@nomaseries
- Followers
- 29.2K followers
- Following
- 8 following
- Likes
- 149K
- Videos
- 61
- Avg length
- 3:02
🏆 Best ZIKOMO TV Series of the Year Ijumaa - Jumapili saa 7:00 Usiku Produced and Created by @adamoo14 D.O.P @selesupro Written By @iam_nikki92
Latest videos by @nomaseries
-
– photo post
Pinned
Photo post
Kuna maumivu yanayopenya mpaka kwenye roho... Na alichofanyiwa Adam si kosa, ni unyama. Kumuambukizwa ugonjwa mito bila kujua, bila ridhaa, bila huruma — ni betrayal inayovunja mtu ndani kabisa. Leo tunasimama kimya... tukimtazama Adam akiwa amebaki na maswali, hofu, na maumivu ambayo hakustahili…
-
– video Pinned
🎭 Wanapocheka, dunia inasahau maumivu yao… Lakini nyuma ya vicheko hivyo, kuna siri nzito 😔 💔 Nawanda — miezi 6 bila tendo la ndoa, upweke umemgeuza mtu mwingine. Kwa tamaa ya kujisikia “hai” tena, ametuma picha za uchi kutafuta milioni 5 💰 Maumivu, tamaa na aibu vinamzidi nguvu… 😩 Ila NOMA ni…
-
– video
3.6K likes 43 comments 21 shares 72 saves
WE DID IT
-
– photo post
Photo post
Here We Goooo upigaji wa kura umeanza rasmi People’s Choice, majina yaliyowasilishwa na kuchaguliwa… 🏆 Best Actor (TV Drama Series) Sadam Nawanda — Character: Nawanda 🏆 Best Actress (TV Drama Series) Magdalena Munisi — Character: Wendy JINSI YA KUPIGA KURA 1️⃣ Fungua Google, Safari, Chrome kisha…
-
– video
KILA PENZI LINA SAFARI YAKE ❤️🌹 Adam na Irene walianza kwa kudanganyana, kuvimbiana na kutokuaminiana… leo wamefika hatua ya kuoana 💍 Said na Chioma walipitia misukosuko, drama na hata talaka… lakini mapenzi yakawarudisha pamoja, leo ndoa yao ina amani na wanasubiri baraka nyingine 👶 Halafu kuna…
-
– video
1.1K likes 15 comments 17 shares 49 saves
NDOA TUNAYO NA TUNATAMBA NAYO
-
– video
234 likes 1 comment 0 shares 14 saves
#nomaseries🔥❤️ #sinemazetu #azamtv #amokfilms #suprosound 📺 Ijumaa – Jumapili saa 1:00 usiku 🔁 Marudio: saa 3:00 usiku, 5:00 asubuhi, 12:00 jioni 📅 Marudio ya wiki nzima: Jumatano saa 6:00 mchana hadi 8:00 mchana
-
– video
1.1K likes 30 comments 9 shares 67 saves
KUJIAMULIA MAMBO ni rahisi... Lakini kubeba matokeo yake ndio vita halisi #nomaseries #sinemazetu #azamtv #amokfilms #suprosound Ijumaa - Jumapili saa 1:00 usiku Marudio: saa 3:00 usiku, 5:00 asubuhi, 12:00 jioni 17 Marudio ya wiki nzima: Jumatano saa 6:00 mchana hadi 8:00 mchana L
-
– video
659 likes 7 comments 11 shares 35 saves
CHIOMA KATUKOSEA SANA NDUGU WA MUME 🥲 #nomaseries🔥❤️ #sinemazetu #azamtv #amokfilms #suprosound 📺 Ijumaa – Jumapili saa 1:00 usiku 🔁 Marudio: saa 3:00 usiku, 5:00 asubuhi, 12:00 jioni 📅 Marudio ya wiki nzima: Jumatano saa 6:00 mchana hadi 8:00 mchana 📲 Unatakiwa kuwa na Azam App
-
– video
893 likes 8 comments 40 shares 62 saves
