Eddytz Online profile picture

Eddytz Online (@eddytzonline)

Followers
30.3K followers
Following
36 following
Likes
234K
Videos
623
Avg length
1:34

M.D Of EDDYTZ ONLINE TallManNeverDie IG @EddytzOnline

Playlists Liked videos

Latest videos by Eddytz Online

  • Mbeyaa 🔥🎥 Tupo hapa EddShotit – video Pinned , 21.1K views

    Mbeyaa 🔥🎥 Tupo hapa EddShotit#ogopaeddyakishoot

  • Huyu hapa Mangii dayoo_tz amedai yeye bado ni mdogo sana hajafika miaka 20+ awezi kuoa saivi bado… – video Pinned , 19.9K views

    Huyu hapa Mangii @dayoo_tz amedai yeye bado ni mdogo sana hajafika miaka 20+ awezi kuoa saivi bado anajitafuta, unahisi umri gani ni sahihi kwa kijana kufanya maamuzi ya kuoa au kuolewa? Full story youtube @eddytz_online link on bio follow #eddytzonline #eddytzupdates #tallmanneverdie💫

  • Mbili tu ni starehe zanguu 💫 – video Pinned , 106K views

    Mbili tu ni starehe zanguu #eddytzonlinetv #tallmanneverdie💫

  • Jumapili njema 🤝 Cc 💫 – video , 872 views, duration 1:03

    57 likes 1 comment 0 shares 2 saves

    Jumapili njema 🤝 Cc @boazdanken_worship_minister #eddytzonline #tallmanneverdie💫 #eddytzupdates #njombe

  • Nimeshiriki ibada nyingi zikanibariki,pia ibada hii ya mkesha tulimuona MUNGU… – video , 470 views, duration 1:51

    34 likes 0 comments 0 shares 0 saves

    Nimeshiriki ibada nyingi zikanibariki,pia ibada hii ya mkesha tulimuona MUNGU , @boazdanken_worship_minister hongera kwa huduma MUNGU aendelee kukutumia. 📍 Njombe #eddytzonline #tallmanneverdie💫 #eddytzupdates #njombe #

  • Swali la consolathakihombo muongoza mdaharo wa wanawake na wanaume unaohushisha maisha ya ndoa… – video , 1.7K views, duration 1:59

    63 likes 0 comments 1 share 6 saves

    Swali la @consolathakihombo muongoza mdaharo wa wanawake na wanaume unaohushisha maisha ya ndoa. Habari kamili youtube @eddytz_online #eddytzonline #eddytzupdates #tallmanneverdie💫

  • Mwanasaikolojia “mwanaume anafananishwa na moto wa nyasi na mwanamke anafananishwa na moto wa… – video , 9.4K views, duration 1:42

    189 likes 1 comment 25 shares 12 saves

    Mwanasaikolojia “mwanaume anafananishwa na moto wa nyasi na mwanamke anafananishwa na moto wa mkaa, mwanamke anatakiwa kujiandaa muda mrefu tofauti na mwanaume” Habari kamili unaweza kuipata youtube @eddytz_online #eddytzonline #eddytzupdates #tallmanneverdie💫

  • Mwanasaikolojia Ernestina Mnyalape amesema kuwa tendo la ndoa ni kipengele muhimu katika… – video , 1.8K views, duration 1:54

    58 likes 2 comments 5 shares 2 saves

    Mwanasaikolojia Ernestina Mnyalape amesema kuwa tendo la ndoa ni kipengele muhimu katika kumfurahisha mwanaume ndani ya ndoa, akisisitiza kuwa ni vyema mwanamke kulipa kipaumbele suala hilo katika maisha ya ndoa. “Ni bora ukosee kupika chakula, ila kwenye tendo ufanye vizuri, mwanaume atakuelewa,”…

  • Mjumbe “Kwenye ndoa uniona mwanamke yupo kwenye vikoba zaidi ya sita lazima changamoto imeanzia… – video , 4.4K views, duration 1:37

    110 likes 8 comments 9 shares 8 saves

    Mjumbe “Kwenye ndoa uniona mwanamke yupo kwenye vikoba zaidi ya sita lazima changamoto imeanzia kwa baba wa familia,muda wote mpaka mke wako anajiunga na vikundi ulikuwa wapi kuwajibika kama baba” Habari kamili unaweza tazama mdaharo huu kupitia youtube @eddytz_online #eddytzonline…

