Madam Leila profile picture

Madam Leila (@madam_leila)

Followers
846K followers
Following
8 following
Likes
9.1M
Videos
920
Avg length
1:17

Award Winning 𝗠𝗲𝗻𝘁𝗮𝗹 𝗛𝗲𝗮𝗹𝘁𝗵 𝗔𝗱𝘃𝗼𝗰𝗮𝘁𝗲 & 𝗧𝗵𝗲𝗿𝗮𝗽𝗶𝘀𝘁🏆

Playlists Liked videos

Latest videos by Madam Leila

  • Sema na Mola wako ukiwa na yakini kuwa anakuskia, anakujua na atakuitikia kwa kukupa ulichomuomba… – video , 1.1K views, duration 1:19

    136 likes 3 comments 1 share 6 saves

    Sema na Mola wako ukiwa na yakini kuwa anakuskia, anakujua na atakuitikia kwa kukupa ulichomuomba au kwa kukupa kilicho bora zaidi ya ulichomuomba.

  • Maswali ya msingi kujiuliza. Wewe upo kundi gani? – video , 30.7K views, duration 0:59

    2.9K likes 60 comments 117 shares 254 saves

    Maswali ya msingi kujiuliza. Wewe upo kundi gani?

  • QUR'AN 2:155 ﴿ وَلَنَبْلُوَنَّكُم بِشَيْءٍ مِّنَ الْخَوْفِ وَالْجُوعِ وَنَقْصٍ مِّنَ الْأَمْوَالِ… – video , 12.1K views, duration 3:25

    1.7K likes 33 comments 111 shares 153 saves

    QUR'AN 2:155 ﴿ وَلَنَبْلُوَنَّكُم بِشَيْءٍ مِّنَ الْخَوْفِ وَالْجُوعِ وَنَقْصٍ مِّنَ الْأَمْوَالِ وَالْأَنفُسِ وَالثَّمَرَاتِ ۗ وَبَشِّرِ الصَّابِرِينَ﴾ [ البقرة: 155] "Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya hofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda(mazao). Na wabashirie wanao…

  • 🚨❤️ USISUBIRI DAKIKA ZA MWISHO! ⏳ Fursa ni sasa! Nunua tiketi yako mapema na uwe sehemu ya… – video , 1.7K views, duration 2:06

    84 likes 1 comment 0 shares 3 saves

    🚨❤️ USISUBIRI DAKIKA ZA MWISHO! ⏳ Fursa ni sasa! Nunua tiketi yako mapema na uwe sehemu ya mabadiliko ya maisha ya yatima na wasiojiweza. Kila tiketi ni mchango wa matumaini na tabasamu kwa wenye uhitaji. 🥹❤️ 📅 Tarehe: 8 Novemba 2026 📍 Golden Jubilee, Dar es Salaam 🎟️ Regular: TSh 50,000 🎟️ VIP…

  • Hakuna aliye mbali na simu yake. – video , 73.4K views, duration 1:25

    9.3K likes 132 comments 631 shares 834 saves

    Hakuna aliye mbali na simu yake.

  • Kuwa makini na fichaficha 🤔 – video , 60.2K views, duration 0:59

    7K likes 107 comments 430 shares 561 saves

    Kuwa makini na fichaficha 🤔

  • Usijione kwamba mwenza wako hana pa kwenda kwa sababu anakupenda. Dunia ya sasa imefunguka… – video , 118K views, duration 1:26

    12K likes 134 comments 352 shares 1.2K saves

    Usijione kwamba mwenza wako hana pa kwenda kwa sababu anakupenda. Dunia ya sasa imefunguka; mitandao ya kijamii, biashara, sehemu za kazi na hata mazingira ya kawaida ya maisha yanakutanisha watu wengi wenye tabia na sifa tofauti. Unaweza kujiona uko bora kuliko wengine, kumbe kuna watu wengi…

  • Je, ni sahihi kumhukumu mtu kwa uwezo wake wa kifedha kabla hata hujajua anaweza kukusaidia… – video , 23.4K views, duration 1:23

    3.1K likes 26 comments 74 shares 256 saves

    Je, ni sahihi kumhukumu mtu kwa uwezo wake wa kifedha kabla hata hujajua anaweza kukusaidia kufikia fursa gani maishani? Mahusiano yanapaswa kuwa sehemu ya kujenga, siyo kudharauliana, kutukanana au kuamrishana. Hata hivyo, heshima lazima iwe ya pande zote. Unaweza kumkataa mtu kwa sababu hana…

  • Kikundi cha "Kuachwa labda na gari" – video , 7.2K views, duration 1:18

    651 likes 7 comments 8 shares 46 saves

    Kikundi cha "Kuachwa labda na gari"

  • UNAJUA MWENYEZI MUNGU AMEKUPA MUME WA AINA GANI? 😂❤️ Kuna wakati unaweza kuwa hujui hata kazi… – video , 15K views, duration 1:19

