Jesus Cares Church - Dar (@jcc_dar)
- Followers
- 4.7K followers
- Following
- 9 following
- Likes
- 35.5K
- Videos
- 494
- Avg length
- 4:08
Jesus Cares Church (JCC) - Dar Touching Lives Transforming Communities
Latest videos by Jesus Cares Church - Dar
-
– video Pinned
Mawimbi ya Uamsho na Matengenezo kuanzia Oktoba 2025. . . #mawimbiyauamsho #wavesofrevival #yesu #injili #nenolamungu
-
– video
42 likes 3 comments 0 shares 2 saves
Kimtokacho mtu ndicho kijazacho moyo wake. Stefano alipokuwa akipigwa mawe, maneno yaliyotoka kinywani mwake yalikuwa, “Bwana, usiwahesabie dhambi hii.” (Matendo 7:60). Hii inaonyesha kile kilichokuwa kimejaa ndani ya moyo wake. Ili tufikie hatua ya kuonyesha tabia ya Kristo hata tunapoumizwa…
-
– video
46 likes 2 comments 0 shares 1 save
Mioyo yetu ni Kama container. Unachokiweka ndio utakachokitoa. Vile vile, hali ya moyo wa mwanadamu ndio ina determine hali ya maisha yake. Ndio maana mwandishi wa Mithali anasema, “Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.” Mithali 4:23 . Hivyo basi…
-
– video
34 likes 0 comments 0 shares 1 save
Imani yetu katika Kristo inapaswa kuonekana katika namna tunavyoishi. Hatuwezi kudai kuwa tunaishi ndani ya Kristo huku tabia zetu zikiendelea kuutukuza mwili. Ni lazima tukubali kufa kwa nafsi zetu, tamaa na matendo ya mwili ili Kristo aonekane ndani yetu. Lengo si sisi kuishi tena, bali Kristo…
-
– video
31 likes 4 comments 0 shares 2 saves
Unaweza ukawa unajua historia ya Yesu tangu kuzaliwa kwake mpaka kupaa kwake lakini usiwe unamjua KRISTO YESU. Kumjua Yesu ni matokeo ya kufunuliwa (kuwekwa wazi) kwa yale yatokanayo na kazi kamilifu ya Yesu Msalabani. Mwamini kama unataka kufaidi na kuishi kama mrithi, lazima siku zote uwe…
-
– photo post
Photo post
JUMAPILI YA UANAFUNZI NA USHIRIKA. Tumejifunza wajibu wetu wa kuomba na kuombeana, kujifunza Neno pamoja, kukusanyika, kutoa kwa ajili ya wengine na kuwafanya wengine kuwa wanafunzi wa Yesu Kristo. Ukristo si maisha ya kujitegemea, bali ni maisha ya imani yanayoishiwa katika ushirika na kuwajenga…
-
– photo post
Photo post
JIANDAE KWA MWAKA 2027. Je, unajua namna bora ya kujitathmini na kuweka malengo yatakayokusaidia kufanikiwa mwaka 2027? KINGDOM BUILDERS FORUM inakualika kwenye semina maalum ya kupanga malengo ya kibiashara, kiuongozi, kielimu, kiafya, kiroho na kikazi. 📅 Jumapili, 01/11/2026 📍 JCC, Madale…
-
– photo post
Photo post
MEDICAL GOSPEL MISSION | DAY 1 SHINYANGA Upendo wa Kristo unaonekana kwa matendo! Medical Gospel Mission inaendelea Shinyanga, ambapo watu wanapokea huduma za matibabu bila malipo. Hii ni sehemu ya kuonesha upendo wa Kristo kwa vitendo, tukigusa mahitaji ya watu na kuwajali kama Kristo…
-
– photo post
Photo post
Jumapili ya wiki hii ilikuwa njema sana kwetu kama familia ya JCC. Tulijifunza Neno la Mungu pamoja, tukajengana katika imani, na pia tukapata furaha ya kushiriki katika tukio la ndoa ya Dickson na Sifael, vijana wetu wa JCC. 💍❤️ Ni furaha iliyoje kuona tukikua pamoja katika Neno la Mungu na pia…
-
– video
58 likes 1 comment 0 shares 1 save
