@shabibyline
- Followers
- 17.9K followers
- Following
- 66 following
- Likes
- 61.4K
- Videos
- 78
- Avg length
- 0:57
Official tiktok page of shabiby line Bus company,Tanzania🇹🇿
Latest videos by @shabibyline
-
– video Pinned
-
– video Pinned
-
– video Pinned
Dar es salam To Dodoma,Dodoma To Dar es salaam Daily..! #shabiby #shabiby🌍line #ShabibyDigital
-
– video
112 likes 2 comments 2 shares 2 saves
TANGA KUNANI!?🔥 Ofisi zetu mpya zinapatikana stendi ya Kange mkoani Tanga na ziko wazi saa 24,Tafadhali wasiliana nasi kwa huduma bora na muda wowote ule😁 Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi. Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya…
-
– video
154 likes 6 comments 5 shares 5 saves
Sikiliza simulizi hii ya @beyondcars2026 kisha tueleze na wewe unahistoria gani na hizi Volvo,pengine unakumbuka ilikua ni mwaka gani na zilikua zinaelekea wapi? NB: picha mjongeo sio halisi,ni matumizi ya AI katika kutengeneza/kumbukumbu ya zamani ya bus ya VOLVO LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL…
-
– video
57 likes 1 comment 5 shares 3 saves
Amani Ya Mteja Ndio Mzigo Wa Kwanza Tunaoubeba. Wengine Husafirisha Mizigo, Sisi Tunasafirisha Amani Ya Mteja. Kwa Sababu Tunajua Kila Mzigo Una Thamani Yake, Kila Safari Ina Muda Wake, Na Kila Mteja Anastahili Uhakika Wa Huduma. Pia Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya…
-
– photo post
Photo post
KYELA TUKWISA MWITAYALILE? Ni rasmi kuanzia tarehe 07/08/2026 tunaanza rasmi safari zetu za kutoka Dodoma kuelekea kyela kuanzia saa nne na nusu asubuhi (10:30am) kwa nauli ya Tsh 55,000/= Tu. Karibuni sana shabiby bus😍 Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi…
-
– photo post
Photo post
MPWAPWA-DAR-MPWAPWA TUMEWAFIKIA💫 Hakika mpwapwa ni moja ya njia zetu za mwanzo kabisa na baada ya kitambo kupita,tunarejea nyumbani..! Na safari zetu zitakua ni za kila siku saa mbili na nusu usiku (20:30HRS) kwa Tsh 35,000/= kuanzia tarehe 09/08/2026 Kumbuka mabasi yetu yote yana huduma ya choo…
-
– photo post
Photo post
RATIBA MPYA KATESH‼️🚨 Katesh mnatupenda na tunawapenda😍,sasa tumewaletea ratiba mpya ya safari za saa 12 asubuhi Dar-Katesh-Dar. Karibuni sana shabiby bus😍 Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi. Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya…
-
– video
834 likes 10 comments 1 share 41 saves
SONGEA NA SAFARI MPYA..!😍 Sasa kila siku tuna bus kwa safari ya Dodoma kuelekea Songea,muda wa safari ni saa kumi na nusu jioni (16:30 HRS) Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi. Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya www.shabiby.co.tz LIVE…
-
– video
101 likes 4 comments 5 shares 4 saves
ETC ZA FURAHA NA UPENDO😍🌹 Hakika mapokezi ya bus zetu mpya yamekua ya mfano baada ya kupokelewa vizuri na wateja wetu. Kama kampuni tutaendelea kuboresha na kuimarisha huduma zetu kwaajili yako wewe mfalme wetu😍 Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi. @annuuhb…
-
– video
92 likes 4 comments 1 share 5 saves
Wanasimba @simbasctanzania wamechagua usafiri wa kifalme kuelekea ngorongoro,Tunayo furaha kubwa sana na tunawakaribisha @shabiby_line . Cc @ahmedally_ 🎥 @ayoma_tv Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi. Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu ya…