  • Mjumbe kainuka kupaza sauti kwaajili ya kuwatetea wanaume na kutoa sababu kubwa zinazopelekea watu… – video , 27.6K views, duration 1:51

    1.1K likes 87 comments 184 shares 111 saves

    Mjumbe kainuka kupaza sauti kwaajili ya kuwatetea wanaume na kutoa sababu kubwa zinazopelekea watu kikimbia ndoa zao na kuvunjika kwa ndoa. Habari kamili youtube @eddytz_online #eddytzonline #eddytzupdates #tallmanneverdie💫

  • Doto "sisi ni sababu kubwa ya wanaume kuchepuka iliwakajipooze moyo na akili kwasababu tuna madeni… – video , 5.5K views, duration 1:32

    181 likes 7 comments 17 shares 10 saves

    Doto "sisi ni sababu kubwa ya wanaume kuchepuka iliwakajipooze moyo na akili kwasababu tuna madeni yanayotokana na tamaa kuiga maisha ya marafiki waliyotuzunguka tubadilike” Habari kamili youtube @eddytz_online #eddytzonline #eddytzupdates #tallmanneverdie💫

  • hoja kwa hoja huku upande wa wanaume wakiwajibu upande wa wanawake maswali na vikwazo… – video , 4.6K views, duration 1:45

    157 likes 9 comments 6 shares 16 saves

    hoja kwa hoja huku upande wa wanaume wakiwajibu upande wa wanawake maswali na vikwazo wanavyokutana navyo kwenye ndoa zao. Unaweza kutazama mdaharo huu full video youtube account ya @eddytz_online #eddytzonline #eddytzupdates #tallmanneverdie💫

  • Mjumbe aeleze tofauti ya malezi ya zamani na ya sasa huku akihusianisha kufunjika kwa ndoa nyingi… – video , 6.3K views, duration 2:02

    143 likes 4 comments 4 shares 7 saves

    Mjumbe aeleze tofauti ya malezi ya zamani na ya sasa huku akihusianisha kufunjika kwa ndoa nyingi za sasa inatokana na wazazi kutoshiriki katika malezi ya watoto kwa kutokuwaonya. #eddytzonline #eddytzupdates #tallmanneverdie💫

  • Mjumbe atoa Swali kwa wanawake baada ya wao kudai wanaume wao hawafanyi maandalizi wakati wa… – video , 9.7K views, duration 1:19

    283 likes 16 comments 26 shares 23 saves

    Mjumbe atoa Swali kwa wanawake baada ya wao kudai wanaume wao hawafanyi maandalizi wakati wa kukutana. #eddytzonline #eddytzupdates #tallmanneverdie💫

  • Doto "Wanaume wanatakiwa kufundwa kama ambavyo wakawake wanakalishilwa kabla ya kuingia kwenye… – video , 5.2K views, duration 2:10

    167 likes 3 comments 22 shares 12 saves

    Doto "Wanaume wanatakiwa kufundwa kama ambavyo wakawake wanakalishilwa kabla ya kuingia kwenye ndoa na waume zao , wanaume wanakutana na wanawake wenye mafunzo angali wao hawajui chochote ndio maana wanatumia nguvu pekee” habari kamili katazame youtube @eddytz_online link kwenye bio yetu…

  • Changamoto zinaendelea kuwekwa wazi ndani ya mdaharo huu wa wanaume na wanawake wanaishi ndani ya… – video , 45.8K views, duration 2:18

    1.2K likes 87 comments 262 shares 96 saves

    Changamoto zinaendelea kuwekwa wazi ndani ya mdaharo huu wa wanaume na wanawake wanaishi ndani ya ndoa. Unaweza kufuatilia mahojiano haya kupitia youtube @eddytz_online . #eddytzonline #eddytzupdates

  • wanawake waeleza changamoto zinazowakumba katika ndoa kwa niaba ya wanawake wengine huyu… – video , 170K views, duration 2:05

    5.9K likes 409 comments 1.3K shares 518 saves

    wanawake waeleza changamoto zinazowakumba katika ndoa kwa niaba ya wanawake wengine huyu aliwasilusha mbele ya wanauma na wanasaikolojia wa masuala ya ndoa, kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili wanandoa na kuelimishana kuhusu misingi ya ndoa imara na yenye furaha. Mdaharo huo…