Kama ilivyokuwa kwa wana wa Israeli, damu ya mwana-kondoo ilipokuwa juu ya miimo ya milango, hukumu iliwapita na asubuhi wakatoka utumwani, ndivyo ilivyo kwa walio ndani ya Kristo. Ndani ya Kristo hakuna hukumu tena, wala utumwa wa dhambi hauwezi kuwa utambulisho wetu. Tumeokolewa kwa damu yake…
-
– photo post
Photo post
KARIBU JESUS CARES CHURCH. Karibu kwenye makusanyiko yetu, mahali tunapokusanyika kumwabudu Mungu, kujifunza Neno la kweli na kujengwa katika Kristo. Kila Juma Pili JCC Midizini Saa 1:30 Asubuhi — Kusanyiko la Kwanza (Kiingereza) Saa 3:00 Asubuhi — Bible Study Saa 4:00 Asubuhi — Kusanyiko la…
-
– video
103 likes 10 comments 0 shares 1 save
Kutenda dhambi na kuwa mtumwa wa dhambi ni vitu viwili tofauti. Kwa sababu utu wetu wa kale uliokua na asili ya kutenda dhambi ulishasulubiwa msalabani. Warumi 6:7-9 anasema, “kwa kuwa yeye aliyekufa amehesabiwa haki mbali na dhambi. Lakini tukiwa tulikufa pamoja na Kristo, twaamini ya kuwa…
-
– video
94 likes 4 comments 1 share 2 saves
Kila aliye ndani ya Yesu ni mshindi juu ya dhambi iwayo yoyote! Dhambi haitakiwi kukukandamiza wala kukutumikisha kwa sababu nguvu ya dhambi ilishashughulikiwa msalabani kupitia kifo cha Yesu. Warumi 6:6 anasema “mkijua neno hili, ya kuwa utu wetu wa kale ulisulibishwa pamoja naye, ili mwili wa…
-
– video
51 likes 6 comments 0 shares 5 saves
Haki tuliyoipokea baada ya kumuamini Kristo ndio silaha yetu ya kiroho kwasababu inatupa sisi waamini kibali cha kuweza kukabiliana na vita vya kiroho kwa kumshinda shetani na kila nguvu za giza. 2 Korintho 5:21 anasema, “Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate…
-
– video
40 likes 2 comments 0 shares 1 save
Kuvaa mkanda wa kweli sio tu kuishi maisha yaliyonyooka Bali ni kumvaa Kristo maana Kristo mwenyew ndio kweli. Yohana 14:6 anasema, “Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.” Hivyo basi Kweli ya Kristo ndio msingi wa vita vya kiroho maana…
-
– video
55 likes 2 comments 0 shares 2 saves
WAEFESO 6:10–18 Ingia Kwenye Maombi Ukiwa Umevaa. Biblia inatufundisha kwamba vita vyetu si vya mwili, bali ni vita vya kiroho. Hivyo, tunapaswa kuvaa silaha zote za Mungu, ili tuweze kusimama na kuzipinga hila za Shetani. Silaha hizo ni: 🛡️ Mshipi wa Kweli 🛡️ Dirii ya Haki 👞 Miguu ikiwa imevaa…
-
– video
44 likes 1 comment 1 share 1 save
UKRISTO NI KRISTO. Kabla ya kujua Ukristo unataka ufanye nini, lazima ujue Kristo ni nani. Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu aliyekuja katika mwili, akafa kwa ajili ya dhambi zetu, akazikwa na kufufuka. Kifo chake, kuzikwa kwake na kufufuka kwake vina maana na matokeo katika maisha ya mwamini. Kumjua…
-
– video
81 likes 0 comments 0 shares 4 saves
Je umewai kufikiria na kuona umuhimu wa Roho Mtakatifu kwa maisha yako? Roho Mtakatifu ni wa muhimu sana kwenye maisha ya mwamini, yeye akiwepo hutusaidia kuiishi kweli yote Mruhusu Roho Mtakatifu aishi ndani yako na hapo utaufurahia wokovu wako.
-
– video
40 likes 0 comments 0 shares 2 saves
Heart of Worship God calls us to follow Him not because we receive something from Him, but because He is God and is worthy of the worship of our hearts.
