@kitm_dsm
- Followers
- 3.2K followers
- Following
- 4K following
- Likes
- 14.4K
- Videos
- 320
- Avg length
- 1:14
Fully Registered and Accredited by NACTVET REG/ANE 029 ☎️ 0766348652/0717816034
Latest videos by @kitm_dsm
-
– photo post
Pinned
Photo post
🎓 JIANDAE KWA UJUZI, JENGA MUSTAKABALI WAKO! 🚀 Ungependa kujifunza ujuzi mpya na kuongeza fursa za ajira au kujiajiri? Hii ndiyo nafasi yako! 🔥 Jiunge na KITM (Kilimanjaro Institute of Technology and Management) na ujipatie ujuzi wa vitendo kupitia kozi fupi zinazokupa maarifa yanayohitajika…
-
– photo post
Pinned
Photo post
Je, uko tayari kuchukua hatua inayofuata katika safari yako ya elimu na taaluma? Huu ndio wakati wako wa kujiunga na The Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) na kupata elimu bora inayozingatia zaidi mafunzo kwa vitendo na mahitaji halisi ya soko la ajira. ✅ Kozi za Diploma na…
-
– photo post
Pinned
Photo post
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi na Ufundi (NACTVET) imetangaza rasmi kufunguliwa kwa dirisha la udahili kwa ngazi ya Astashahada (Certificate) na Stashahada (Diploma) kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) tunakukaribisha kujiunga nasi…
-
3 likes 0 comments 0 shares 0 saves
-
– video
33 likes 2 comments 0 shares 3 saves
🚀 JIFUNZE UJUZI, JENGA MUSTAKABALI WAKO! Unataka kuongeza ujuzi, kujiajiri au kujiandaa na fursa mbalimbali za ajira? KITM inakukaribisha kujiunga na mafunzo ya SHORT COURSES yanayokupa maarifa na ujuzi wa vitendo unaohitajika katika soko la ajira. 📚 Kozi zinazopatikana: ✅ Computer Application ✅…
-
– video
60 likes 6 comments 1 share 3 saves
📚 Elimu bora huanza darasani! Katika KITM, wanafunzi wetu wanapata maarifa ya kitaaluma kupitia ufundishaji bora na ushiriki wa moja kwa moja darasani. Leo mwalimu wetu akiwaelekeza wanafunzi katika somo la Hisabati, akiimarisha uelewa na uwezo wao wa kutatua changamoto mbalimbali. KITM – Elimu…
-
143 likes 4 comments 2 shares 6 saves
-
– photo post
Photo post
📹 ELIMU KWA VITENDO! 💻🔧 Katika KITM, tunaamini kuwa elimu bora ni ile inayompa mwanafunzi ujuzi wa vitendo. Wanafunzi wetu wanaendelea kujifunza kwa vitendo kupitia ufungaji na matumizi ya mifumo ya CCTV Camera, kompyuta na vifaa vya mtandao (Network Switch). Kupitia mafunzo haya, wanafunzi…
-
-
17 likes 1 comment 0 shares 1 save
-
– video
28 likes 0 comments 0 shares 0 saves
💻 CISCO NETWORK CABINET MAINTENANCE | KITM 📡 Learning by Doing! Wanafunzi wa IT Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) wakiendelea na mafunzo kwa vitendo ya Cisco Network Cabinet Maintenance, wakijifunza namna ya kutunza, kukagua na kusimamia vifaa vya mtandao wa kompyuta. 🎯…
-
– video
67 likes 14 comments 1 share 1 save
🌍💻 Skills Have No Borders at KITM! We are proud to welcome a student from the Democratic Republic of Congo 🇨🇩 who has joined Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) to pursue a Short Course in Computer Application. At KITM, we welcome learners from different backgrounds and…
-
– video
40 likes 0 comments 0 shares 3 saves
🍽️ ELIMU KWA VITENDO | HOSPITALITY MANAGEMENT – KITM Wanafunzi wa Hotel Management katika KITM wakiendelea na mafunzo ya vitendo ya Table Setting, wakijifunza namna sahihi ya kupanga meza na kuandaa vifaa kwa ajili ya kuwahudumia wateja kwa viwango vya kitaalamu. 👨🍳✨ Katika KITM, tunawaandaa…
-
– video
23 likes 2 comments 0 shares 0 saves
💻🇹🇿 MABADILIKO YA KIDIGITALI SIYO CHAGUO TENA, BALI NI HITAJI LA LAZIMA! Katika dunia ya sasa, ujuzi wa kidigitali ni muhimu katika elimu, biashara na soko la ajira. KITM inaendelea kuhamasisha matumizi ya teknolojia na kukuza ujuzi unaowaandaa wanafunzi kukabiliana na changamoto za dunia ya…
-
77 likes 1 comment 1 share 3 saves
-
– video
60 likes 0 comments 0 shares 1 save
💻✨ MEET OUR NEW IT STUDENT! The future belongs to those who embrace technology! 🚀 Get to know one of our new Information Technology students at Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM), sharing their passion, expectations, and dreams in the world of technology. At KITM, we are…
-
– video
36 likes 0 comments 0 shares 0 saves
👨🍳 LEARNING THROUGH PRACTICE! 🍽️ Our Hotel Management students from the Hospitality Management Department engaged in practical cooking preparations under the guidance of a Chinese instructor, gaining hands-on experience and valuable culinary skills to prepare them for the hospitality industry…
-
27 likes 2 comments 0 shares 0 saves