  • Wanaume wa Usharika wa KKKT Mjini Magegele wamefanya mdaharo ulio washirikisha wanawake pamoja na… – video , 11.6K views, duration 1:34

    330 likes 8 comments 61 shares 25 saves

    Wanaume wa Usharika wa KKKT Mjini Magegele wamefanya mdaharo ulio washirikisha wanawake pamoja na wanasaikolojia wa masuala ya ndoa, kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili wanandoa na kuelimishana kuhusu misingi ya ndoa imara na yenye furaha. Mdaharo huo umefanyika Oktoba 18, 2026…

  • Unaweza kufuatiia matukio yote ya siku ya wanaume (IME) kupitia youtube yetu EddytzOnline,utaweza… – video , 1.7K views, duration 0:50

    106 likes 10 comments 0 shares 5 saves

    Unaweza kufuatiia matukio yote ya siku ya wanaume (IME) kupitia youtube yetu EddytzOnline,utaweza kusuhudia ibada michezo na majadiliano baina ya wanawake na wanaume kuhusu ndoa. #eddytzonline #tallmanneverdie💫 #EddytzUpdates

  • Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kusini, Dkt. George Mark… – video , 6.9K views, duration 3:02

    197 likes 3 comments 6 shares 6 saves

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kusini, Dkt. George Mark Fihavango, amesema bonanza la wanaume linapaswa kuwa endelevu kwa lengo la kuimarisha umoja, kujiamini na kuwahamasisha wanaume kurejea katika nafasi zao ndani ya familia na jamii. Akizungumza kuhusu…

  • Wanawake kutoka kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Mjini Magegele na… – video , 16.3K views, duration 0:55

    549 likes 29 comments 46 shares 28 saves

    Wanawake kutoka kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Mjini Magegele na Mjimwema wakishiriki shindano la kula wakati wa Bonanza la siku ya wanaume katika uwanja wa Amani, Makambako. Tufuatilie mubashara kupitia Youtube @eddytz_online #eddytzonline #tallmanneverdie💫…

  • Wanaume kutoka kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Mjini Magegele na… – video , 7K views, duration 0:53

    282 likes 7 comments 4 shares 13 saves

    Wanaume kutoka kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Mjini Magegele na Mjimwema wakishiriki shindano la kula wakati wa Bonanza la siku ya wanaume katika uwanja wa Amani, Makambako. Tufuatilie mubashara kupitia Youtube @eddytz_online #eddytzonline #tallmanneverdie💫…

  • Wanaume kutoka kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Mjini Magegele na… – video , 11K views, duration 0:55

    465 likes 28 comments 27 shares 26 saves

    Wanaume kutoka kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Mjini Magegele na Mjimwema wakishiriki Mchezo wa kuvuta kamba Bonanza la siku ya wanaume linaloendelea muda huu kwenye uwanja wa Amani, Makambako. Tufuatilie mubashara kupitia Youtube @eddytz_online #eddytzonline…

  • Wanawake kutoka kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Mjini Magegele na… – video , 648K views, duration 1:13

    20K likes 536 comments 7.8K shares 1.2K saves

    Wanawake kutoka kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Mjini Magegele na Mjimwema wakishiriki Mchezo wa kukimbiza Kuku kwenye Bonanza la siku ya wanaume linaloendelea muda huu kwenye uwanja wa Amani, Makambako. Tufuatilie mubashara kupitia Youtube @eddytz_online #eddytzonline…

  • washirika wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzaniau (KKKT) usharika wa Mjini Magegele na… – video , 3K views, duration 0:59

    86 likes 2 comments 0 shares 3 saves

    washirika wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzaniau (KKKT) usharika wa Mjini Magegele na Mjimwema Makambako wakiingia katika Uwanja wa Amani kwaajili ya kushiriki Bonanza linaoambatana na maadhiisho ya Siku ya Wanaume Duniani (IMEI) Tufuatilie tupo mubashara kupitia Youtube (EddyTz online)

  • Muda huu eddshotit tupo Uwanja wa Amani kukuletea Bonanza lilioandaliwa na Kanisa la Kiinjili la… – video , 3.9K views, duration 0:50

    250 likes 5 comments 2 shares 9 saves

    Muda huu @eddshotit tupo Uwanja wa Amani kukuletea Bonanza lilioandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini, Usharika wa Mjini Magelele (Makambako) kwaajili ya kuadhimisha siku ya wanaume Duniani IMEI. Tufuatilie tupo live Youtube muda huu @eddytz_online…

