VodacomTanzania (@vodacomtz)
Verified account
- Followers
- 45.4K followers
- Following
- 7 following
- Likes
- 258K
- Videos
- 464
- Avg length
- 0:46
Official Tiktok Page of Vodacom Tanzania
Latest videos by VodacomTanzania
-
– video
47 likes 2 comments 1 share 3 saves
Fuatilia visa na mikasa katika ndoa ya Manyanya na Vaileth iliyojaa usaliti, kiburi na ujuaji mwingi. Usikose tamthilia ya DUNIA ndani ya VTV. Piga 14901*02# OK kuanza kufurahia sasa! #ZaidiYaMtandao #PamojaTunaweza
-
– video
121 likes 9 comments 17 shares 7 saves
Wahenga wa zamani mpoo....? 🤣🤷♂️ Kama Jibu ni Ndio basi Mtag bingwa wa kukariri vitendawili au fanya ongezea kitendawili kingine ambacho ulikuwa unakikumbuka enzi hizo kwenye comment🔥😁 #ZaidiYaMtandao
-
– video
44 likes 4 comments 0 shares 3 saves
Uwe nyumbani, safarini au likizoni..popote pale VTV haikuachi. Iwe ni burudani, tamthilia, filamu na katuni za watoto, zote kwenye simu yako kupitia VTV. Piga *149*01*02# kujiunga. Zaidi ya Skrini ni Burudani Isiyokuacha #ZaidiYaMtandao #VTV
-
– video
310 likes 5 comments 19 shares 10 saves
Mtag yule staff ambaye huwa anataka kujua kila kitu kwa wakati mmoja akiwa ofisini... 🤣🏃♂️ #ZaidiYaMtandao
-
– video
77 likes 3 comments 1 share 3 saves
The countdown is almost over! The Vodacom Tanzania Open 2026 tees off tomorrow, 22 October, at Kili Golf & Wildlife Estate, Arusha. Get ready for four days of great golf, exciting moments, and unforgettable connections. See you on the course! #VodacomTanzaniaOpen #MoreThanANetwork
-
– video
118 likes 2 comments 14 shares 8 saves
Tembelea Duka lolote la Vodacom lililo karibu nawe uweze kujipatia Simu Janja aina ya Neon Ultra 2 kwa kiasi cha Tsh 175,000/= kwa sababu Zaidi ya Simu ni Teknologia inayobadilisha maisha yako. #ZaidiYaMtandao
-
– video
53 likes 2 comments 1 share 2 saves
Zaidi ya Fibre ni Nyumba Iliyounganishwa. Video call ya kazi, kazi za shule za watoto, mechi sebuleni wote kwa wakati mmoja bila kukwama ukiwa na intaneti ya uhakika. Piga 0754 100 100 au tembelea Vodacom Shop iliyo karibu nawe. Share hii post na yule mtaalamu wa kupita na bando shwaaaa...😂😂…
-
– video
67 likes 7 comments 0 shares 3 saves
Tunawashukuru kwa kuendelea kuwa nasi, kwa sababu pamoja, tunaweza kuwa Zaidi ya Mtandao. #Pamojatunaweza #Zaidiyamtandao
-
– video
112 likes 3 comments 11 shares 9 saves
Zaidi ya Mtandao ni Fursa Kwa mkulima, ni kujua bei ya soko kabla ya kuvuna. Kwa mfanyakazi, ni kufikia dunia nzima kutoka mezani kwake. Kwa mwanafunzi, ni dirisha la kuona kesho yake. Kila mmoja anaona kitu tofauti. Lakini wote wanaona kitu kimoja, Fursa Je, mtandao umekufungulia fursa gani?…
-
547 likes 8 comments 41 shares 10 saves
-
– video
55 likes 2 comments 0 shares 2 saves
Wikiendi bila muziki ni kama chai bila sukari. 🎧 Ukiwa na VYB, unapata Mdundo, VTV, miamala 4 bure na MB 4920 kwa TSh 25,000 tu kwa mwezi. Zaidi ya Mtandao, ni mdundo wa maisha yako. Piga *149*01# ujiunge sasa, kisha acha playlist yako ikuchezee wikiendi nzima. 🔥 #VYB #ZaidiYaMtandao #PamojaTunaweza
-
– video
113 likes 50 comments 2 shares 5 saves
Njia 3, lakini ni moja tu inayofika kwenye FWA. 🔴 Ipi ni sahihi? Angalia vizuri, chagua 1, 2 au 3, kisha andika jibu lako kwenye comments. Usije ukasema “nilijua!” baada ya wenzako kushinda. #VodacomWeekendChallenge #ZaidiYaMtandao #VodacomFWA