-
104 likes 3 comments 1 share 3 saves
-
– video
100 likes 4 comments 4 shares 2 saves
Kila siku tunasafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Singida na kutoka Singida kwenda Dar es Salaam kwa mabasi yetu ya VVIP yenye viwango vya kisasa. Ndani ya basi utapata huduma kama: ✨ TV katika kila seat kwa burudani tofauti tofauti safari nzima. 🚻 Choo ndani ya basi kwa urahisi zaidi (hakuna…
-
– video
113 likes 4 comments 3 shares 1 save
🔥✨ Safari ndefu si kero tena, kama umechagua usafiri sahihi. Kila siku wakati jua linachomoza, Shabiby Line inakuunganisha na safari iliyojaa utulivu, faraja na uhakika. 🕕 Saa 06:00 HRS (12 asubuhi) kwa Tsh 45,000/= tu,unasafiri nasi kati ya 📍 Dodoma ⇄ Tunduma. Unaweza kukata tiketi ya safari yako…
-
– video
2.5K likes 71 comments 27 shares 127 saves
Sasa ni rahisi zaidi! Shabiby Line inasafirisha parcel,mizigo midogo na mikubwa kwa uhakika, haraka na usalama wa hali ya juu. 📍 Tembelea ofisi zetu mpya Kariakoo, zinapatikana mtaa wa Ndovu & Swahili, kwa huduma ya karibu zaidi na yenye ufanisi. Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti…
-
– video
132 likes 3 comments 1 share 3 saves
Kampuni ya Shabiby (@shabiby_line ) inayojihusisha na Umiliki wa Mabasi ya Usafirishaji wa abiria pamoja na Hoteli hapa nchini imezindua hoteli yake mpya ya Morena "New Morena Hotel" yenye hadhi ya Kimataifa Jijini Dodoma. Akizungumza katika Uzunduzi wa hoteli hiyo mgeni rasmi katika Uzinduzi huo…
-
– video
92 likes 1 comment 3 shares 3 saves
SASA TUNAPATIKANA KARIAKOO NDOVU & SWAHILI STREET,PIA TUNASAFIRISHA MIZIGO MIDOGO NA MIKUBWA #Shabiby #LiveRoyalTravelRoyal
-
– video
747 likes 13 comments 8 shares 15 saves
LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL #ShabibyDigital #LiveRoyalTravelRoyal
-
– video
112 likes 7 comments 8 shares 4 saves
SHABIBY NI TAIFA LENYE FURAHA😇 Rasmi tumeanza safari zetu za kutoka Dodoma kuelekea Mbinga,na hapa ni baada ya kufika mkoani iringa tukipata mapokezi ya ndugu yetu SEJO,Hakika huu ni muendelezo wa furaha ikiwa tunaendelea kutanua wigo wa safari zetu na kuwafikia wadau wetu wote hapa nchini. HAYA…
-
– video
106 likes 9 comments 1 share 2 saves
Baada ya route ya kuelekea Singida,ungependa kuona tukiwafikia wakazi wa mkoa gani hapa Tanzania? Usisahau kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu www.shabiby.co.tz (Link ipo katika Bio) LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL #ShabibyDigital #LiveRoyalTravelRoyal
-
– video
1.3K likes 134 comments 31 shares 22 saves
TUPO FULL..!🚨 Safari yetu ya kwanza kutoka Singida kuelekea Dar es salaam kupitia Dodoma imeanza kwa mapokezi mazuri mno,Tafadhali msiache kutumia huduma zetu za usafiri. #Shabiby #ShabibyDigital #dar #Tanzania #Dodoma
-
– video
3.9K likes 508 comments 161 shares 103 saves
SINGIDA MPEWE NINI TENA? Tazama picha hizi mjongeo zikionesha madhari ya mabasi yetu ya kisasa kabisa yenye hadhi ya daraja la juu (VVIP) ambayo yatakua yakifanya safari zake kutoka Dar kwenda Singida na kutoka Singida kwenda Dar kila sikuu saa 12 jioni (18:00HRS) kwa Tsh 48,000/= Tu,unasubiri…
-
– video
1.9K likes 219 comments 50 shares 38 saves
