afya na madam mariam (@mariam39164)
- Followers
- 392 followers
- Following
- 103 following
- Likes
- 317
- Videos
- 90
- Avg length
- 0:19
tatua changamoto ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kama ges tumboni,acid reflax,vidonda vya tumbo, choo kigumu, bawasiri mawasiliano +255 618322592
Latest videos by afya na madam mariam
-
– photo post
Photo post
Haya, *MADHARA YA BAWASILI *1. KUTOKWA NA DAMU KILA SIKU* Huu ndio uharibifu mkubwa. Kila unapojisaidia, damu inatoka. Mwanzo ni kidogo, baadaye ni nyingi. Hii inakumaliza damu mwilini. *2. UPUNGUFU WA DAMU (ANEMIA)* Ukipoteza damu kila siku, unakuwa mweupe, unachoka hata ukikaa tu, moyo unadunda…
-
Photo post
-
– photo post
Photo post
*MADHARA YA BAWASIRI* - Ukikaa nayo bila kutibiwa: *1. KUPUNGUKIWA DAMU (ANEMIA)* Bawasiri ikianza kutoka damu kila unapojisaidia, unapoteza damu kidogo kidogo kila siku. Baada ya miezi, unakuwa mweupe, unachoka haraka, kichwa kinauma na moyo unadunda. Watu wengi wanafika hospitali wakiwa…
-
Photo post
-
2 likes 0 comments 0 shares 0 saves
-
Photo post
-
– photo post
Photo post
BAWASIRI NINI BAWASIRI ni ugonjwa unao tokana na kuathirika kwa mishipa ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa
-
– photo post
Photo post
, *MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO *1. KUTAPKA DAMU NA CHOO CHEUSI* Kidonda kikiwa kikubwa, kinakwangua ukuta wa tumbo na damu inatoka. Unaona damu kwenye matapishi au choo kinakuwa cheusi na cha kunuka sana. Hii inasababisha upungufu wa damu. *2. MAUMIVU MAKALI YASIYOISHA* Maumivu ya kuungua…
-
– photo post
Photo post
, *MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO *1. KUTAPKA DAMU NA CHOO CHEUSI* Kidonda kikiwa kikubwa, kinakwangua ukuta wa tumbo na damu inatoka. Unaona damu kwenye matapishi au choo kinakuwa cheusi na cha kunuka sana. Hii inasababisha upungufu wa damu. *2. MAUMIVU MAKALI YASIYOISHA* Maumivu ya kuungua…
-
– photo post
Photo post
*MADHARA 5 MAKUBWA YA VIDONDA VYA TUMBO* *1. Kuvuja Damu Tumboni* Kidonda kinakata mshipa. Unatapika damu au choo kinakuwa cheusi kama lami. Unapungukiwa damu na kuzimia. *2. Tumbo Kutoboka* Asidi inachimba hadi inatoboa tumbo. Maumivu ni makali kama kisu, tumbo linakuwa gumu kama mbao. Hii…
-
1 like 0 comments 0 shares 0 saves
-
9 likes 0 comments 0 shares 0 saves
Showing 12 of 90 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
afya na madam mariam TikTok stats
afya na madam mariam (@mariam39164) has 392 TikTok followers as of .
- Followers
- 392
- Likes
- 317
- Videos
- 90
- Likes per video
- 4
- Average video length
- 0:19
- Median per post
- 92 views · 2 likes · 0 comments · 0 shares · 0 saves
- Average engagement per view - follower
- 11.1% - 0.01
- Average views per follower
- 0.29
- Most viewed recent posts
- “MADHARA 5 MAKUBWA YA VIDONDA VYA TUMBO* *1. Kuvuja Damu…” · 535 views ·
- “BAWASIRI NINI BAWASIRI ni ugonjwa unao tokana na…” · 177 views ·
- “Haya, *MADHARA YA BAWASILI *1. KUTOKWA NA DAMU KILA SIKU*…” · 127 views ·
- Last post
- (1 day before this check)
- Post types
- 3 videos, 9 photo posts
- Hashtags used most
- #weeklyrecap (2), #UshauriWaAfya (2), #MadamMariamVidonda (2)
About afya na madam mariam
Account created