-
– video
32 likes 1 comment 0 shares 2 saves
Hakuna foleni. Hakuna kusubiri. Sasa unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja kupitia WhatsApp 0754 100 100, uliza swali au tatua changamoto, pata msaada popote ulipo. Zaidi ya Huduma ni Ukaribu. #ZaidiYaMtandao #PamojaTunaweza
-
– video
111 likes 5 comments 6 shares 1 save
Mtag Rafiki yako wa kazini aliyekuwa akifanya hivi katika Wiki ya Huduma kwa Wateja🏃♂️🤣🤣 #ZaidiYaMtandao
-
– video
88 likes 1 comment 3 shares 3 saves
Zaidi ya kuendesha baiskeli, ni safari yenye kusudi. Tulipohitimisha @nyererecyclingtour hapo jana, tunasherehekea kila kilomita iliyopitiwa, kila mwendesha baiskeli aliyeshiriki na kila tukio la kipekee lililofanya safari hii kuwa ya kukumbukwa daima #ZaidiYaMtandao
-
– video
114 likes 1 comment 11 shares 9 saves
Katika siku hii ya kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, tunakumbuka kuwa maendeleo huanza na juhudi zetu sote. 💙 Kama Vodacom, tunaendelea kuwa zaidi ya mtandao kwa kuwawezesha Watanzania kuunganishwa, kupata fursa na kusonga mbele kuelekea maendeleo. #NyerereDay…
-
– video
97 likes 4 comments 8 shares 6 saves
Paap... Jumatatu imefika😂😂.. na emails, vikao, reports kama zote🏃♂️🥲 Je, wangapi wangerelate kwenye situation kama hii?🤷♂️😅 #ZaidiYaMtandao
-
– video
22 likes 0 comments 0 shares 0 saves
Burudani kwa familia nzima, bila kukosa connection! 📶❤️ Ukiwa na Kipotabo, kila mtu anafurahia anachopenda mtandaoni kwa urahisi. Kipotabo kamejificha wapi? Angalia video kwa makini, kadiria macho yako na utuambie umekiona wapi kwenye comments! 👇🏽😎 #VodacomTanzania #Kipotabo #ZaidiYaMtandao
-
– video
70 likes 1 comment 1 share 6 saves
Katika Wiki ya Huduma kwa Wateja, tunakushukuru kwa kutuamini na kuturuhusu kuwa sehemu ya maisha na biashara yako. Tunaendelea kuboresha huduma zetu ili kila unapohitaji msaada, ujisikie kusikilizwa, kuthaminiwa na kuhudumiwa kwa kujali. Zaidi Ya Huduma, Ni Ukaribu. ❤️ #ZaidiYaMtandao…
-
– video
141 likes 4 comments 13 shares 4 saves
Every call answered. Every problem solved. Every smile restored. It's all for one reason: you. Thank you for inspiring us to go the Extra Mile every day. Zaidi ya Huduma ni Ukaribu #CustomerServiceWeek #PamojaTunaweza #ZaidiYaMtandao
-
– video
91 likes 5 comments 2 shares 4 saves
Huduma bora kwa mteja huanza kwa kuelewa kwamba kila mteja ana mahitaji tofauti. Katika Wiki ya Huduma kwa Wateja tunaadhimisha huduma jumuishi kupitia maduka yanayofikika kwa viti vya magurudumu, huduma za lugha ya alama, msaada wa video kwa wenye ulemavu wa kusikia na huduma maalum kwa wasioona…
-
– video
137 likes 4 comments 6 shares 11 saves
Siku ya kwanza ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, maoni, sherehe na zawadi kama zote. Asante kwa wateja walioshiriki na kwa timu yetu inayofanya huduma iwe ukaribu. Bado una maoni? Tuambie kwenye comment tunasikiliza. #ZaidiYaMtandao #ZaidiYaHuduma #TheExtraMile
-
– video
129 likes 4 comments 5 shares 6 saves
“Karibu Vodacom, naitwa…….” Umeyasikia maneno haya mara nyingi. Lakini huduma ya kweli huanza pale script inapoishia. Pale mhudumu anapokumbuka jina lako, anapokusikiliza mpaka mwisho, anapokuhudumia vyema ili kuhakikisha changamoto inatatuliwa. Wiki hii ya Huduma kwa Wateja, tunawasherehekea wote…
