TAMISEMI profile picture

TAMISEMI (@tamisemi_tz)

Followers
265 followers
Following
13 following
Likes
978
Videos
100
Avg length
4:26

Ukurasa Rasmi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI)

Playlists Liked videos

Latest videos by TAMISEMI

  • Naibu Waziri, OWM-TAMISEMI (Elimu), Mhe. Dkt. Festo Dugange (Mb), anafanya ziara ya kukagua… – photo post Photo post , 163 views

    Naibu Waziri, OWM-TAMISEMI (Elimu), Mhe. Dkt. Festo Dugange (Mb), anafanya ziara ya kukagua utekelezaji na mafanikio ya Programu ya BOOST mkoani Mwanza, kuanzia tarehe 9–11 Novemba 2026. Ziara hiyo inalenga kujionea mchango wa programu katika kuboresha miundombinu, mazingira ya kujifunzia na…

  • PROF. SHEMDOE: TANZANIA REAFFIRMS STRONG LOCAL GOVERNMENTS TO DRIVE EAST AFRICAN INTEGRATION By… – photo post Photo post , 343 views

    PROF. SHEMDOE: TANZANIA REAFFIRMS STRONG LOCAL GOVERNMENTS TO DRIVE EAST AFRICAN INTEGRATION By: PMO - RALG, Nairobi – Kenya The Minister of State, Prime Minister’s Office – Regional Administration and Local Government (PMO–RALG), Hon. Prof. Riziki Shemdoe, has reaffirmed Tanzania’s unwavering…

  • MTWALE ASISITIZA UFUATILIAJI IMARA WA PROGRAMU YA KUENDELEZA KILIMO, UVUVI Naibu Katibu Mkuu wa… – photo post Photo post , 292 views

    MTWALE ASISITIZA UFUATILIAJI IMARA WA PROGRAMU YA KUENDELEZA KILIMO, UVUVI Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Bw. Sospeter Mtwale, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha mfumo wa ufuatiliaji na mapitio ya utekelezaji wa Programu ya…

  • Photo post by @tamisemi_tz · Nov 4, 2026 Photo post , 458 views
  • SERIKALI YAHAIDI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA AFYA NCHINI Na: OWM – TAMISEMI Naibu Waziri… – photo post Photo post , 379 views

    SERIKALI YAHAIDI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA AFYA NCHINI Na: OWM – TAMISEMI Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Dkt. Jafar Seif, amesema Serikali itaendelea kutenga bajeti kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya vituo vya afya nchini ili kuboresha upatikanaji wa huduma…

  • SERIKALI KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA ULYANKULU, DARAJA LA IGOMBE KUJENGWA Serikali imeeleza… – video , 8 views, duration 6:12

    2 likes 0 comments 0 shares 0 saves

    SERIKALI KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA ULYANKULU, DARAJA LA IGOMBE KUJENGWA Serikali imeeleza dhamira ya kuendelea kuimarisha miundombinu ya barabara katika Jimbo la Ulyankulu, Wilaya ya Kaliua, Mkoa wa Tabora, ikiwemo ujenzi wa Daraja la Mto Igombe na kuboresha barabara ya…

  • RAIS SAMIA, RAIS JOÃO, WAZINDUA KILOMITA 59.1 ZA BARABARA ZA LAMI MJI WA SERIKALI MTUMBA Na… – video , 543 views, duration 3:04

    13 likes 0 comments 0 shares 2 saves

    RAIS SAMIA, RAIS JOÃO, WAZINDUA KILOMITA 59.1 ZA BARABARA ZA LAMI MJI WA SERIKALI MTUMBA Na: OWM–TAMISEMI, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Angola, Mhe. João Lourenço, leo Oktoba 30, 2026, wamezindua barabara za Mji wa Serikali…

  • Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI)… – photo post Photo post , 388 views

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wananchi wanashirikishwa kikamilifu katika kupanga, kutekeleza na kufuatilia miradi ya uhuishaji na uendelezaji upya wa…

