WEPESI TV profile picture

WEPESI TV (@wepesitv)

Followers
446K followers
Following
2 following
Likes
2.9M
Videos
2.4K
Avg length
4:17

Ukura Rasmi wa Wepesi Tv Habari | Siasa | Michezo | Gospel Matangazo 0754954872

Playlists Liked videos

Latest videos by WEPESI TV

  • Taharuki imetokea katika Kijiji cha Kimnyaki, Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, baada ya kundi la… – video , 2.7K views, duration 3:24

    74 likes 2 comments 5 shares 4 saves

    Taharuki imetokea katika Kijiji cha Kimnyaki, Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, baada ya kundi la vijana kuvamia makazi ya wananchi na kuondoka na mifugo mbalimbali, ikiwemo ng’ombe, mbuzi na kondoo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, tukio hilo limetokea…

  • BABATI HII NI HOMA MPYA MJINI🫵🙌 For the first time tunakwenda kuvunja mbavu live kwenye stage moja… – video , 819 views, duration 1:30

    38 likes 1 comment 0 shares 1 save

    BABATI HII NI HOMA MPYA MJINI🫵🙌 For the first time tunakwenda kuvunja mbavu live kwenye stage moja kubwa hapahapa kwenye ardhi ya mababu zetu kina chief Dodo na Chief Sarwat, Manyara🔥 Get ready for HADITHI HADITHI Stand-up comedy Show🔥🔥

  • Afra Marco anayedaiwa kufariki Dunia baada ya kuugua Oktoba 28, 2026 siku chache kabla ya harusi… – video , 315 views, duration 2:01

    11 likes 0 comments 0 shares 0 saves

    Afra Marco anayedaiwa kufariki Dunia baada ya kuugua Oktoba 28, 2026 siku chache kabla ya harusi yake iliyokuwa inatarajiwa kufanyika Novemba 01, 2026, amezikwa Jumatatu Nov 2, 2026 Bukoma mkoani Mara.

  • Unazijua Enda- ngapi? Mimi naijua Endagaw na Endasak 😀😃 – photo post Photo post , 5.7K views

    Unazijua Enda- ngapi? Mimi naijua Endagaw na Endasak 😀😃

  • MCHANA HUU ARUSHA – video , 45.9K views, duration 0:33

    1.9K likes 35 comments 30 shares 51 saves

    MCHANA HUU ARUSHA

  • Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka wataalamu wa… – video , 114K views, duration 3:40

    1.4K likes 71 comments 98 shares 150 saves

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka wataalamu wa mipango miji nchini kuacha kuidhinisha mipango ya matumizi ya ardhi kwenye viwanja vyenye ukubwa wa mita 20 kwa 20, isipokuwa katika maeneo ambayo tayari yameendelezwa kupitia urasimishaji. Mhe. Mmuya…

  • Mchungaji Israel Ford wa kanisa la Life Works Church ambalo lipo huko Wickliffe, Ohio nchini… – video , 1.8K views, duration 4:40

    37 likes 1 comment 2 shares 6 saves

    Mchungaji Israel Ford wa kanisa la Life Works Church ambalo lipo huko Wickliffe, Ohio nchini Marekani, amemtambulisha Shakaila Ford kuwa mke wake wa pili huku akitetea hatua hiyo kwa kurejelea maandiko ya Biblia. Tangazo hilo limetolewa kupitia video ya kanisani na ujumbe aliouchapisha Facebook…

  • Mtoto Bundala Nyabure, mwenye umri wa miaka 12, mkazi wa Kijiji cha Sunya, Wilaya ya Kiteto… – video , 2.8K views, duration 2:36

    53 likes 0 comments 2 shares 5 saves

    Mtoto Bundala Nyabure, mwenye umri wa miaka 12, mkazi wa Kijiji cha Sunya, Wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara, amefariki dunia wakati akiogelea katika mazingira yanayodaiwa kuhusishwa na kujaribu kuiga mtindo wa kujirusha majini kutoka umbali mrefu kama inavyoonekana kwenye baadhi ya filamu. Salumu…

  • Wakili wa Serikali, Francis Bukambu, amesema kifungu cha 64 cha Sheria ya Ndoa 1971 kinatoa… – video , 1.9K views, duration 10:14