-
– video
135 likes 5 comments 2 shares 8 saves
Tumefika UK… bila visa, bila pasipoti 😄 Ukerewe, msafara wa Zaidi ya Mtandao upo kisiwani leo..internet ya bure, zawadi na wale wapenda muziki pia upoo. #ZaidiYaMtandao #MtandaoSupa #UKkamaUK 😂
-
– video
39 likes 1 comment 0 shares 1 save
Baba laptop, mama simu, watoto gaming na tablet wote wameunganika, lakini kipotabo kimejificha wapi? 🤔📶 Hiyo ndiyo nguvu ya Router ya FWA intaneti ya kasi kwa kila mtu nyumbani. #ZaidiYaMtandao #PamojaTunaweza
-
– video
138 likes 3 comments 10 shares 5 saves
Unahesabu hela nyingiii..jasho linatoka, vidole vinachoka, halafu unachanganyikiwa… unaanza upya. 😂😂😂 Not us kwakweli 😂 Kuna njia rahisi Zaidi. M-Pesa kwa miamala. M-Wekeza kwa kuikuza. M-Kulima kwa mkulima. M-Koba kwa kikundi chako. Umewahi kuhesabu hela mpaka akapoteza hesabu akaanza upya?…
-
– video
48 likes 3 comments 1 share 3 saves
Midundo zaidi na VYB! 🎧🔥 Sikiliza, cheza na ufurahie muziki unaoupenda bila kikomo. VYB si ofa tu — ni jukwaa lako la burudani, lililoundwa kwa ajili ya vijana. #VYB #ZaidiYaMtandao #PamojaTunaweza
-
– video
96 likes 7 comments 2 shares 6 saves
Kilosa, mji wa reli na kazi..leo tumeuleta msafara wetu kwenu. Internet ya bure, zawadi, na mengi zaidi. Sogea ulipo. #ZaidiYaMtandao #Kilosa #MtandaoSupa
-
– video
93 likes 2 comments 5 shares 3 saves
Kila mshumaa unaozima ni hatua nyingine ya ukuaji na sisi tuko hapa kuwatakia furaha isiyo na kikomo. Zaidi ya mtandao, ni kuwa karibu na kila hatua 🥳 #ZaidiYaMtandao #PamojaTunaweza
-
– video
147 likes 5 comments 2 shares 8 saves
Msafara wetu umetua Ifakara. Hapa mpunga unaotulisha taifa unaanzia. Hapa utafiti unaookoa maisha unafanyika. Watu wa hapa hawasubiri kuambiwa..wanafanya ZAIDI Ndiyo maana tumefika, kuweka mtandao karibu na kila anayesonga mbele. Ukituona mtaani, sogea. Kuna internet ya bure, zawadi na mengi…
Showing 30 of 464 videos
Load more videosExplore & export videos
Uses the videos loaded on this page. Load more to include older ones.
Videos by month
VodacomTanzania TikTok stats
VodacomTanzania (@vodacomtz) has 45,378 TikTok followers as of . That is about 45.4K followers.
- Followers
- 45,378
- Likes
- 257,961
- Videos
- 464
- Verified account
- Yes
- Organization account
- Yes
- Likes per video
- 556
- Average video length
- 0:46
- Median per post
- 1.3K views · 97 likes · 4 comments · 2 shares · 5 saves
- Average engagement per view - follower
- 7.8% - under 0.01
- Average views per follower
- 0.04
- Most viewed recent posts
- A video from · 9K views · 547 likes · 8 comments
- “Mtag yule staff ambaye huwa anataka kujua kila kitu kwa…” · 4.2K views · 310 likes · 5 comments ·
- “Siku ya kwanza ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, maoni…” · 2.5K views · 137 likes · 4 comments ·
- Last post
- (less than a day before this check)
- Posting rate
- about 5.5 posts a week
- TikTok content labels
- Entertainment Culture (4 of 12 posts), Entertainment (4 of 12 posts)
- Hashtags used most
- #ZaidiYaMtandao (28), #PamojaTunaweza (12), #MtandaoSupa (3), #VYB (2), #TheExtraMile (2)
VodacomTanzania follower history
Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded
About VodacomTanzania
Account created