@naona.ke
- Followers
- 238 followers
- Following
- 0 following
- Likes
- 4K
- Videos
- 21
- Avg length
- 0:12
Affordable eye care & glasses for all by 2050. That’s our mission. 👓🌎
Latest videos by @naona.ke
-
– video
2 likes 0 comments 0 shares 0 saves
Pata uchunguzi wa macho bila malipo na miwani kwa bei nafuu kupitia zahanati ya NAONA iliyo karibu nawe. Baada ya kampeni, unaweza kuendelea kupata huduma za macho kupitia vituo vya afya vya Meru. Community Health Promoter (CHP) wa eneo lako pia anaweza kukusaidia kupata huduma za macho na…
-
– video
36 likes 0 comments 0 shares 4 saves
Je, ushawapeleka wazazi wako kupimwa macho? Uchunguzi wa macho bila malipo kupitia NAONA bado unaendelea Meru. Usiwaache waendelee kuona kwa shida. Wapeleke wazazi wako wakapimwe macho leo.Pata maelezo zaidi kuhusu huduma za NAONA kupitia www.naona.co.ke. NAONA. Naelewa. Naishi kikamilifu…
-
– video
104 likes 2 comments 3 shares 17 saves
Uchunguzi wa macho huchukua dakika 5, na unaweza kuingia katika zahanati ya NAONA ukiwa njiani kuelekea shambani au sokoni. Wakati si kizuizi. Pata uchunguzi wa macho bila malipo kupitia NAONA. Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zetu, tembelea www.naona.co.ke. NAONA. Naelewa. Naishi kikamilifu…
-
– video
116 likes 1 comment 1 share 14 saves
Je, unapata shida unapochagua maharagwe? Huenda macho yako yanahitaji kuangaliwa. Kuchagua maharagwe kunahitaji kuona vizuri ili kutambua yaliyo mazuri na yaliyo na kasoro. Pata uchunguzi wa macho BILA MALIPO na miwani kwa bei nafuu kupitia zahanati ya NAONA iliyo karibu nawe. Tembelea…
-
– video
38 likes 0 comments 1 share 1 save
Unapochagua majani ya chai shambani, je, unaona vizuri? Kazi ya shamba inahitaji kuona vizuri, kuanzia kuchagua majani hadi kutambua mabadiliko kwenye mimea. Njoo upate uchunguzi wa macho bila malipo na miwani kwa bei nafuu kupitia zahanati ya NAONA iliyo karibu nawe. Kwa taarifa zaidi kuhusu…
-
– video
8 likes 0 comments 1 share 1 save
Ukiwa unatengeneza gari la mteja, unaona sehemu ndogo vizuri? Kazi ya mikono inahitaji macho yanayoona vizuri ili kutambua sehemu ndogo za gari. Njoo upate uchunguzi wa macho bila malipo na miwani kwa bei nafuu kupitia zahanati ya NAONA iliyo karibu nawe. Kwa maelezo zaidi kuhusu NAONA, tembelea…
-
– video
202 likes 7 comments 5 shares 21 saves
Unaona vizuri wakati wa kukamua? Njoo upate uchunguzi wa macho bila malipo kupitia zahanati ya NAONA iliyo karibu nawe na upate uchunguzi wa macho bila malipo. Kuona vizuri kunakusaidia kufanya kazi kwa umakini, kujiamini na kujikimu kimaisha. Pata maelezo zaidi kuhusu NAONA kupitia…
-
– video
11 likes 0 comments 1 share 2 saves
Je, kuona kwa shida kunafanya kazi zako za kila siku kuwa ngumu? Iwe unatunza mimea yako, unapanga mazao au unaendesha biashara yako, kuona vizuri ni muhimu. Tembelea zahanati ya NAONA iliyo karibu nawe upimwe macho bila malipo na upate miwani kwa bei nafuu. Jua zaidi kuhusu huduma za NAONA na…