-
27 likes 0 comments 0 shares 0 saves
-
– video
77 likes 3 comments 2 shares 2 saves
Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) sincerely appreciates Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro, @hyatt_kilimanjaro for inviting our Hotel Management students to participate in the HYATT REGENCY OPEN DOOR DAY. We are grateful for this valuable opportunity to enhance…
-
– video
59 likes 8 comments 2 shares 2 saves
CUSTOMER SERVICE WEEK | KITM Katika Wiki ya Huduma kwa Wateja, Principal wa KITM anaendelea kusisitiza dhamira ya chuo katika kutoa elimu bora yenye msisitizo mkubwa kwenye mafunzo ya vitendo, yanayowaandaa wanafunzi kwa ujuzi na fursa za ulimwengu wa kazi. 🎓💻 KITM — Jifunze kwa Vitendo, Jenga…
-
– video
54 likes 3 comments 1 share 3 saves
Katika Wiki ya Huduma kwa Wateja, Mkuu wa Chuo cha KITM anasisitiza umuhimu wa kutoa huduma bora, kusikiliza mahitaji ya wanafunzi na wadau wetu, na kujenga mazingira yenye heshima, ushirikiano na uaminifu. 🎓💙 Huduma bora ni sehemu ya mafanikio ya mwanafunzi. KITM — Jifunze kwa Vitendo, Jenga…
-
– video
68 likes 3 comments 4 shares 4 saves
Mkuu wa Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) anawakaribisha wazazi, walezi na wahitimu wote kushiriki katika sherehe ya Mahafali ya KITM. Kwa wahitimu, huu ni wakati wa kuhakikisha unajisajili mapema ili kushiriki katika siku hii muhimu ya kusherehekea mafanikio yako…
-
– video
82 likes 15 comments 0 shares 3 saves
KITM TANGA TOUR – HEEKAHEKA ZIMEANZA! Safari kuelekea Tanga Tour imeanza! Hizi ni baadhi ya hekaheka za wanafunzi wetu tunapoelekea kwenye safari ya kujifunza, kujiburudisha na kutengeneza kumbukumbu pamoja. Usikose kufuatiliaTanga Tour ndiyo inaanza! @itsdvoice @wcb_wasafi @wasafifm @wasafitv…
-
– video
294 likes 4 comments 1 share 6 saves
📚PREPARING FOR THE NEXT SEMESTER! Our dedicated KITM lecturers are getting ready for the next semester, ensuring everything is in place for another season of quality, practical and student-focused learning. 🎓💻 KITM Learn by Doing, Build Your Future! #KITM #NextSemester #PracticalLearning…
-
50 likes 5 comments 0 shares 1 save
-
54 likes 7 comments 0 shares 2 saves
-
– video
35 likes 0 comments 0 shares 3 saves
💻 EMPOWERING WOMEN THROUGH DIGITAL SKILLS! 👩🏽💻 KITM inatoa mafunzo ya Computer kwa kinamama wa Uhuru Mama Collection @uhurumamacollectiveofficial chini ya ufadhili wa NCA, kwa lengo la kuwaongezea ujuzi na uwezo wa kutumia teknolojia katika shughuli zao za kila siku na kiuchumi. KITM Jifunze kwa…
-
– video
81 likes 3 comments 3 shares 4 saves
💻 FROM CODE TO SOLUTION! Mwanafunzi wa Programming Hub – KITM akiwasilisha mfumo aliou-develop chini ya usimamizi wa walimu wake mahiri. Hii ndiyo elimu ya vitendo tunayoamini kujifunza, ku-develop na kuwasilisha suluhisho halisi. KITM Jifunze kwa Vitendo, Jenga Kesho Yako! #KITM #ProgrammingHub…
-
– video
34 likes 0 comments 0 shares 0 saves
🎓📚 UDAHILI WA OCTOBER INTAKE 2026/27 UNAENDELEA KITM! Je, uko tayari kuchukua hatua inayofuata katika safari yako ya elimu na taaluma? Huu ndio wakati wako wa kujiunga na The Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) na kupata elimu bora inayozingatia zaidi mafunzo kwa vitendo na…
Showing 30 of 320 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
@kitm_dsm TikTok stats
@kitm_dsm has 3,184 TikTok followers as of . That is about 3.2K followers.
- Followers
- 3,184
- Likes
- 14,392
- Videos
- 320
- Likes per video
- 45
- Average video length
- 1:14
- Median per post
- 815 views · 54 likes · 2 comments · 0 shares · 2 saves
- Average engagement per view - follower
- 5.3% - 0.02
- Average views per follower
- 0.37
- Most viewed recent posts
- “📚PREPARING FOR THE NEXT SEMESTER! Our dedicated KITM…” · 7.9K views · 294 likes · 4 comments ·
- A video from · 3K views · 143 likes · 4 comments
- “💻 FROM CODE TO SOLUTION! Mwanafunzi wa Programming Hub…” · 1.9K views · 81 likes · 3 comments ·
- Pinned posts
- 3, with 1.8K, 1.6K and 550 views
- Last post
- (1 day before this check)
- Posting rate
- about 3.2 posts a week
- TikTok content labels
- Lifestyle (5 of 6 posts), Daily Life (3 of 6 posts)
- Post types
- 26 videos, 4 photo posts
- Hashtags used most
- #KITM (21), #QualityEducation (4), #createsightinsight (4), #tiktokviewsandfollowercountmeaning (3), #HospitalityManagement (3)
@kitm_dsm follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About @kitm_dsm
Account created