  • Video by @tamisemi_tz · Oct 29, 2026 , 414 views, duration 1:16

    5 likes 2 comments 0 shares 0 saves

  • SERIKALI YAENDELEA NA MCHAKATO WA KUUNDA MAMLAKA YA DAR ES SALAAM METROPOLITAN Serikali imeanza… – video , 330 views, duration 4:19

    9 likes 2 comments 0 shares 0 saves

    SERIKALI YAENDELEA NA MCHAKATO WA KUUNDA MAMLAKA YA DAR ES SALAAM METROPOLITAN Serikali imeanza kuchukua hatua za kuandaa mfumo wa kuanzisha Mamlaka ya Dar es Salaam Metropolitan (Dar es Salaam Metropolitan Authority), itakayolenga kuratibu shughuli mtambuka zinazovuka mipaka ya halmashauri…

  • Video by @tamisemi_tz · Oct 28, 2026 , 368 views, duration 6:53

    16 likes 1 comment 0 shares 1 save

  • SERIKALI KUTENGA BAJETI YA MATENGENEZO MAKUBWA YA BARABARA ZA KILOLO 2027/28 Serikali imesema… – video , 395 views, duration 4:13

    14 likes 1 comment 0 shares 1 save

    SERIKALI KUTENGA BAJETI YA MATENGENEZO MAKUBWA YA BARABARA ZA KILOLO 2027/28 Serikali imesema itaweka katika bajeti ya mwaka wa fedha 2027/28 barabara za Idete–Kiwalamo na Idete–Kimala, Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa, kwa ajili ya kufanyiwa usanifu na kutengewa fedha za matengenezo makubwa…

  • Video by @tamisemi_tz · Oct 23, 2026 , 387 views, duration 7:04

    21 likes 0 comments 0 shares 2 saves

  • Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe… – video , 482 views, duration 3:40

    17 likes 0 comments 0 shares 1 save

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amesema Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliridhia kutolewa kwa shilingi bilioni 75 mkoani Mbeya ambapo sehemu ya fedha hizo zilitumika kujenga shule mpya 57, madarasa 1,100 na…

  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Prof… – video , 509 views, duration 3:39

    16 likes 1 comment 0 shares 2 saves

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe amesema walimu ni nguzo kubwa katika Utumishi wa Umma pamoja na maendeleo ya Taifa, kwani ili nchi iweze kuendelea inahitaji wasomi na wenye jukumu la kuzalisha wasomi ambao wanaboea…

  • Video by @tamisemi_tz · Oct 9, 2026 , 390 views, duration 4:13

    15 likes 0 comments 0 shares 2 saves

  • ‘CONSIDER YOURSELVES ALL WINNERS’ - PROF. SHEMDOE URGES YOUNG SECONDARY SCHOOL SCIENTISTS The… – video , 2K views, duration 4:09

    37 likes 2 comments 1 share 3 saves

    ‘CONSIDER YOURSELVES ALL WINNERS’ - PROF. SHEMDOE URGES YOUNG SECONDARY SCHOOL SCIENTISTS The Minister of State in the Prime Minister’s Office – Regional Administration and Local Government (PMO-RALG), Hon. Prof. Riziki Shemdoe, has urged young scientists from secondary schools across Tanzania to…

Showing 17 of 100 videos

Load more videos

Explore & export videos

TAMISEMI TikTok stats

TAMISEMI (@tamisemi_tz) has 265 TikTok followers as of .

Followers
265
Likes
978
Videos
100
Likes per video
10
Average video length
4:26
Median per post
388 views · 15 likes · 1 comment · 0 shares · 1 save
Average engagement per view - follower
3.0% - 0.06
Average views per follower
1.74
Most viewed recent posts
  1. “‘CONSIDER YOURSELVES ALL WINNERS’ - PROF. SHEMDOE URGES…” · 2K views · 37 likes · 2 comments ·
  2. “RAIS SAMIA, RAIS JOÃO, WAZINDUA KILOMITA 59.1 ZA BARABARA…” · 543 views · 13 likes · 0 comments ·
  3. “Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na…” · 509 views · 16 likes · 1 comment ·
Last post
(less than a day before this check)
Posting rate
about 3.5 posts a week
Post types
11 videos, 6 photo posts

How these numbers are counted

About TAMISEMI

Account created