-
– video
1K likes 1 comment 6 shares 83 saves
NAONA imefika Meru! 👀 Je, unasumbuliwa na kuona kwa ukungu, kusoma maandishi madogo au kuona mbali? Njoo upate uchunguzi wa macho bila malipo. Tembelea www.naona.co.ke kupata maelezo zaidi kuhusu NAONA. NAONA. Naelewa. Naishi kikamilifu. #NaonaKikamilifu #naona #hudumazamacho #miwani #Meru
-
– video
508 likes 0 comments 8 shares 46 saves
Unapata shida kusoma maandishi madogo? NAONA imefika Meru! Njoo upate uchunguzi wa macho bila malipo na miwani kwa bei nafuu. 🌐 Tembelea www.naona.co.ke kupata maelezo zaidi kuhusu NAONA. NAONA. Naelewa. Naishi kikamilifu. #NaonaKikamilifu #naona #hudumazamacho #miwani #Meru
-
– video
452 likes 0 comments 14 shares 36 saves
Wakazi wa Meru, mko tayari? NAONA inafika #Meru tarehe 1 Oktoba. Njoo upate uchunguzi wa macho bila malipo na miwani kwa bei nafuu. Ukitaka kujua zaidi kuhusu NAONA, tembelea www.naona.co.ke kupata maelezo zaidi kuhusu NAONA. NAONA. Naelewa. Naishi kikamilifu. #NaonaKikamilifu #naona…
-
– video
2 likes 0 comments 0 shares 0 saves
Mama Gladys aliomba msaada kusoma salio la M-Pesa kwa sababu hakuona nambari ndogo. Baada ya kupima macho na kupata miwani kupitia NAONA, sasa anaona vizuri na kujitegemea. Unapata shida kusoma ujumbe au salio lako la M-Pesa? Pata uchunguzi wa macho bila malipo kupitia NAONA. Ukitaka kupata…
-
– video
31 likes 0 comments 0 shares 3 saves
Mambo madogo ndiyo muhimu zaidi. Hakikisha unaweza kusoma maandishi hayo madogo. Maandishi yakianza kuwa magumu kusoma, usipuuze. Pata uchunguzi wa macho bila malipo katika zahanati ya NAONA iliyo karibu nawe. NAONA. Naelewa. Naishi kikamilifu. #NaonaKikamilifu #naona #hudumazamacho #miwani #macho
-
– video
76 likes 0 comments 0 shares 3 saves
Katika kilimo, kuona vizuri ni muhimu ya kutambua wadudu waharibifu na dalili za magonjwa shambani kwa urahisi. Pata uchunguzi wa macho ya BURE katika hospitali za umma za Ngazi ya mbili (2) na tatu (3). Hakikisha unaona vizuri ili uweze kutunza shamba lako kwa ufanisi. Ukitaka kupata maelezo…
-
– video
31 likes 0 comments 0 shares 1 save
Mambo madogo ndiyo muhimu zaidi. Hakikisha unaweza kusoma maandishi hayo madogo. Maandishi yakianza kuwa magumu kusoma, usipuuze.Pata uchunguzi wa macho bila malipo katika zahanati ya NAONA iliyo karibu nawe. Ukitaka kupata maelezo zaidi kuhusu NAONA tembelea tovuti yetu www.naona.co.ke NAONA…
-
– video
63 likes 0 comments 0 shares 5 saves
Je, una shida ya kuona vizuri? Usipuuze. Tembelea hospitali ya umma ya Ngazi ya 2 au Ngazi ya 3 iliyo karibu nawe katika Kaunti ya Homa Bay na upate uchunguzi wa macho bila malipo. Kuona vizuri huanza na uchunguzi wa #macho. 👁️ Kwa maelezo zaidi kuhusu NAONA, tembelea www.naona.co.ke NAONA…
-
– video
222 likes 0 comments 0 shares 20 saves
