 kwenye…

  • HABARI: Afisa Ardhi Wilaya ya Kishapu akijitetea mbele ya Waziri Mkuu kufuatia mgogoro baina yake… – video , 15.6K views, duration 1:11

    411 likes 3 comments 8 shares 38 saves

    HABARI: Afisa Ardhi Wilaya ya Kishapu akijitetea mbele ya Waziri Mkuu kufuatia mgogoro baina yake na Daud Amosi anayelalamika kutolipwa fidia licha ya eneo lake kuchukuliwa na Serikali.

Showing 30 of 1,980 videos

Load more videos

Explore & export videos

Jamii Voice TikTok stats

Jamii Voice (@jamiivoice_) has 1,948,506 TikTok followers as of . That is about 1.9M followers.

Followers
1,948,506
Likes
13,336,074
Videos
1,980
Likes per video
6.7K
Average video length
3:03
Median per post
4K views · 102 likes · 2 comments · 3 shares · 7 saves
Average engagement per view - follower
3.3% - under 0.01
Average views per follower
under 0.01
Most viewed recent posts
  1. A video from · 31.6K views · 961 likes · 12 comments
  2. “HABARI: Askari wa Jeshi la Polisi Wilayani Tunduru Festo…” · 29.5K views · 940 likes · 70 comments ·
  3. A video from · 28.8K views · 980 likes · 41 comments
Last post
(less than a day before this check)

How these numbers are counted

Jamii Voice follower history

FollowersLikes1.94M13.25M1.945M13.3M1.95M13.35M1.955M13.4M1.96M13.45M1,948,506 followers on Nov 15, 20261,948,50613,336,074 likes on Nov 15, 202613,336,074Nov 15, 2026

Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded

About Jamii Voice

Account created