  • Mchungaji wa Kanisa la KKKT Mtaa wa Majengo, Mjini Makambako Emmanuel kidumba ametambua na kutoa… – video , 6.1K views, duration 0:42

    309 likes 8 comments 7 shares 13 saves

    Mchungaji wa Kanisa la KKKT Mtaa wa Majengo, Mjini Makambako Emmanuel kidumba ametambua na kutoa shukrani kwa @eddytz_online kwa kurusha mubashara ya ujenzi... Wakati wa hotuba yake baada ya kumalizika kwa shughuli hiyo Mchungaji Kidumba ametoa shukrani hizo kwa niaba ya waumini na washiriki wa…

  • Mbunge wa Jimbo la Makambako, Mhe. daniel_godfrey_chongolo , amewasihi wazazi kutokata tamaa… – video , 11.1K views, duration 2:03

    474 likes 10 comments 10 shares 25 saves

    Mbunge wa Jimbo la Makambako, Mhe. @daniel_godfrey_chongolo , amewasihi wazazi kutokata tamaa katika kuwaendeleza watoto wao kielimu, akisisitiza kuwa elimu ni msingi wa maisha Chongolo ameyasema hayo Septemba 13, 2026, wakati akiendelea na ziara katika maeneo mbalimbali ya Jimbo la Makambako…

  • Mkurugenzi wa Mhema Agrochemical and General Supply, Oraph Mhema, amewapongeza wazazi kwa kuwapa… – video , 3.8K views, duration 1:43

    134 likes 0 comments 2 shares 11 saves

    Mkurugenzi wa Mhema Agrochemical and General Supply, Oraph Mhema, amewapongeza wazazi kwa kuwapa watoto wao msingi bora wa elimu, akiwakumbusha kuwa “kama elimu ni gharama, basi ujinga ni gharama zaidi.” Aidha, ameupongeza uongozi wa Shule ya Ziga pamoja na Mkurugenzi wake kwa kutumia nishati ya…

  • Mkurugenzi wa Mhema Agrochemical and General Supply, Oraph Mhema, amewapongeza walimu na wanafunzi… – video , 5.2K views, duration 1:31

    142 likes 1 comment 3 shares 7 saves

    Mkurugenzi wa Mhema Agrochemical and General Supply, Oraph Mhema, amewapongeza walimu na wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Ziga kwa maandalizi mazuri ya kitaaluma na jitihada za kuweka mazingira bora ya kujifunzia. Akizungumza katika mahafali ya saba ya wanafunzi wa darasa la saba, Oraph pia…

Showing 30 of 623 videos

Load more videos

Explore & export videos

Eddytz Online TikTok stats

Eddytz Online (@eddytzonline) has 30,250 TikTok followers as of . That is about 30.3K followers.

Followers
30,250
Likes
234,359
Videos
623
Likes per video
376
Average video length
1:34
Median per post
6.1K views · 189 likes · 7 comments · 7 shares · 12 saves
Average engagement per view - follower
4.3% - 0.05
Average views per follower
1.26
Most viewed recent posts
  1. “Wanawake kutoka kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania…” · 648K views · 19.8K likes · 536 comments ·
  2. “wanawake waeleza changamoto zinazowakumba katika ndoa kwa…” · 170K views · 5.9K likes · 409 comments ·
  3. “Changamoto zinaendelea kuwekwa wazi ndani ya mdaharo huu…” · 45.8K views · 1.2K likes · 87 comments ·
Pinned posts
3, with 106K, 21.1K and 19.9K views
Last post
(4 days before this check)
Posting rate
about 2.4 posts a week
TikTok content labels
Music (1 of 3 posts), Entertainment Culture (1 of 3 posts)
Hashtags used most
#eddytzonline (26), #eddytzupdates (25), #tallmanneverdie (25), #Makambako (5), #njombe (4)

How these numbers are counted

Eddytz Online follower history

FollowersLikes30.1K232K30.2K233K30.3K234K30.4K235K30.5K236K30,250 followers on Nov 5, 202630,250234,359 likes on Nov 5, 2026234,359Nov 5, 2026

Followers on the left axis, likes on the right. Recording started on ; each day this profile is refreshed adds a point. How the follower history is recorded

About Eddytz Online

Account created