    1.5K likes 18 comments 11 shares 88 saves

    UNAJUA MWENYEZI MUNGU AMEKUPA MUME WA AINA GANI? 😂❤️ Kuna wakati unaweza kuwa hujui hata kazi halisi anayofanya mume wako, lakini unachojua ni kwamba ana kipato kizuri na anahakikisha familia inaishi vizuri. Lakini je, ni kweli unamfahamu mwenza wako na shughuli zinazomuingizia kipato? Swali kwa…

  • Wakati mwingine, kinachokukwamisha si kukosa uwezo, bali kukosa mtu wa kukuamini. ❤️ Kuna wakati… – video , 33.6K views, duration 1:08

    4.5K likes 41 comments 240 shares 365 saves

    Wakati mwingine, kinachokukwamisha si kukosa uwezo, bali kukosa mtu wa kukuamini. ❤️ Kuna wakati nilipata kazi ambayo kwa kweli sikuwa na sifa zote zilizohitajika. Kilichonipitisha kwenye interview ni uwezo wangu wa kuzungumza Kiingereza. Mengine mengi sikuwa nayajua, lakini mtu mmoja aliamini…

  • Video by @madam_leila · Oct 30, 2026 , 14.6K views, duration 1:00

    1.6K likes 22 comments 65 shares 138 saves

    🤔

  • Sisi ni mazao yao – video , 9.2K views, duration 1:25

    1.1K likes 13 comments 49 shares 94 saves

    Sisi ni mazao yao

  • JE, WANAUME PIA HUNYANYASWA KWENYE NDOA? Mwanaume anapolinganishwa na wanaume wengine… – video , 64.3K views, duration 1:10

    7.6K likes 70 comments 268 shares 776 saves

    JE, WANAUME PIA HUNYANYASWA KWENYE NDOA? Mwanaume anapolinganishwa na wanaume wengine, kudhalilishwa au kuambiwa maneno ya kumuumiza kila siku, je, hayo si manyanyaso ya kihisia? Wengi tunaamini mwanaume ananyanyaswa pale tu anapopigwa. Lakini vipi kuhusu manyanyaso ya maneno? TUJADILI: Je, kuna…

  • UMRI PEKEE HAUTOSHI KUWA MUME, NA UMRI MDOGO HAUMAANISHI KUTOKUWA NA MAJUKUMU! Kuna wanaume wenye… – video , 34.4K views, duration 0:55

    3.3K likes 47 comments 96 shares 283 saves

    UMRI PEKEE HAUTOSHI KUWA MUME, NA UMRI MDOGO HAUMAANISHI KUTOKUWA NA MAJUKUMU! Kuna wanaume wenye umri mkubwa kuliko wake zao, lakini cha kushangaza, wake zao ndiyo wanaobeba majukumu mengi ya familia. Mwanaume anatoka kazini, anachangia kiasi kidogo cha fedha, lakini mke ndiye anayepaswa…

  • 📢 Usahili wa kundi jipya la Diploma ya Elimu za Sheria kutoka Africa Academy Swahili umefunguliwa… – video , 4.2K views, duration 0:42

    122 likes 3 comments 5 shares 8 saves

    📢 Usahili wa kundi jipya la Diploma ya Elimu za Sheria kutoka Africa Academy Swahili umefunguliwa rasmi! Jiunge 👆👆👆 Link : ipo kwa bio yetu ✅ Diploma ni bure kabisa ✅ Unasoma kwa njia ya mtandao, kupitia simu yako popote ulipo ✅ Muda wa masomo ni mwaka mmoja, ukiwa na masomo 12 ✅ Utafundishwa na…

  • Vunjwa moyo, lia, endelea na maisha. Video kamili inapatikana katika channel yetu Youtube (Madam… – video , 76.5K views, duration 1:07

    8.1K likes 186 comments 549 shares 649 saves

    Vunjwa moyo, lia, endelea na maisha. Video kamili inapatikana katika channel yetu Youtube (Madam Leila Abubakar)

  • Kila familia ina swali moja ambalo halikosekani kwa binti ambaye bado hajaolewa: “Sasa wewe… – video , 27.5K views, duration 0:15

    3.2K likes 47 comments 82 shares 258 saves

    Kila familia ina swali moja ambalo halikosekani kwa binti ambaye bado hajaolewa: “Sasa wewe utaolewa lini?”. Lakini je, ni kweli kwamba kila mwanamke anatakiwa kuolewa kwa sababu tu watu wanamuuliza? Au wazazi na jamii wanapaswa kuwapa wanawake uhuru wa kuamua wakati sahihi wa kuingia kwenye ndoa?…

  • Kizazi kilichochanganyikiwa · Oct 25, 2026 – video , 6K views, duration 1:12

    556 likes 5 comments 7 shares 35 saves

    Kizazi kilichochanganyikiwa

  • Si kila kitu kizuri kwenye maisha yako kinahitaji watu wakijue! Mapenzi yako ni siri ya watu… – video , 14.9K views, duration 0:59

    1.1K likes 16 comments 63 shares 91 saves

    Si kila kitu kizuri kwenye maisha yako kinahitaji watu wakijue! Mapenzi yako ni siri ya watu wawili, si maudhui ya kila mtu. Linda faragha ya mahusiano yako, maana si kila anayekuona ukipendwa anafurahi kwa ajili yako.