NOMA MUSIC AVAILABLE ON YOUTUBE ANDIKA NOMA SERIES MUSIC SCORE ZINAKUJA ZOTE #nomaseries #TeamNawanda #sinemazetu #azamtvburudani #fyp
-
– video
406 likes 6 comments 15 shares 26 saves
NYIMBO ZOTE ZIKO YOUTUBE MKAJIZOLEEE MSISAHAU KU SUBSCRIBE ILI MUWE WA KWANZA KILA NYIMBO MPYA LINK IKO BIOGRAPHY 😎🦅🦅
-
– video
172 likes 5 comments 10 shares 33 saves
Kila tukio lina sauti yake... Na sasa unaweza kuisikia yote. NOMA MUSIC SCORE - Official Soundtrack YouTube kuanzia saa 6:00 Jiunge: @soundandscenetz Link — https://youtube.com/@soundandscenetz?si=PgEe-jgNFCClQU1J
-
– video
739 likes 15 comments 27 shares 32 saves
CHAMIMA NI NANI? 🔥👀 Ni mdomo mwingi, mbabe, na haogopi mtu yeyote. Ameonja ndoa, akaachika… na sasa amerudi akiwa na nguvu mpya na ajenda zake mwenyewe. Je, atakuja kuponya au kuharibu kila kitu? Je, nani atamudu kumkabili CHAMIMA? 📺 Tazama NOMA kwenye Chanel ya Sinema Zetu #106 📺 Ijumaa…
-
– video
1.4K likes 30 comments 11 shares 49 saves
Leo ni siku ya kipekee sana 🎉❤️ Familia yote ya NOMA tunapenda kumtakia Nawanda Happy Birthday 🎂 — maisha marefu, afya njema na mafanikio yasiyoisha. Pia tunasherehekea siku ya kuzaliwa ya Mama Adam, mama yetu kipenzi 💐 Asante kwa upendo wako, malezi na uwepo wako wa kipekee kwetu sote. Mungu…
-
– video
234 likes 1 comment 7 shares 18 saves
ADAM NA JICHO LAKO
-
– video
2.2K likes 34 comments 17 shares 107 saves
ILA SALMA 🍾🙌🏾 #nomaseries #sinemazetu #selesupro #azamtvburudani
-
– video
254 likes 3 comments 3 shares 10 saves
Watu wa Noma 🦾🦾 #nomaseries #sinemazetu #azamtvburudani #selesupro
-
– video
4.6K likes 14 comments 46 shares 241 saves
Jalia anakutana na tukio la kikatili kutoka kwa Adam, tukio linalovunja moyo na kuacha majeraha yasiyoonekana kirahisi. Wakati huo huo, Chioma anapigania afya yake hospitalini baada ya kupewa dawa kali… na habari mbaya zinathibitisha kuwa amepoteza mmoja wa mapacha wake. #nomaseries #sinemazetu…
-
– video
1.1K likes 18 comments 15 shares 70 saves
Suzy si angevumilia tu #AUMAPENZIHAYASHAURIWI #nomaseries #sinemazetu #azamtvburudani #amokfilms
-
– video
1.3K likes 21 comments 30 shares 72 saves
Baada ya maumivu ya talaka... kuna watu hujenga ukuta, lakini Chioma @ngelikah amechagua kujenga mwanzo mpya. Leo anamkabidhi Saidi. @alexander_malick zawadi ya gari kama ishara ya kufungua ukurasa mpya wa ndoa yao. cc @selesupro Ijumaa - Jumapili saa 1:00 usiku Marudio: saa 3:00 usiku, 5:00…
-
– video
672 likes 3 comments 3 shares 26 saves
Kuna wakati kazi nzima inaongea yenyewe. Kuanzia uandishi, uigizaji, upigaji picha, editing mpaka music score — kila idara imeweka nguvu yake na matokeo yake ni scene yenye hisia halisi kabisa. Hii ndio nguvu ya kazi ya pamoja. Hongera kwa team yote iliyohusika, mmeifanya sanaa ionekane ilivyo…
-
– video
2.1K likes 15 comments 40 shares 115 saves
-