    39 likes 1 comment 3 shares 3 saves

    Wakili wa Serikali, Francis Bukambu, amesema kifungu cha 64 cha Sheria ya Ndoa 1971 kinatoa mazingira ambayo mke anaweza kukopa kwa jina la mume kwa ajili ya mahitaji ya familia endapo mume hatimizi wajibu wa matunzo. Akifafanua taarifa iliyochapishwa na gazeti la HabariLeo, Bukambu amesema ruhusa…

  • Wanawake wawili, mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Annastazia Mwakipesile (32) na mwingine ambaye… – video , 1K views, duration 6:55

    22 likes 2 comments 0 shares 3 saves

    Wanawake wawili, mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Annastazia Mwakipesile (32) na mwingine ambaye jina lake halijafahamika, wameuawa na miili yao kukutwa chini ya uvungu wa kitanda katika nyumba ya wageni ya Igongwe, iliyopo Kata ya Ruanda, jijini Mbeya. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, SACP…

  • Watu 12 wamenusurika kifo baada ya kula chakula kinachodaiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Ari… – video , 21.7K views, duration 4:14

    624 likes 31 comments 40 shares 40 saves

    Watu 12 wamenusurika kifo baada ya kula chakula kinachodaiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Ari, Kata ya Hayeda Hampa, Wilayani Mbulu mkoani Manyara na kukimbizwa katika Hospitali ya Kilutheri ya Rufaa ya Haydom ili kuokoa maisha yao. Mara baada ya tukio hilo, kaya zilizoathirika zimekutwa zikiwa…

  • Mtuhumiwa wa mauaji ya wanawake wawili waliokutwa wamefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni… – video , 1.7K views, duration 6:55

    48 likes 0 comments 1 share 0 saves

    Mtuhumiwa wa mauaji ya wanawake wawili waliokutwa wamefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni jijini Mbeya, miili yao ikiwa imefichwa uvunguni mwa kitanda, amefariki dunia akiwa hospitalini baada ya kupigwa risasi na polisi alipokuwa akijaribu kutoroka. Mtuhumiwa huyo, Benson Stephen, maarufu…

  • Watuhumiwa wawili wa matukio ya uporaji na unyang’anyi wa kutumia silaha mkoani Arusha wamefariki… – video , 5.3K views, duration 2:38

    121 likes 1 comment 5 shares 7 saves

    Watuhumiwa wawili wa matukio ya uporaji na unyang’anyi wa kutumia silaha mkoani Arusha wamefariki wakati wakipatiwa matibabu baada ya makabiliano na Jeshi la Polisi Kwa mujibu wa kamanda wa Polisi mkoani Arusha SACP Justine Masejo makabiliano hayo yalitokea Jumatano tarehe 21-2026 saa 3:30 usiku…

  • Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Manyara imekabidhi gari kwa Jeshi la Polisi mkoani humo kwa… – video , 9.3K views, duration 3:46

    209 likes 7 comments 7 shares 10 saves

    Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Manyara imekabidhi gari kwa Jeshi la Polisi mkoani humo kwa ajili ya shughuli za doria za barabarani, hatua inayolenga kuongeza ufanisi katika kudhibiti ajali na kuokoa maisha ya Watanzania. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Emmanuel Samson Moleli, amesema gari hilo…

  • Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema watuhumiwa wawili waliokuwa wakitafutwa kwa tuhuma za… – video , 45.1K views, duration 3:12

    1.6K likes 49 comments 45 shares 109 saves

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema watuhumiwa wawili waliokuwa wakitafutwa kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wamefariki dunia wakiwa hospitalini, baada ya kujeruhiwa katika mapambano na polisi yaliyotokea eneo la Kijenge, jijini Arusha. Akitoa taarifa…

  • Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Martin Shigela, amepiga marufuku tabia ya baadhi ya shule kuwarudisha… – video , 4.9K views, duration 3:15

    158 likes 1 comment 3 shares 11 saves

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Martin Shigela, amepiga marufuku tabia ya baadhi ya shule kuwarudisha wanafunzi nyumbani au kuwazuia kuingia darasani kwa sababu ya wazazi wao kushindwa kulipa michango ya shule, akielekeza jukumu la ukusanyaji wa michango hiyo kufanywa na serikali za vijiji husika.