  • Mtu anayekupenda kweli hatanyamaza anapoona unajiharibia. Akikushtua kuhusu tabia yako, usipuuze… – video , 92.4K views, duration 1:21

    7.9K likes 57 comments 524 shares 796 saves

    Mtu anayekupenda kweli hatanyamaza anapoona unajiharibia. Akikushtua kuhusu tabia yako, usipuuze! Ukisema “Hivi ndivyo nilivyo, nikubali au ondoka,” ujue umechagua kutobadilika. Ukipuuzia maonyo, usije ukamlaumu aliyeamua kuondoka. Wakati mwingine, watu wanaokuonya ndio wanaojaribu kuokoa…

  • Ukiwekwa Friendzone · Oct 17, 2026 – video , 138K views, duration 1:13

    12K likes 214 comments 374 shares 1.1K saves

    Ukiwekwa Friendzone

  • Wiki za Waume kuwa romantic zimekaribia mno! – video , 21.5K views, duration 1:27

    1.8K likes 19 comments 26 shares 159 saves

    Wiki za Waume kuwa romantic zimekaribia mno!

  • Jua sababu ya ugomvi kabla hujachukua hatua kubwa – video , 95.8K views, duration 1:29

    9.2K likes 121 comments 304 shares 779 saves

    Jua sababu ya ugomvi kabla hujachukua hatua kubwa

  • Miongoni mwa sifa za watu wakali – video , 672K views, duration 0:43

    66K likes 1.5K comments 7K shares 7K saves

    Miongoni mwa sifa za watu wakali

  • Wakati mwingine, matatizo ya mapenzi tunayolalamikia ni matokeo ya maamuzi yetu wenyewe. ❤️‍🩹 Mtu… – video , 39.5K views, duration 0:58

    3.9K likes 68 comments 111 shares 301 saves

    Wakati mwingine, matatizo ya mapenzi tunayolalamikia ni matokeo ya maamuzi yetu wenyewe. ❤️‍🩹 Mtu anakwambia wazi kuwa hakutaki, lakini unalazimisha mpaka unaumia. Si kila unayempenda amekusudiwa kuwa wako. Jifunze kuheshimu majibu ya watu na kujilinda kabla moyo haujawa gereza lako mwenyewe.

  • Usiombe ukakutana na wa-missionary – video , 66.7K views, duration 0:52

    6.1K likes 53 comments 151 shares 590 saves

    Usiombe ukakutana na wa-missionary

  • Njia ya muongo ni fupi sana! – video , 32.4K views, duration 1:07

    3K likes 31 comments 74 shares 236 saves

    Njia ya muongo ni fupi sana!

  • Msongo wa mawazo, hofu na wasiwasi * Kisukari na shinikizo la damu * Mzunguko hafifu wa damu… – video , 20.6K views, duration 2:16

    2.2K likes 33 comments 25 shares 184 saves

    * Msongo wa mawazo, hofu na wasiwasi * Kisukari na shinikizo la damu * Mzunguko hafifu wa damu mwilini * Upungufu wa homoni ya Testosterone * Uzito kupita kiasi na kutofanya mazoezi * Matumizi ya sigara na pombe kupita kiasi * Matatizo ya tezi dume * Baadhi ya dawa zinazotumika kutibu magonjwa…

  • Mtu wa kweli si anayekusifu kila siku, ni anayekuambia ukweli hata unapouma. – video , 18.1K views, duration 1:18

    1.5K likes 26 comments 51 shares 126 saves

    Mtu wa kweli si anayekusifu kila siku, ni anayekuambia ukweli hata unapouma.

Showing 30 of 920 videos

Load more videos

Explore & export videos

Madam Leila TikTok stats

Madam Leila (@madam_leila) has 846,193 TikTok followers as of . That is about 846K followers.

Followers
846,193
Likes
9,084,677
Videos
920
Likes per video
9.9K
Average video length
1:17
Median per post
29.1K views · 3K likes · 37 comments · 89 shares · 255 saves
Average engagement per view - follower
10.9% - 0.01
Average views per follower
0.07
Most viewed recent posts
  1. “Miongoni mwa sifa za watu wakali” · 672K views · 66.3K likes · 1.5K comments ·
  2. “Ukiwekwa Friendzone” · 138K views · 12.4K likes · 214 comments ·
  3. “Usijione kwamba mwenza wako hana pa kwenda kwa sababu…” · 118K views · 12.4K likes · 134 comments ·
Last post
(less than a day before this check)
Posting rate
about 6.3 posts a week

How these numbers are counted

Madam Leila follower history

FollowersLikes840K9.025M842.5K9.05M845K9.075M847.5K9.1M850K9.125M846,193 followers on Nov 8, 2026846,1939,084,677 likes on Nov 8, 20269,084,677Nov 8, 2026

Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded

About Madam Leila

Account created