Heche john (@johnheche4)
- Followers
- 11K followers
- Following
- 161 following
- Likes
- 36.4K
- Videos
- 34
- Avg length
- 3:18
Makamu Mwenyekiti Chadema Tanganyika.
Latest videos by Heche john
-
– video
104 likes 8 comments 6 shares 10 saves
Dakika 45 itv. Endelea kuchangia chama .
-
– video
151 likes 7 comments 3 shares 8 saves
Watanzania sio wajinga, Watanzania wa sasa wana akili sana mpaka vijijini. Huku ndio zamani walikua wanaamini watu hawajui kinachoendelea.. Huku ndiko walikua zamani wanaenda kusema katiba haileti chakula. Kutokana na swali la huyu kijana kuna Jumbe zaidi ya 10 kwa hawa madikteta. 1. Watanzania…
-
43 likes 1 comment 1 share 6 saves
-
54 likes 1 comment 0 shares 5 saves
-
– video
884 likes 23 comments 28 shares 52 saves
Hii ndio habari ambayo Star tv walikatisha matangazo ili Watanzania wasione uovu huu wa serikali… Vyombo vya habari Tanzania mpo kwaajili ya nani? Nani mteja wenu? Shame on you!
-
– video
60 likes 6 comments 4 shares 2 saves
Ndio msimamo wa chama chetu.
-
– video
78 likes 7 comments 5 shares 5 saves
Ccm ni janga, hawasikii, hawaelewi. Lazima waondoke ili hii ipone. 1978 China ya Deng Xiaoping ilichukua hatua ya kubadili uchumi wa China, kutoka Nchi ya 11 kwenye uchumi wa dunia, Leo ni ya pili kwa kuwa na uchumi mkubwa duniani. Mabadiliko haya yamechukua miaka 47, sisi tuna miaka 63 Mpaka sasa…
-
– video
47 likes 2 comments 1 share 1 save
Vijana wa Tanzania sasa wanajua uchaguzi ni maisha yao. Sasa wanajua lazima tupambane kubadilisha hali hii mbaya tuliyonayo. #NoReformsNoElection ndio jawabu la matatizo yote. Kila mtu afanye kile anachoweza, tumia kipaji chako na nafasi yako kukemea maovu na kutetea haki.
-
– video
83 likes 6 comments 1 share 4 saves
Rais utajisikiaje mtoto wako akitekwa?
-
– video
74 likes 6 comments 2 shares 2 saves
Tuko mbele ya mda.
-
– video
162 likes 7 comments 1 share 6 saves
Msimamo wetu ni No reforms no election.
-
– video
187 likes 13 comments 1 share 5 saves
Hii ndio ajenda ya Watanzania. No reforms No elections.
-
– video
216 likes 16 comments 0 shares 8 saves
No reforms no election ndio msimamo wa Nchi.
-
– video
107 likes 14 comments 2 shares 5 saves
Asante wakili Mwabukusi.
-
– video
131 likes 9 comments 2 shares 4 saves
Wanataka kumhukumu gizani.
-
– video
176 likes 12 comments 5 shares 8 saves
Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu kwa watu wote.
-
– video
210 likes 8 comments 2 shares 8 saves
Huu ndio msimamo wa vikao vya chama tutausimamia.
-
– video
64 likes 5 comments 7 shares 1 save
Kudai tume huru ya uchaguzi sio UHAINI. Kampeini ya #NoReformsNoElection itaendelea kama ilivyopangwa.
-
– video
4.3K likes 310 comments 302 shares 132 saves
Wimbo mzuri kabisa. #noreformsnoelection
-
– video
3K likes 645 comments 345 shares 86 saves
Nchi yenye kila kitu miaka 63 baada ya Uhuru.
-
– video
320 likes 23 comments 5 shares 10 saves
Jumatatu dakika 45 usikose.
-
– video
2.5K likes 117 comments 33 shares 89 saves
Ludewa, Njombe na Nchi yetu inabaki masikini wakati tuna chuma cha kubadili Nchi yetu. Tunaagiza chuma kila mwaka kwa matrilioni ya shilingi wakati chuma chetu nimelala pale Ludewa. Ajira hakuna kwa vijana wakati tunasafirisha ajira kwenda nje kwa kutoa fedha kwenda kununua chuma badala ya…
-
170 likes 8 comments 0 shares 8 saves
-
– video
285 likes 13 comments 7 shares 9 saves
Tuna uwezo wa kupunguza na kuondoa kabisa umasikini kwa watu wetu. Haiwezi kutengeza ajira na kipato kwa watu wako kama unaagiza mpaka toilet paper na toothpicks kutoka and nje. Nchi yetu sio dampo, enyi vijana mnaojiita wasomi mnaoandamana kuunga mkono mambo ya hovyo mnasoma nini huko shuleni?
-
– video
6K likes 235 comments 140 shares 177 saves
Mlowo #noreformsnoelection
-
– video
3.6K likes 198 comments 95 shares 155 saves
Nilipata nafasi ya kusema kidogo kuhusu Zanzibar na uchumi wa blue. Uvuvi na maisha ya watu. #noreformsnoelection
-
– video
6.3K likes 149 comments 154 shares 238 saves
Hii ni interview yangu ya 2018 nikiwa bungeni.. Nimerudia tena kuisikiliza leo, kwa miaka yetu 5 tulifanya kazi kubwa sana jimboni.
-
– video
98 likes 10 comments 10 shares 2 saves
Anaetaka twende kwenye uchaguzi wa aina hii. Ambao MADC wanasema kwa uwazi kwa waliwakata wapinzani, waliteka na kupoteza kwenye mapori.. Anaetaka tushiriki katika mazingira haya aseme tunashiriki ili iweje? Ili tupate nini? #noreformsnoelection
-
149 likes 6 comments 0 shares 2 saves
-
187 likes 13 comments 14 shares 9 saves
Showing 30 of 34 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
Heche john TikTok stats
Heche john (@johnheche4) has 11,038 TikTok followers as of . That is about 11K followers.
- Followers
- 11,038
- Likes
- 36,446
- Videos
- 34
- Likes per video
- 1.1K
- Average video length
- 3:18
- Median per post
- 2.1K views · 166 likes · 10 comments · 5 shares · 8 saves
- Average engagement per view - follower
- 8.2% - 0.10
- Average views per follower
- 1.21
- Most viewed recent posts
- “Mlowo” · 86.8K views · 6K likes · 235 comments ·
- “Hii ni interview yangu ya 2018 nikiwa bungeni.. Nimerudia…” · 71.6K views · 6.3K likes · 149 comments ·
- “Nchi yenye kila kitu miaka 63 baada ya Uhuru.” · 57.1K views · 3K likes · 645 comments ·
- Last post
- (88 days before this check)
- Posting rate
- about 1.4 posts a month
- TikTok content labels
- Social News (2 of 5 posts), Society (2 of 5 posts)
- Hashtags used most
- #noreformsnoelection (8)
Heche john follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About Heche john
Account created