  • OCT 20,2026 kumefanyika uzinduzi wa Mashindano ya miss Karatu tourism queen ambapo mgeni rasmi… – video , 5.1K views, duration 4:50

    133 likes 2 comments 2 shares 5 saves

    OCT 20,2026 kumefanyika uzinduzi wa Mashindano ya miss Karatu tourism queen ambapo mgeni rasmi akiwa mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe Lameck Karanga ambapo ameeleza kuwa lengo la Mashindano hayo ni kumpata mrembwendo wa kuwa balozi wa utalii wa wilaya ya Karatu na kuitangaza Karatu nje na ndani ya…

  • Waganga wa tiba asili nchini wamekutana mkoani Manyara na kufanya maombi maalumu wakiiombea… – video , 3.8K views, duration 8:57

    85 likes 3 comments 3 shares 3 saves

    Waganga wa tiba asili nchini wamekutana mkoani Manyara na kufanya maombi maalumu wakiiombea Tanzania amani, huku wakiomba mvua zinazotarajiwa kunyesha kutokana na hali ya hewa ya El-Nino zije kwa utaratibu na zisiwe chanzo cha maafa. Waganga hao kutoka maeneo mbalimbali nchini wamefanya tukio hilo…

  • Wananchi waliotembelea banda la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa… – video , 4.2K views, duration 2:34

    95 likes 0 comments 0 shares 7 saves

    Wananchi waliotembelea banda la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara katika Maonesho ya Nne ya Biashara, Viwanda, Madini, Kilimo na Utalii ya Tanzanite Manyara Trade Fair, yaliyofanyika katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraha, Babati, wamesema wamepata elimu kuhusu…

  • Jeshi la Polisi mkoani Manyara limemfungia leseni dereva mmoja baada ya gari lake kukutwa likibeba… – video , 44.1K views, duration 6:01

    1.8K likes 50 comments 41 shares 255 saves

    Jeshi la Polisi mkoani Manyara limemfungia leseni dereva mmoja baada ya gari lake kukutwa likibeba abiria zaidi ya kiwango kinachoruhusiwa, katika oparesheni ya ukaguzi wa magari na utoaji wa elimu ya usalama barabarani iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Oktoba 20, mwaka huu. Oparesheni hiyo…

  • Mwenyekiti wa Mtaa wa Mureti, Kata ya Mureti jijini Arusha, Bw. Dominic Kivuyo, anadaiwa kupigana… – video , 79.2K views, duration 8:36

    2.5K likes 127 comments 138 shares 201 saves

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Mureti, Kata ya Mureti jijini Arusha, Bw. Dominic Kivuyo, anadaiwa kupigana na mwananchi mmoja aliyekuwa msibani, baada ya kuitwa kusaidia kutatua mgogoro wa kifamilia kuhusu haki za mjane wa marehemu. Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, mgogoro huo ulihusisha madai ya ndugu…

  • Mkuu wa Wilaya ya Karatu, amewaalika wananchi kushiriki katika tamasha la Karatu Tourism Queen… – video , 9.9K views, duration 1:41

    344 likes 16 comments 11 shares 14 saves

    Mkuu wa Wilaya ya Karatu, amewaalika wananchi kushiriki katika tamasha la Karatu Tourism Queen linalotarajiwa kufanyika Oktoba 20, mwaka huu, wilayani Karatu, mkoani Arusha, ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii na kuibua fursa mbalimbali za kiuchumi kupitia sekta hiyo. Akizungumza kuhusu tamasha…

  • Maudhui ya kuogofya! Padri Patricio Alfredo Sánchez Molinari amefariki dunia nchini Ecuador baada… – video , 5.1K views, duration 0:48

    68 likes 2 comments 3 shares 8 saves

    Maudhui ya kuogofya! Padri Patricio Alfredo Sánchez Molinari amefariki dunia nchini Ecuador baada ya msalaba mkubwa kuanguka na kumwangukia akiwa katikati ya ibada kanisani. Tukio hilo lilinaswa kupitia matangazo ya moja kwa moja (livestream). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kanisa Katoliki…

  • Mtu mmoja amefariki dunia na watu wengine 40 wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya… – video , 48.7K views, duration 11:01

    884 likes 47 comments 46 shares 56 saves

    Mtu mmoja amefariki dunia na watu wengine 40 wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Manispaa ya Singida baada ya kuugua kwa dalili za kuharisha na kutapika kufuatia kula makande na kunywa togwa, maarufu kwa jina la Magae, katika Kijiji cha Kinyakaya, Kata ya Unyambwa, Manispaa ya…

  • Mwanaume aliyetambuliwa kwa jina la Michael Ako, anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40… – video , 4K views, duration 4:22