– video
449 likes 12 comments 3 shares 22 saves
NOMA SERIES 🚮🐦🔥 #nomaseries📺 #sinemazetu #selesupro
-
– video
166 likes 1 comment 3 shares 10 saves
NAWANDA SNITCH 🚮 #nomaseries📺 #sinemazetu #selesupro #fyp
-
– video
1.4K likes 33 comments 33 shares 81 saves
KWAHIYO TUMEKUBALIANA MKE WA PILI NI MGOMBANISHI !?😃😃 Haya team Chioma Tufungue champagnes 🍾🍾 #nomaseries📺 #sinemazetu #fyp #selesupro
-
– video
150 likes 4 comments 3 shares 7 saves
Watahimili hii kweli? 👀 #nomaseries #sinemazetu #amokfilms #azamtvburudani #fyp @selesupro
-
– video
5.9K likes 250 comments 364 shares 256 saves
Hakuna anayejua ni nani anayeweza kuaminika… Kila siri inayofichuka inaleta hatari mpya, na kila uongo unaonekana wazi. Chapter 4 ya NOMA inakuleta karibu na ukweli ambao unaweza kuacha hofu ndani yako. NOMA BADO YA MOTO 🔥🔥🔥 #nomaseries #sinemazetu #amokfilms #azamtvburudani #nomaep @nomaseries…
-
– video
8.5K likes 0 comments 79 shares 374 saves
Siri zote zimeanikwa mezani! Salma kumbe ndiye chanzo cha mateso yote ya Nawanda… Je, taraka ilikuwa suluhisho au mwanzo wa vita mpya? 👀🔥 #NomaSeries #azamtvburudanikwawote #sinemazetuhd #fyp #DramaKali 📺 Ijumaa – Jumapili saa 1:00 usiku 🔁 Marudio: saa 3:00 usiku, 5:00 asubuhi, 12:00 jioni 📅…
-
– video
1.1K likes 34 comments 27 shares 81 saves
Dahh😒🥲🙌🏾🙌🏾🙌🏾😭 MAPENZI😭 #NomaSeries #azamtvburudanikwawote #fyp #sinemazetuhd
-
– video
658 likes 10 comments 2 shares 35 saves
Chichi na shughuri zake 😃😃🙌🏾 #NomaSeries #azamtvburudanikwawote #fyp
Showing 30 of 61 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
@nomaseries TikTok stats
@nomaseries has 29,202 TikTok followers as of . That is about 29.2K followers.
- Followers
- 29,202
- Likes
- 149,150
- Videos
- 61
- Likes per video
- 2.4K
- Average video length
- 3:02
- Median per post
- 32.1K views · 974 likes · 13 comments · 15 shares · 49 saves
- Average engagement per view - follower
- 3.1% - 0.06
- Average views per follower
- 1.75
- Most viewed recent posts
- “Siri zote zimeanikwa mezani! Salma kumbe ndiye chanzo cha…” · 285K views · 8.5K likes · 0 comments ·
- “Hakuna anayejua ni nani anayeweza kuaminika… Kila siri…” · 218K views · 5.9K likes · 250 comments ·
- “Jalia anakutana na tukio la kikatili kutoka kwa Adam…” · 115K views · 4.6K likes · 14 comments ·
- Pinned posts
- 2, with 249K and 204K views
- Last post
- (128 days before this check)
- Posting rate
- about 2.6 posts a month
- TikTok content labels
- Entertainment Culture (25 of 25 posts), Entertainment (25 of 25 posts)
- Post types
- 28 videos, 2 photo posts
- Hashtags used most
- #nomaseries (21), #sinemazetu (16), #selesupro (9), #azamtvburudani (9), #amokfilms (8)
@nomaseries follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About @nomaseries
Account created