Tuliwaona wakijikaza kusoma maandishi yaliyo karibu. Peleke mzazi wako kupima macho. Mpeleke kupata uchunguzi wa macho bila malipo katika zahanati ya NAONA iliyo karibu nawe. NAONA. Naelewa. Naishi kikamilifu. #NaonaKikamilifu #Naona #Miwani #HudumaZaMacho #EyeTest
-
– video
83 likes 1 comment 3 shares 10 saves
Unapata shida kusoma maandishi madogo? Tembelea zahanati ya NAONA iliyo karibu nawe na upate uchunguzi wa macho bila malipo. NAONA. Naelewa. Naishi kikamilifu. Ukitaka kupata maelezo zaidi kuhusu NAONA tembelea tovuti yetu www.naona.co.ke NAONA. Naelewa. Naishi kikamilifu. #hudumazamacho #EyeTest…
-
– video
254 likes 2 comments 8 shares 15 saves
Mambo madogo yana umuhimu mkubwa, kama kusoma ujumbe wa M-Pesa na kuangalia bei ya bidhaa. Baada ya kupima macho na kupata miwani kupitia NAONA, unaweza kufanya yote haya mwenyewe. Pata uchunguzi macho bila malipo na upate miwani kwa bei nafuu katika zahanati iliyo karibu nawe. Ukitaka kupata…
-
– video
106 likes 0 comments 5 shares 16 saves
Naona imefika Homabay. Pata uchunguzi wa macho bila malipo na miwani ya bei nafuu katika hospitali za umma za level 2 na level 3 ama tembelea tovuti yetu ( www.naona.co.ke) kujua zahanati iliyo karibu nawe. #naonakamilifu #homabay #hudumazamacho #miwani #macho
-
– video
97 likes 0 comments 0 shares 11 saves
Kuona vizuri si anasa, bali ni hitaji la msingi. Husaidia kufanya kazi na kuendesha biashara yako. Miwani si suala la umri au mwonekano, bali hukusaidia kuona kwa uwazi. #naonakikamilifu #naona #readingglass#homabay
-
– video
287 likes 0 comments 5 shares 31 saves
Kazi nzuri huanza kwa kuona kila undani. Pata uchunguzi wa macho kupitia NAONA. NAONA. Naelewa. Naishi kikamilifu. #NaonaKikamilifu
-
– video
6 likes 0 comments 0 shares 1 save
Uhuru ni pale unapoweza kufanya mambo yako mwenyewe. Pata uchunguzi wa macho BURE kupitia NAONA. NAONA. Naelewa. Naishi kikamilifu. #NaonaKikamilifu
All 23 videos loaded.
Explore & export videos
Uses the videos loaded on this page. All available videos are loaded.
Videos by month
@naona.ke TikTok stats
@naona.ke has 238 TikTok followers as of .
- Followers
- 238
- Likes
- 3,972
- Videos
- 21
- Likes per video
- 189
- Average video length
- 0:12
- Median per post
- 59.6K views · 83 likes · 0 comments · 1 share · 10 saves
- Average engagement per view - follower
- 0.1% - 0.70
- Average views per follower
- 534.61
- Most viewed recent posts
- “NAONA imefika Meru! 👀 Je, unasumbuliwa na kuona kwa…” · 712K views · 1K likes · 1 comment ·
- “Unapata shida kusoma maandishi madogo? NAONA imefika Meru…” · 491K views · 508 likes · 0 comments ·
- “Wakazi wa Meru, mko tayari? NAONA inafika Meru tarehe 1…” · 362K views · 452 likes · 0 comments ·
- Last post
- (18 days before this check)
- Posting rate
- about 1.6 posts a week
- TikTok content labels
- Random Shoot (4 of 4 posts), Others (4 of 4 posts)
- Hashtags used most
- #NaonaKikamilifu (22), #naona (20), #miwani (20), #hudumazamacho (19), #macho (12)
About @naona.ke
Account created