KUANZIA TAREHE 14/08/2025 SINGIDA-DAR💫 Rasmi safari zetu za kutoka Singida kuelekea Dar zinaanza rasmi tarehe 14/08/2025 saa 12 jioni (18:00HRS) kwa nauli ya Tsh 48,000/= tu,ukifurahia safari yako na mabasi ya kisasa kabisa yenye huduma ya choo ndani,kiyoyozi pamoja na Free WiFi yenye kasi zaidi…
-
– video
1.8K likes 45 comments 25 shares 29 saves
DAR-DOM-DAR NA LENYE WiFi😇💫 Kila siku saa 12 asubuhi (6:00am) kutoka Dar kuelekea Dodoma na kutoka Dodoma kuelekea Dar usiwe na shaka ya kuperuzi mtandaoni kwakua utapata huduma ya intaneti ya uhakika buree kupitia WiFi inayopatikana katika mabasi yetu,pia huduma ya choo na kiyoyozi (Ac)…
-
– video
490 likes 7 comments 2 shares 10 saves
INTERNET YA BURE Pata bure WI-FI wakati wowote unaposafiri na sisi kwa safari za kutoka Tanga kuelekea Dodoma na kutoka Dodoma kuelekea Tanga. Unaweza kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu www.shabiby.co.tz Mawasiliano☎️ Dom:0654 777 773 Tanga:0657 107 170 LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL…
-
400 likes 5 comments 5 shares 10 saves
-
– video
501 likes 11 comments 26 shares 26 saves
MAPOKEZI MJINI SUMBAWANGA..!‼️🚨 Mapema hii leo tulipata wasaa wakutembeza mabasi yetu mapya ya VIP aina ya YUTONG D14 yenye choo ndani katika mitaa mbalimbali ya mjini sumbawanga,Mabasi haya yamepokelewa kwa ndelemo na vifijo ikiwa ni kwa mara ya kwanza mji huu kupokea mabasi yanayoweza kutoa…
-
– video
1.7K likes 81 comments 32 shares 37 saves
TWENZETU TANGA NA D14..!‼️🚨 Uhumue zeze, kila siku tunafanya safari zetu za kutoka Tanga kuelekea Dar es salaam na Dar es salaam kuelekea Tanga,pia safari za kutoka Dodoma kuelekea Tanga na kutoka Tanga kuelekea Dodoma ni kila siku..! ni lini unatarajia kusafiri pamoja nasi? Nauli zetu…
-
– video
102 likes 8 comments 3 shares 3 saves
PAREDI LETU JIJINI TANGA.!‼️🚨 Hii sio stori tenaa,Ni rasmi @shabiby_line tumeanza rasmi safari zetu za kutoka Dodoma kuelekea Tanga na kutoka Tanga kuelekea Dodoma kila siku,Vilevile tuna safari za kila siku za kutoka Tanga kuelekea Dar es salaam na kutoka Dar es salaam kuelekea Tanga,Karibu…
Showing 30 of 78 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
@shabibyline TikTok stats
@shabibyline has 17,935 TikTok followers as of . That is about 17.9K followers.
- Followers
- 17,935
- Likes
- 61,356
- Videos
- 78
- Likes per video
- 787
- Average video length
- 0:57
- Median per post
- 7.6K views · 143 likes · 7 comments · 5 shares · 5 saves
- Average engagement per view - follower
- 3.6% - 0.04
- Average views per follower
- 1.18
- Most viewed recent posts
- “SINGIDA MPEWE NINI TENA? Tazama picha hizi mjongeo…” · 131K views · 3.9K likes · 508 comments ·
- “DAR-DOM-DAR NA LENYE WiFi😇💫 Kila siku saa 12 asubuhi…” · 78.5K views · 1.8K likes · 45 comments ·
- “TWENZETU TANGA NA D14..!‼️🚨 Uhumue zeze, kila siku…” · 56.6K views · 1.7K likes · 81 comments ·
- Pinned posts
- 3, with 271K, 124K and 55.7K views
- Last post
- (35 days before this check)
- Posting rate
- about 1.5 posts a month
- TikTok content labels
- Auto & Vehicle (17 of 19 posts)
- Post types
- 27 videos, 3 photo posts
- Hashtags used most
- #ShabibyDigital (25), #LiveRoyalTravelRoyal (23), #shabiby (5)
@shabibyline follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About @shabibyline
Account created