-
– video
44 likes 1 comment 0 shares 1 save
Yesu alifanyika kuwa mwili akajifunua kwetu, ili tumjue na kufanana naye zaidi. Aliteswa na kufa ili tupate msamaha wa dhambi. Alifufuka akatupa tumaini kwamba kifo si mwisho; nasi tutafufuka. Akapaa akatukumbusha kwamba Yesu ndiye Kristo, Masihi aliyeinuliwa na kuwekwa katika utukufu. Kila…
-
– video
66 likes 0 comments 0 shares 4 saves
Worship is not just the songs we sing or the words we speak. Worship is a life surrendered to God a relationship expressed through obedience, submission, and love for Him. You can sing loudly and still have a heart far from God. True worship begins when we surrender our lives to Him and choose to…
-
– video
57 likes 0 comments 1 share 2 saves
Usimfuate Yesu kwa sababu tu ya kile anachoweza kukupa, bali mfuate kwa sababu Yeye ndiye Bwana na Mwokozi. Wengi walimtafuta Yesu kwa sababu walikula mikate na wakashiba, lakini Yesu aliwaonyesha kwamba walipaswa kutafuta zaidi ya chakula kinachoharibika. Usimfuate Yesu kwa ajili ya…
-
– video
46 likes 0 comments 0 shares 1 save
“Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, ndugu wakae pamoja kwa umoja.” Zaburi 133:1
-
– video
29 likes 0 comments 0 shares 1 save
Ushahidi ya kwamba YESU anajali (Jesus Cares) hauko hewani na sio kitu kisichoshikika bali ni jambo halisi na linaloweza kuthibitika kwa vitendo, kama ambavyo watu hawa wanathibitisha kwa furaha na shukrani walizonazo kwa Mungu kupitia huduma za matibabu pasipo malipo (Gospel Medical Mission)…
-
– video
65 likes 0 comments 0 shares 0 saves
Je, unazitawala mali zako au mali zako ndizo zinazokutawala? Wengi wetu tunaingia kwenye mtego wa kuwaona matajiri kama watu wenye roho mbaya, au kuwaona maskini kama watu wavivu. Lakini je, unajua Yesu alikuwa na mtazamo gani? Video hii ni sehemu tu ya somo kamili la "Mtazamo wa Yesu Kuelekea…
-
– video
49 likes 5 comments 0 shares 2 saves
Ushahidi ya kwamba YESU anajali (Jesus Cares) hauko hewani na sio kitu kisichoshikika bali ni jambo halisi na linaloweza kuthibitika kwa vitendo, kama ambavyo watu hawa wanathibitisha kwa furaha na shukrani walizonazo kwa Mungu kupitia huduma za matibabu pasipo malipo (Gospel Medical Mission)…
-
– video
53 likes 0 comments 0 shares 2 saves
Katika mwili, kila kiungo kina nafasi yake, kazi yake na umuhimu wake. Jicho haliwezi kusema kwa mkono, “Sikuhitaji,” wala mkono hauwezi kusema kwa mguu, “Wewe si sehemu yangu.” Vivyo hivyo katika Kanisa, Mungu ametuweka kila mmoja kwa kusudi na kwa kazi tofauti. Tunapoungana, kutumikiana na…
-
– video
14 likes 0 comments 0 shares 1 save
Karibu kufuatilia sehemu ya pili ya ushuhuda wa ndugu Amani, aliyekuwa na mapepo 400 lakini baada ya kuombewa kupitia jina la Yesu amefungulia na yuko huru
-
– video
31 likes 0 comments 0 shares 2 saves
Jina la Yesu pekee ndilo lenye uwezo wa kuokoa, kufungua, na kumuweka mtu huru kutoka kwenye vifungo vya shetani. Karibu kusikiliza sehemu ya kwanza ya ushuhuda huu utakaokujenga wa ndugu yetu Amani aliyekuwa na mapepo 400, lakini kupitia jina la Yesu amewekwa huru na sasa yuko vizuri
-
– video
31 likes 0 comments 0 shares 1 save
Living a supernatural life for believers is possible. #supernaturallife #christ #jcc_dar
Showing 30 of 494 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
Jesus Cares Church - Dar TikTok stats
Jesus Cares Church - Dar (@jcc_dar) has 4,662 TikTok followers as of . That is about 4.7K followers.
- Followers
- 4,662
- Likes
- 35,509
- Videos
- 494
- Likes per video
- 72
- Average video length
- 4:08
- Median per post
- 371 views · 46 likes · 1 comment · 0 shares · 2 saves
- Average engagement per view - follower
- 14.4% - 0.01
- Average views per follower
- 0.08
- Most viewed recent posts
- “Kutenda dhambi na kuwa mtumwa wa dhambi ni vitu viwili…” · 686 views · 103 likes · 10 comments ·
- “KARIBU JESUS CARES CHURCH. Karibu kwenye makusanyiko yetu…” · 530 views ·
- “Kila aliye ndani ya Yesu ni mshindi juu ya dhambi iwayo…” · 522 views · 94 likes · 4 comments ·
- Pinned posts
- 1, with 542 views
- Last post
- (1 day before this check)
- Posting rate
- about 3.2 posts a week
- Post types
- 25 videos, 5 photo posts
- Hashtags used most
- #nenolamungu (3), #mawimbiyauamsho (2), #Injili (2)
Jesus Cares Church - Dar follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About Jesus Cares Church - Dar
Account created