    91 likes 1 comment 2 shares 3 saves

    Mwanaume aliyetambuliwa kwa jina la Michael Ako, anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40, mkazi wa Kata ya Bashnet, Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi katika Mtaa wa Kwamoto, wilayani humo, huku chanzo cha kifo chake kikiwa bado…

  • Waziri wa Mambo ya ndani Patrobas Katambi amewataka wnaume Nchini kuchukua Hatua ya Kuepuka… – video , 114K views, duration 1:40

    3.3K likes 144 comments 711 shares 287 saves

    Waziri wa Mambo ya ndani Patrobas Katambi amewataka wnaume Nchini kuchukua Hatua ya Kuepuka kuingia Kwenye mikono ya Sheria kutokana na kuhusika na mauji ya wake zao pindi wanapo tofauti Baadhi ya Mambo Katika ndoa zao. ‎ ‎Akizungumza na wananchi wa Makambako Mkoani Njombe Katika mkutano wa Makamu…

  • Jumla ya watahiniwa 667,040 wanatarajiwa kuanza mtihani wa kidato cha nne kesho Jumatatu, Oktoba… – video , 13.2K views, duration 4:00

    240 likes 1 comment 5 shares 12 saves

    Jumla ya watahiniwa 667,040 wanatarajiwa kuanza mtihani wa kidato cha nne kesho Jumatatu, Oktoba 19, 2026, utakaofanyika hadi Novemba 6, huku Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) likionya dhidi ya udanganyifu na kuingiliwa kwa majukumu ya wasimamizi. Watahiniwa hao watafanya mitihani katika vituo…

  • Mahakama ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imewahukumu watu wawili kifungo cha miaka minne jela… – video , 34.7K views, duration 3:00

    1.1K likes 26 comments 43 shares 169 saves

    Mahakama ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imewahukumu watu wawili kifungo cha miaka minne jela na kuwataka kulipa fidia ya shilingi milioni 5.145, baada ya kupatikana na hatia katika makosa yanayohusiana na kulisha mifugo katika mashamba ya wakulima na kuchoma vibanda katika Kijiji cha Lortepes…

  • Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza wananchi wa maeneo yaliyopandishwa hadhi kuwa miji… – video , 2K views, duration 1:17

    41 likes 1 comment 0 shares 3 saves

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza wananchi wa maeneo yaliyopandishwa hadhi kuwa miji midogo, lakini bado yana mazingira ya vijijini, waendelee kuunganishiwa umeme kwa gharama ya Sh. 27,000, akisisitiza kuwa mabadiliko ya hadhi hayamaanishi kuongezeka kwa uwezo wao wa kiuchumi. Ametoa…

  • Mama ajiua siku moja kabla ya harusi ya mtoto wake- Magugu Babati. – video , 26.2K views, duration 5:54

    851 likes 48 comments 71 shares 64 saves

    Mama ajiua siku moja kabla ya harusi ya mtoto wake- Magugu Babati.

Showing 30 of 2,436 videos

Load more videos

Explore & export videos

WEPESI TV TikTok stats

WEPESI TV (@wepesitv) has 446,118 TikTok followers as of . That is about 446K followers.

Followers
446,118
Likes
2,875,462
Videos
2,436
Likes per video
1.2K
Average video length
4:17
Median per post
5.2K views · 133 likes · 2 comments · 5 shares · 8 saves
Average engagement per view - follower
3.1% - under 0.01
Average views per follower
0.05
Most viewed recent posts
  1. “Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe…” · 114K views · 1.4K likes · 71 comments ·
  2. “Waziri wa Mambo ya ndani Patrobas Katambi amewataka wnaume…” · 114K views · 3.3K likes · 144 comments ·
  3. “Mwenyekiti wa Mtaa wa Mureti, Kata ya Mureti jijini…” · 79.2K views · 2.5K likes · 127 comments ·
Last post
(less than a day before this check)
Posting rate
about 11.3 posts a week
TikTok content labels
Social News (22 of 22 posts), Society (22 of 22 posts)
Post types
29 videos, 1 photo post

How these numbers are counted

WEPESI TV follower history

FollowersLikes442K2.86M444K2.87M446K2.88M448K2.89M450K2.9M446,118 followers on Nov 3, 2026446,1182,875,462 likes on Nov 3, 20262,875,462Nov 3, 2026

Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded

About WEPESI TV

Account created